Nakataa 110%, wazungumzia misheni town/wezi/matapeli/forgeries/vyeti feki, kukwepa kodi, shopping dubai, kufuja umeme nyumbani, sherehe zilizokufuru, maisha feki au wale wengi wetu tuliezoea dagaa, mchicha, sembe, tembele, nyama mara moja kwa wiki, kuku mara moja kwa wiki, daladala, bia kwa wiki mara moja, hatuhongi nyumba/magari, hatuubi makazini, kuishi tokana na kipato chetu na kuridhika n.k.
Maana hata vijijini wanapata maji na umeme sasa, pembejeo kibao, vyakula vya mifugo bwelele, kugawiwa mashamba, haki, hakuna kutishana yale ya wajuwa mimi ni nani..
Sijuwi mwenzetu unaongelea hao wasio na furaha ni kina nani hasa?!