Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Tuanze na Rostam, Lowasa, Kikwete.......hakuna solution zaidi ya hii na tunaanza hapo nyumbani
View attachment 52552
Tuanze na Rostam, Lowasa, Kikwete.......hakuna solution zaidi ya hii na tunaanza hapo nyumbani
View attachment 52552
Kwani wewe Mkuu Wiliam unaishi nchi gani???? Tatizo ulilo liona ni Rushwa tuu, mbona ugomvi mkubwa bungeni juzi ulikuwa wizi wa kutisha ina maana hujaona hiyo umeona rushwa tuu??????? Tatizo kubwa nitofautiane na wewe ni wizi mkubwa unaoitwa ufisadi na dhuluma tena na Mawaziri na viongozi!!!!
Heka heka zote ilikuwa ni hasira za mmewe kutemwa....................no haiwezekani, ngoja nitafute ile thread ya vote of confidence kwa huyu bi Anne, ilianzishwa na prominent member one of those days.
no haiwezekani, ngoja nitafute ile thread ya vote of confidence kwa huyu bi Anne, ilianzishwa na prominent member one of those days.
Mimi nadhani tatizo tulilo nalo ni kwamba Sisi watanzania tuliowengi ni wala rushwa hivyo kuna ugumu kidogo kuwajibishana
alitoa ila rushwa yake aliiadvance kidogo anadai alitoa kwa wabunge upinzani tu,hatoi kwa mafisadi eti......vipi kwenye kinyang'anyiro cha ubunge wa east africa, ulitoa chochote mzee william?
Soma post namba 8 hiyo ndiyo njia mmbadala...............- Alternative yake ni nini hasa maana we can talk Rushwa mpaka mwisho wa Dunia, kama hatuongei Alternative tunakuwa tunaimba tu kama Kasuku, what is the tukitoa rushwa tutazibaje hilo pengo?
Willie!
Alternative ni kuwanyonga mafisadi wote akiwemo dingi yako..................
Alisema ''PATACHIMBIKA HAPA'' na HAPAKUCHIMBIKA WALA'' uso wake na roho yake wala havina uhusiano
Kula walikula kwa Wiliam Malecela lakini kura kwa Makongoro Nyerere.....hahahaha...wapinzani bwanaalitoa ila rushwa yake aliiadvance kidogo anadai alitoa kwa wabunge upinzani tu,hatoi kwa mafisadi eti......
Heshima mbele sana Great Thinkers:-
- Sio siri kwamba Tanzania, tunasumbuliwa sana na tatizo moja sugu kuliko yote nalo ni tatizo la Rushwa. Miaka nenda miaka rudi tunahangaika pale pale na infact ndio kwanza hili tatizo linazidi kushamiri, I mean how did we get here na hili tatizo?
- Nimesikia viongozi wengi tena kwa miaka mingi sana wakilia sana kuhusu rushwa, lakini sijawahi kusikia wakisema alternative ya rushwa ni nini hasa?
- Wa-Tanzania tufike mahali tujulize tulifikaje hapa na Rushwa, wapi tunakwenda nayo? na What is the alternative?
William @DSM City!
hadi leo hilo jinamizi halimtoki...kula walikula kwa wiliam malecela lakini kura kwa makongoro nyerere.....hahahaha...wapinzani bwana
alitoa ila rushwa yake aliiadvance kidogo anadai alitoa kwa wabunge upinzani tu,hatoi kwa mafisadi eti......
- Kulikuwa na results pale, Waziri Mkuu na mawaziri wanne walijiuzulu, ingawa haikuwa the best solution ya Rushwa!
Willie!
Siasa za majina ndio zinakufanya hata hapa JF ujulikane kwani baba yako asingekuwa mtu mzito hapa nani angekujua wewe kwanza usingiweza kufurukuta wala hata huko USA usingeenda tena unatakiwa uishukuru rushwa sana ndio iliyokufikisha hapo ulipo- Siasa za majina ndio zimelifikisha hili taifa hapa tulipo, sasa ungetegemea Great Thinker aonyeshee mfano wa kufikiria nje ya box la majina wapi, yale yale tu kelele as usual hakuna solution na kwenda kulala, mkuu ongea solution kwa ajili ya the future ya taifa!
Willie!
dont tell me, hivi "Anne" si ni mpiganaji wetu, anaweza kweli kutoa hiyo kitu, Im shocked!
Siasa za majina ndio zinakufanya hata hapa JF ujulikane kwani baba yako asingekuwa mtu mzito hapa nani angekujua wewe kwanza usingiweza kufurukuta wala hata huko USA usingeenda tena unatakiwa uishukuru rushwa sana ndio iliyokufikisha hapo ulipo
sisi hatujui muulize mwenyewedon't tell me hata wabunge wa 'upinzani' wanapokea rushwa!
hadi fb kaazisha page eti....lohsiasa za majina ndio zinakufanya hata hapa jf ujulikane kwani baba yako asingekuwa mtu mzito hapa nani angekujua wewe kwanza usingiweza kufurukuta wala hata huko usa usingeenda tena unatakiwa uishukuru rushwa sana ndio iliyokufikisha hapo ulipo
Alisema ''PATACHIMBIKA HAPA'' na HAPAKUCHIMBIKA WALA'' uso wake na roho yake wala havina uhusiano