Tanzania Religious figures

Tanzania Religious figures

Dini zina ubiri upendo na kusamahe pia usiue , ila hao unaowaita washika dini wanashabikia mauaji ya palestina na Israel na Lebanon , nafikiri mtoa mada kuna namna yupo sahihi tena hapo kawahurumia sana🤔🤔🤔
So, do we judge Christianity based on what christians do OR do we judge Christianity based off authoritative literatures?
 
Tanzania Religious figures

Tanganyika
85% Pagan/ Non Religious/ Atheist
7.4% Christian
5.2% Islam
1.5% Hinduism
0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions

Zanzibar
84% Islam
9% Christianity
5% Hinduism
2% Others like Judaism, traditional religions, pagans, non religious/ Atheist
Sawa ndugu nkiristo takwimu zangu wakilisto asilimia 100,waislam asilimia 0,haya shangilieni enyi wagalatia msio na Akili,(kwa mujibu wa Bible).
 
Christians 64.1% , Muslims 34.1%
Source: CIA Fact book 2020.
 
Mmm hapana nakataa,hapo wa kwanza mpe 13% wa pili mpe 72% otherwise hii ni batili.
huwa nashangaa watu unakuta mishipa inawasimama wakisemwa wa dini fulani wengi. mimi I care nothing wawe wa imani yangu ndio wengi ama wachache..sioni kama ni ishu.
kuna mambo ukikuta watu wanabishana unaona namna watu weusi kutoka jamhuri ya ukimani wasivyo na akili
 
Back
Top Bottom