Yaani wamesawazisha dakika ya mwisho, daaaah
Safi sana, Tanzania soka bado sana tena kwa sarakasi za kidilidili za kina Malinzi sijui kama tutafika popote, labda atakapomaliza utawala wake.
Yaani wamesawazisha dakika ya mwisho, daaaah
Mazoezi wanafanyia Tukuyu kwenye baridi kali kwa ajili ya mechi ya Dar! Sayansi gani ya mazoezi!!?? Ajabu ya TFF na kamati zao za ufundi
Mazoezi wanafanyia Tukuyu kwenye baridi kali kwa ajili ya mechi ya Dar! Sayansi gani ya mazoezi!!?? Ajabu ya TFF na kamati zao za ufundi
Taifa ni vilaza hatuna team
rudisheni tenga tff na akae bila kikomo
Mazoezi wanafanyia Tukuyu kwenye baridi kali kwa ajili ya mechi ya Dar! Sayansi gani ya mazoezi!!?? Ajabu ya TFF na kamati zao za ufundi
Itabidi tufanye kazi ya ziada kule Maputo. Tutasonga mbele Inshaallah.
Malinzi aliulizwa swali hilo kule kwenye uzi wake lakini alijibu kiaina kwamba mechi haitafanyikia Dar ila siku chache baadaye wadau wakafukunyua taarifa kua mechi ingechezwa Dar, jamaa akaulizwa tena safari hii akaruka sarakasi akisema bado hawajajua na itakapojulikana itatangazwa. Leo tumeshuhudia mechi Dar kwenye joto kubwa ila mazoezi Mbeya kwenye kiubaridi.
Wangeanzisha mashindano ya kujisifu na ubishi, hapo TZ tungeshinda tu.
Kwenye soka, aaaaaaaaaagh! afadhali ya Brazil/spain.
Timu itoke wapi ndugu? Unataka jamali malinzi akale wapi sasa? Tanzania tunaweza majivuno, sifa, maneno na matusi tu, ila utendaji bado sana.
Ni usanii wa bongo huo! Tunahitaji kuwa serious na mipango yetu kama tunataka ushindi
Yanga na Azam ndio wamefungwa. Simba wako kwenye swaumu.
Tazama Azam Two nasikia ndio wanaonesha huko...
Siku nyingine muwe mnakuja Taifa