Tanzania: Ruling party plans to lock out opposition candidates as they did in local elections

Kwa ustarabu wa watanzania kwanza watu wanamshangaa maana hatujakuzwa kwenye kutokuheshimiana na kudharauliana ndio maana imekua ajabu miongoni mwa wengi juu ya makuzi yake. Yote kwa yote kwa kuwa ni mliberali na anaamini hata kwenye upuuzi Kama ushoga Kama ilivyo kwa wengi wenu hapo Kenya mchukueni awaongoze maana kwetu hana nafasi. Ustahimilivu wa serikali ni chambo kumuonesha kwamba pamoja na upuuzi wake wote wameona ni vema majibu ya matusi yake apewe na wananchi ndio maana wamempatia nafasi ya kukutana na wananchi ana kwa ana asije kulialia na kulalama Kama kawaida yake.

Mnatia huruma kama hizi ndio hoja mnazotegemea kutumia dhidi ya huyo jamaa, keshakua mgombea urais, kuweni serious mrudi kwenye ubao na kuandika upya mikakati na hoja zenye mashiko. Jamaa atawatesa sana kama hamjiongezi.
 
Kenya acheni kuingilia mambo ya tz,sisi hatujazoea kumwaga damu,mmesahau kiherehere ndio kiliwaponza mkajikuta mnachezea kipigo cha alishababu,tafuteni amani acheni uhasama malizeni makando kando yenu huko hatuendeshi nchi mnvyotaka nyie hii nguvu wekeni kujadili matatizo yenu acheni chokochoko tukichukia mtakoma

Wacha kung'aka, humu huwa tunajadili siasa za kote kuanzia kwa Trump Marekani kwenda kwa Putin mpaka kwa Kim Korea Kaskazi kuja hadi Afrika Kusini, hivyo hamna namna ya kuzuia msijadiliwe, kama hamtaki mjadiliwe acheni matukio na kama vipi mjifungie ndani kabisa bila kuanika chochote kwenye vyombo vya habari
 
Wacha kung'aka, humu huwa tunajadili siasa za kote kuanzia kwa Trump Marekani kwenda kwa Putin mpaka kwa Kim Korea Kaskazi kuja hadi Afrika Kusini, hivyo hamna namna ya kuzuia msijadiliwe, kama hamtaki mjadiliwe acheni matukio na kama vipi mjifungie ndani kabisa bila kuanika chochote kwenye vyombo vya habari
Tofautisha kujadili na kuponda
 
Hivi mipinzani ya Tanzania mnatarajia nini kama hamuungani wa wengine mteue mgombea mmoja?
Hata CCM wasipo wafanyia figisu bado kura zenu zitakuwa zimegawanyika vipande vipande
Mijinga kweli nyie
 
Back
Top Bottom