Tanzania & Rushwa: What Is The Alternative?

Tanzania & Rushwa: What Is The Alternative?

Altenatives toward combating corruption: -
1. Chess out CCM
2. Chess out so called PCCB aka Hosea
3. Chess out Said Mwema (aka Intelijensia)
4. Filter all principal secretaries and their deputy, chess out those of the type of Mr. Jairo.
5. Introduce very fierce purnishment to whoever found guilty of being involved in act of corruption
6. Peoples President and not party president is required. He/She must be serious on issues, not serious on trips.
 
Sio kosa lako Willie. Haukuishi "practically" ndani ya Azimio la Arusha. Umezaliwa ukakuta tayari maisha yameandaliwa. Enzi zile ungemfunga nani? Mawaziri wote walikuwa masikini kabisa na walifuatiliwa nyendo zao kwa karibu kabisa. Hakukuwa na uwekezaji kwenye SIASA. Tafuta ule mkanda wa Mwalimu pale Kilimanjaro Hoteli na waandishi wa habari mwaka 1995. Utajua Mwalimu alivyoidhibiti rushwa hasa kwa VIONGOZI.
Amiin nakwambia bila Azimio la Arusha kurudi rushwa is here to stay permanently!

- Swali langu ni kwamba ukiondoa Rushwa utaiziba na nini, unaondoa Rushwa unatakiwa ku-introduce new theory itakayoziba rushwa otherwise unaweza uka-create Revolution!

- Mkuu nimeishi kwenye Azimio na nimejionea mwenyewe unafiki wa hali ya juu sana ambao ndio umezaa hiii rushwa tuliyonayo sasa, hiii rushwa ina mzizi mizito sana haiwezekani kwamba ndio imeanza 15 years ago, mkuu nimeahi kuishi China wakati sisi tukiwa kwenye Azimio, kule unaona kwamba wananchi wote ni sawa wote walikuwa wanaendesha baisikeli, hapa tumedanganyana weee sasa matokeo ndio haya!

- Halafu kuna lingine nimeliona toka nirudi ukabila, hili nalo ni tatizo sana people, sasa nauliza hivi eti ukiondoa Rushwa utai-replace na nini?

Willie!
 
suluhisho pekee litakalofanya watu wasitoe au kupokea rushwa ni kunyongwa

china wamethubutu wameweza,kwanini isiwe sisi? wabunge wa chadema naamini
2015 mtakuwa wengi sana bungeni na spika atatoka kwenu kazi kwenu kupitisha sheria mpya
kuhusu rushwa.
 
Back
Top Bottom