Tanzania Says Acacia Mining Won't Be Allowed Role in Country

Huyo nduli na dikteta wa Ikulu AKIKURUPUKA na kuufuta mkataba kinyemela imekula kwetu. Nilisoma hapa jamvini kwamba kabla ya mwisho wa mwezi huu ACACIA watafungua kesi ya madai ya $1.3 billion majuu.
Hivi Kwann hamtaki serikali ya tanzania ifaidi raslimali zake kwa mstakabali WA wanannchi mmekazania ukibaraka tuuuuuuuu
 
Ha ha ha, naona umeleta habari, halafu umecomment mwenyewe. Bro mambo mengine acha yapite mwishowe utakufa kwa pressure ya mambo ambayo hata hayana maslahi kwa wanaokutegemea.

Just concerntrate on what you do, hayo mengine waachie walioamua hiyo iwe kazi yao na wanaendesha maisha kwa kazi hiyo unless you are one of them.
Amekosea ID..Alidhan ni ile ingine
 
Akili ndogo huwa zinashughulka na petty issues.umeona ee,hata hivyo nimeedit asante
Unawezaje kuwa akili kubwa wakati vitu vidogo kama hivi vinakusumbua Bob. Nimefanya hivo just to show how ignorance you are.
 
oooh asante mkuu.ila nafurahi umekubali wewe ni akili ndogo,ndo maana unaona pesa ambayo Tanzania inadaiwa haina maslahi kwa watoto wako,ila chenye maslahi kwao kwa akili yako ni petty issues,mshahara wako,biashara yako,ugali,mboga and the like
 
oooh asante mkuu.ila nafurahi umekubali wewe ni akili ndogo
Bingwa sijataka kuargue kwa sababu huna hadhi hiyo, hata hiyo comment yangu nikuhakikishie kwako ni bonge la credit. Ndio maana nikaona nikuonyeshe ulivo mbumbumbu by just show you hata kuandika huwezi.
 
Great,ndo maana nikasema wewe ni mzee wa petyy issues so uko sawa wewe si wa level yangu.Wa level yangu wanaangalia content na si Speeling wala grammar, wameshavuka leo hiyo.Actually last week before my trip back, we were discussing the same with my colleagues in DC
 
[/QUO
Huwezi kuwa na akili kubwa, halafu vitu vidogo vinakupa shida Bingwa. Hilo tu limenifanya nione uwezo wako ni mdogo mno. First impression imemaliza kila kitu bingwa.
 
Huyo nduli na dikteta wa Ikulu AKIKURUPUKA na kuufuta mkataba kinyemela imekula kwetu. Nilisoma hapa jamvini kwamba kabla ya mwisho wa mwezi huu ACACIA watafungua kesi ya madai ya $1.3 billion majuu.
Na nimeona hapo juu acacia wanasema gvt haitaki mazungumzo nayo sasa kuliko kuvutana bora wazungumze moja kwa moja na acacia na sio barrick la sivyo barrick ndio walipe hiyo pesa
 
Bingwa sijataka kuargue kwa sababu huna hadhi hiyo, hata hiyo comment yangu nikuhakikishie kwako ni bonge la credit. Ndio maana nikaona nikuonyeshe ulivo mbumbumbu by just show you hata kuandika huwezi.
"by just show you" ..... hahaaa
Mkoseaji wa tense pale anapo mkosoa mkoseaji wa spelling!

Tutafika tu. Nasubiri na mimi kukosolewa, ni mwendo wa kurekebishana tu.
 
Sijijui njoo huku.
Uliona hii kwa mkosoaji wako?

Wote tunakosea ni jambo la kawaida.
 
Ha ha ha, naona umeleta habari, halafu umecomment mwenyewe. Bro mambo mengine acha yapite mwishowe utakufa kwa pressure ya mambo ambayo hata hayana maslahi kwa wanaokutegemea.
Just concerntrate on what you do, hayo mengine waachie walioamua hiyo iwe kazi yao na wanaendesha maisha kwa kazi hiyo unless you are one of them.
Hii nchi sio yake na tukilipishwa haya mabilioni ni pesa za watanzania kodi zetu za kufanyia maendeleo sio kufanyia mchezo na wehu .
 
Kesho anaweza kuitisha PC na kusema alinukuliwa vibaya, tuwe makini kumsikiliza tena
 
Wachezaji ujuha wako wewe! Kwa ushahidi gani uliokuwa nao wa kuthibitisha pumba zako ulizoandika!? Umekuwa active hivi karibuni hujui chochote kuhusu msimamo wangu kuhusu rasilimali za nchi unakuja kuandika upuuzi wako.

Hivi Kwann hamtaki serikali ya tanzania ifaidi raslimali zake kwa mstakabali WA wanannchi mmekazania ukibaraka tuuuuuuuu
 
Acha ujinga sasa kama ACACIA hawatambuliki na Serikali iweje wawepo nchini wakivuna dhahabu!? Waliingia na mitutu ya bunduki!?
😳😳😳

Unachosema kinaweza kua au la kwakua barrick anataka kununua his a za Acacia akashia hataki kwako wewe usiye mpumbafu kati ya Barrick na Acacia nani anatambulika na serikali jibu ni Barrick kwa maana hiyohiyo hapa Acacia anamshitaki nani?povu limekua jingi kweli nikadhani huyu mwakilishi wa Acacia nini kwanini asimuone mkulu moja kwa moja kama wewe ulivyoliona shida moja wewe unachuki zako binafsi zimekupofusha hutauona ukweli utabaki kupiga porojo tu.
 
Huyo nduli na dikteta wa Ikulu AKIKURUPUKA na kuufuta mkataba kinyemela imekula kwetu. Nilisoma hapa jamvini kwamba kabla ya mwisho wa mwezi huu ACACIA watafungua kesi ya madai ya $1.3 billion majuu.
Wamechemka Kila kesi inatakiwa kufunguliwa Tanzania and not otherwise
 
Huyo nduli na dikteta wa Ikulu AKIKURUPUKA na kuufuta mkataba kinyemela imekula kwetu. Nilisoma hapa jamvini kwamba kabla ya mwisho wa mwezi huu ACACIA watafungua kesi ya madai ya $1.3 billion majuu.
kwa upeo wako unacho kisoma na uchongo ongea ni vitu tofauti tumika kichwa kuwaza na sio miguu
 
Wacha ujinga wewe buku 7 Wapumbavu kama wewe ndiyo matatizo makubwa nchi hii. Vipi kuhusu 2.4 trillions alizokwapua hazina? Ulishawahi kuandika chochote kuhusu hiyo issue? Vipi kuhusu kugomea audit? Ulishajiuliza ni sababu zipi zinamfanya huyo nduli na dikteta wa Ikulu aihofie audit!? 😳

Ujinga wako kwinngine siyo humu.

Back
Top Bottom