Tanzania Religious figures

Tanzania Religious figures

Uthibitisho ni kupitia athari za maumbile mbalimbali, mfano, je wewe unaweza kututhibishia kwamba akili ipo? Uliwahi kuiona? Au unaona tu athari zake?
Kwa hiyo akili ndio Mungu? Athari za maumbile kivipi
 
Scarcely believable, kwamba 85% ni Pagan.

  • Christian: 63.1%
  • Muslim: 34.1%
  • Traditional African religions: 1.1%
  • Other: 1%
Quick Google search Inaonyesha kwamba umekosea.
 
Dini zina ubiri upendo na kusamahe pia usiue , ila hao unaowaita washika dini wanashabikia mauaji ya palestina na Israel na Lebanon , nafikiri mtoa mada kuna namna yupo sahihi tena hapo kawahurumia sana🤔🤔🤔
huo mgogoro ukiwa neutral unashambuliwa na pande zote mbili kwa wakati tofauti 😂
 
Wanahubiri amani huku wameshika mapanga😁
Kuna wengine wanashika silaha za kisasa, na wanaua watu hovyo na wanapata sapport ya washirika wao

Amani ipo kwa watu wa amani ola wakijilinda (self defence) au wakijitetea huitwa wakorofi, yaani ulimwengu unataka baadhi ya watu wapigwe na wa kae kimya tu, kujilinda ni haki ya kila mtu
 
Tanzania Religious figures

Tanganyika
85% Pagan/ Non Religious/ Atheist
7.4% Christian
5.2% Islam
1.5% Hinduism
0.9% Others; Judaism, Buddhism, other traditional religions

Zanzibar
84% Islam
9% Christianity
5% Hinduism
2% Others like Judaism, traditional religions, pagans, non religious/ Atheist
Stupidy
 
Thibitisha kuwa yupo,wewe kwanini unaona kila mtu anapaswa aamini Mungu yupo?
Kwangu kutomwona Mungu au mtu siyo sababu kwamba hayupo (non-existent). Kwako wewe usiopomwona, huyopo. Sasa wewe, unayesema haonikani kwa sababu hayupo (non-existent) thibitisha.
 
Kwangu kutomwona Mungu au mtu siyo sababu kwamba hayupo (non-existent). Kwako wewe usiopomwona, huyopo. Sasa wewe, unayesema haonikani kwa sababu hayupo (non-existent) thibitisha.
🚮
 
Back
Top Bottom