Tanzania sio nchi masikini

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,957
Tanzania tumebarikiwa Mungu ametupa ila kitu isipokuwa akili tu ya kutumia vitu hivyo vizuri tuna madini ya kila aina dhahabu, almasi, makaa ya mawe ,graphite, ruby ,tanzanite n.k

Mbuga za wanyama nzuri yenye kuvutia milima mizuri kma kilimanjaro maziwa na bahari nzuri lkn hivo vitu vyote bado tanzania ni nchi masikini how??

Viongozi wachumia tumbo wapigaji wanaiharibu nchi yetu

Ufisadi wakufa mtu anamiliki madola ndani inatia kichefuchefu
 
Mimi kinachoniuma ni kuwa pamoja na kila sehemu nchi hii inapigwa ila nimekosa connection yaani sijawahi pata deal la milioni 1 la kifisadi.
sina hata ndugu mmoja anayeipiga hii nchi ukoo mzima tupotupo tu..
Inaniuma sana sana.
Watu wanagawana mbao sahivi sie wengine tunalalamika kinyonge kinyonge huu ni usamba sana.
 
haya ndo madhara ya propaganda za Ccm mashuleni ya msingi hasa Tanzania ni nchi masikini sana.
 
Hahaha..😂 ndio umeshtuka Leo mkuu.
 
Sio kweli tunaweza kufaidika vizuri kama serikali ikiwa chini ya wazalendo
Nakuelewa sana ndugu mawazo yako, shida ni kwamba hao ambao wamezoea kunufaika hawata kubali kukosa hivhiv, ndipo huanzisha makundi ya uasi, asilimia kubwa Nchi nyingi zenye vita zinakumbwa na migogoro ya kuwania malighafi muhimu.
 
Nakuelewa sana ndugu mawazo yako, shida ni kwamba hao ambao wamezoea kunufaika hawata kubali kukosa hivhiv, ndipo huanzisha makundi ya uasi, asilimia kubwa Nchi nyingi zenye vita zinakumbwa na migogoro ya kuwania malighafi muhimu.
Tunafanya km nepal safisha safisha kwnz hawatakiwi kuishi ni risasi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…