Tanzania Tops Africa like Mount Kilimanjaro

Tanzania Tops Africa like Mount Kilimanjaro

Ina maana Zanzibar hakuna hata moja Kati ya hayo matatu?
 
mkuu nakerek san kusikia hivyo coz sion jinsi tunavyofaidika na rasilimali zetu yaan tunafaidka theortcally wakati practically nchi yetu inabaki kuwa maskin 2.
 
Nchi ya maajabu hii, mchakato wa Katiba kuhodhiwa na chama Tawala... maajabu mengine
 
Nafarijika sana hasa ukizingatia sehemu zote hizo nimepita ila Ngorongoro crater kidogo kuna utata hasa vegetation ukilinganisha na picha zilizowekwa kwenye mitandao
 
Bravo Tanzania. How nice to have all these in a single country.
 
Beautiful Tanzania. I am super excited about it.
 
Hahahahahaaaaaaa na ajabu la pili ni MCHAMBA WIMA!
Kwahiyo hamna hata ajabu moja linalo husiana na Zanzibar? Teh teh teh Hapa wazenj watakuja kulalamika kuwa wameonewa ilitakiwa angalau MAKUNDUCHI liwe ajabu moja wapo la dunia angalau kwa jina lake tu!

BACK TANGANYIKA
 
Asilimia 98% zetu hazina uwezo wa kutembelea mbuga za wanyama au kupanda mlima Kilimanjaro. Wanaofaidi na hizi rasilimali ni wageni wanaoleta wataliii wao, wageni waliojenga mahoteli, na vigogo wachache waliopewa rushwa na nafasi za kuwekeza kwenye hizo biashara. Utumbo mtupu.
 
CCM should be the eighth Africa natural wonder as a political part which has done nothing to tanganyikans and yet it keep getting elected.
 
Asilimia 98% zetu hazina uwezo
wa kutembelea mbuga za wanyama au kupanda mlima Kilimanjaro. Wanaofaidi
na hizi rasilimali ni wageni wanaoleta wataliii wao, wageni waliojenga
mahoteli, na vigogo wachache waliopewa rushwa na nafasi za kuwekeza
kwenye hizo biashara. Utumbo mtupu.

hebu rudia kusoma ulichoandika maana naona wewe ndio umeandika utumbo
 
Asilimia 98% zetu hazina uwezo
wa kutembelea mbuga za wanyama au kupanda mlima Kilimanjaro. Wanaofaidi
na hizi rasilimali ni wageni wanaoleta wataliii wao, wageni waliojenga
mahoteli, na vigogo wachache waliopewa rushwa na nafasi za kuwekeza
kwenye hizo biashara. Utumbo mtupu.

rudia kusoma ulichoandika
 
nch tajiri wananch wake maskini,,viongozi wake mabilionea,,watanzania wengi n mazuzu,mkulima akijitahidi kulima nakutafuta soko la mazao yako nje ya nch unambiwa nch ina njaa hamna ruksa kutoa chakula nje utafikiri walikusaidia kulima,sijui tunakwenda wapi nch hi
 
Haya chadema andamaneni kupinga na hilo, mseme hivyo vivutio vimegushiwa sio sahihi. Muunde Umoja wa Kupinga Vivutio(UKUVI).
 
Back
Top Bottom