Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
uchagadema ndio unakusumbuaHuyo nduli na dikteta wa Ikulu AKIKURUPUKA na kuufuta mkataba kinyemela imekula kwetu. Nilisoma hapa jamvini kwamba kabla ya mwisho wa mwezi huu ACACIA watafungua kesi ya madai ya $1.3 billion majuu.