Tanzania Religious figures

Tanzania Religious figures

Inasikitisha sana, sisi kukataa majina yetu ya asili yenye uhusiano na mila, desturi pia tamaduni bila kusahau majina yetu ya kienyeji yanabeba historia ya mazingira na kuenzi mababu na bibi zetu kwa karne kibao.
Sema inakusikitisha sana, usiwaweke wengine. Unajuaje wengine nao wanasikitika kama unavyosikitika wewe?
 
Si nina'share' tukoje. Kwa nje tunasema ni atheists, lakini kwa ndani tunamwamini Mungu. Wewe unaweza kupinga kitu usichojua kwamba hakipo na utaanzaje? Ukipinga, ina maana hicho unachokipinga kilo, labda umeamua tu kutokubaliana nacho. Lakini kilo kwa sababu kama hakipo, utakipingaje, si kila mtu atakuona wa ajabu! Hivyo, ndivyo sisi atheists tulivyo. Kingunge naye alikuwa haamini Mungu yupo, lakini alipokaribia mwisho kabisa nasikia aliomba Padri aende kumwombea. Hivi ndivyo nilivyosikia na kama ni kweli, ni ushahidi mmojawapo. Upon hapo?
Kipo kipo wap ? Onyesha kwamba kipo , Mungu hayupo na waliosema yupo hawawezi onyesha yupo , tunaosema hayupo hayupo kweli wewe umemwona wapi?
 
Tanzania Religious figures

Tanganyika
85% Pagan/ Non Religious/ Atheist
7.4% Christian
5.2% Islam
1.5% Hinduism
0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions

Zanzibar
84% Islam
9% Christianity
5% Hinduism
2% Others like Judaism, traditional religions, pagans, non religious/ Atheist
Umeokota wapi hizo takwimu za mwaka 1942?
 
Kipo kipo wap ? Onyesha kwamba kipo , Mungu hayupo na waliosema yupo hawawezi onyesha yupo , tunaosema hayupo hayupo kweli wewe umemwona wapi?
Na nyinyi manaosema hayupo hamuwezi kuthibitisha. Basi imekuwa mkanganyiko kukanganyikana🤣
 
Tanzania Religious figures

Tanganyika
85% Pagan/ Non Religious/ Atheist
7.4% Christian
5.2% Islam
1.5% Hinduism
0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions

Zanzibar
84% Islam
9% Christianity
5% Hinduism
2% Others like Judaism, traditional religions, pagans, non religious/ Atheist
Mkuu umepuyanga sana alafu kuna vitu hautumii nguvu Kupata ukweli, waislamu wanavyo oa na kuzaliana Eti tuwa wachache, wewe utakuwa wale wale
 
Back
Top Bottom