Tanzania rejects EAC single tourist visa plan!

Tanzania rejects EAC single tourist visa plan!

Tatizo la hawa watu huwa hawapendi kuumizwa vichwa vyao katika kuzichambua taarifa mbalimbali,Wao wameshazoea kutafuniwa na kumezeshwa kila kitu.Wanasiasa wajanja sana,wameugundua huu udhaifu wa Watanzania.Yaani ukitaka kumpata Mtanzania mwambie kile anachopenda kukisikia basi.Ukweli ni kwamba Viongozi wetu Tanzania hawapendi kufanya kazi kwa kukimbizwa kimbizwa,Wamezoea kujiongozea malipo makubwa kila baada ya miezi kadhaa sasa baadhi ya projects au plans zitawalazimisha kufanya kazi kwa kujituma sana au mianya ya ulaji wao kubinywa sana ndio maana wanafanya kila wawezalo kupinga projects nyingi za EAC.Kingine wanachohofia ni kwamba kujiunga katika hizi projects ingetufanya tuanze kuitathmini serikali yetu namna gani inavyopambana na majirani zake katika eneo la kibiashara.
kwa maoni yangu tz has the best opportunity to make it big than any other EA country.nakubali kulikuwa na makosa mengi kwa EA ya kwanza na kenya ilibenefit kuporomomoka.but this is a new age.angalia biashara ya TZ kenya ambovyo imeongezeka.hata kama tz baada ya miaka tano yang'ang'ania tariffs even after kenya kuruhusu biashara bila vikwazo don know 10 yrs ago.tz should come up with counter proposals to what they dont agree with in all areas.tz has virgin resources than any other EA country.i see in this blog kenya and others are after our resources.yes let them come bora ni investiment so as chinese but let it be on your terms.how does one develop without exploiting his raw inputs.bora kuwe guidelines e.g you want land you can only lease it but not own it.in kenya we made that mistake so tz has us to learn from and avoid pitfalls and come up with the best practices.maoni tu.don expect matusi lakini kusoa,ongezea au upunguze.ahsante
 
Nchi inayotawaliwa na siasa

Leteni economic arguments na sio hizi blah blah blah zenu
 
Business is business and people should embrace the concept of new challenges hilo halina ubishi. Sidhani kwa sasa ndani ya Tanzania kama kuna sheria inayosema mwekezaji wa kilimo kwanza asiwe raia wa nchi jirani where land has been allocated for those purposes. Issue inakuja pale members wa EAC wanapodai equal rights and terms as of those offered to local people, with less restriction kama bila ya kuingia ubia na mzawa kupewa ardhi.

Kwenye maswala ya uwekezaji kama ununuzi wa agricultural products hata mimi naunga mkono, kuna sababu gani ya mkulima kukamua ng'ombe maziwa na hajui apeleke wapi au mkulima wa cocoa anaekosa soko wakati sijasikia kiwanda hata cha chocolate ndani ya Tanzania au hata other dairy products. Kumekosekena creativity in many areas (may be access to funds contribute) lakini tanzania iachane na habari za kudhani ujasiriamali ni kufungua kibanda cha chipsi/bar/hotel/au duka la nguo (much is concentrated in the service sector), that wont fuel macro growth and propel industrial revolution which is much needed.

Considering land is becoming an issue which we can longer ignore, kilimo wont carter for the needy forever, the environment and population is defying those odds. Kwa maana hiyo sera za uwekezaji unao kuja na capital lazima ziangaliwe upya na kuwa-encouraged in order to fuel internal industrial revolution hili kutoa ajira na kupunguza tegemezi la kilimo, hapo sioni tatizo hela inatoka wapi au huyo mwekezaji provided we get the right deals (thats my take anyway).
 
waltham,

..Tanzania ina vivutio vyote ambavyo viko kwa majirani zenu. Mtalii akifika Tanzania ataweza kuona gorillas, wanyama, fukwe za bahari, na kupanda mlima Kilimanjaro, hivyo kutokuwa na ulazima wa kutembelea Kenya, Uganda, au Rwanda.

..also, katika revenues zinazotokana na tourist sector, Tanzania ndiyo inapata mapato makubwa kushinda wenzetu wa Afrika Mashariki. kwa msingi huo so far tunaona we are on the right track, tunachotakiwa kufanya ni kuboresha huduma zetu na kuwa more creative and aggressive kujitangaza zaidi.

..kuhusu LAND huku Tanzania kuna matatizo makubwa ya ardhi sasa hivi. kama utakuwa unafuatilia vyombo vya habari kuna mapigano ya mara kwa mara kati ya wakulima na wafugaji. katika hali kama hiyo siyo busara kufungua mipaka yetu na kuruhusu wageni toka nchi majirani kumiliki ardhi huku Tanzania.

..asilimia kubwa ya wa-Tanzania ni wakulima na wafugaji wadogo wadogo hivyo access to the land is key to their sustenance. Watanzania wanaamini sheria[land laws] za umiliki ardhi za Kenya na Uganda zinamkandamiza mtu wa chini. Hali hiyo ndiyo inayosababisha wa-Tanzania wawe wakali every time it is suggested kwamba ardhi iwe suala la East African community.

..The fact kwamba Kenya na Uganda mlifikia kupigana vita kuhusu eneo dogo la ardhi ktk kisiwa cha Migingo halileti picha nzuri kwa wa-Tanzania.

..Siyo kweli kwamba wa-Tanzania hatutaki ushirikiano na majirani zetu. Kenya inashika nafasi ya pili kati ya wawekezaji wa nje nchini Tanzania. Tungekuwa hatutaki ushirikiano na majirani zetu tusingeruhusu hali hiyo. Mimi nadhani wa-Kenya mnatumia muda mwingi kuishambulia Tanzania instead of looking at the bright side of the relations btn our two countries.

..Kuhusu makao makuu ya EAC kuhamishwa toka Arusha, sidhani kama wa-Tanzania wata-object ikiwa uamuzi huo utakuwa umefanyika ktk mazingira ya kindugu kwa manufaa ya jumuiya yetu.

cc Geza Ulole, Ngongo, Mungi
now ur debating.lemmi ask you.do tanzania want more tourists.if yes how abt winning tourists from other markets.thats business.come collaborate win them even have more revenues.nobody will object if you convinced a tourist in kenya to visit tz next.on land my friend i bliev tz has economists n ask them land is a key factor of prodn.nobody is saying twende mkoani competing for land with peasants its land mainly in urban areas 4 investiments,na mwisho wa siku if you know land is so dear its up to you to craft a water tight policy to guide wageni kupata land sio kusema sitoi land ilihali ni moja wapo ya factors of prodn. HQ si kusema ihamishwe maanake niLIsuggest TU kama tz haipo ready kusonga mbele na muungano lakini Rais kikwete amesema tz ipo ndani kwa hivyo hilo halipo kwa sasa.mwisho wa siku nasema tz itoke kimasomaso na mikakati badala sio kulia nimefuzwa,nimetelekezwa.ibabanane na maproposal ya badala kwa COW,mwishoye iwe ndio yawika kwa hizo COWS
 
, Koba, Rutashubanyuma,

..Kenya haiwezi tena kushindana na Tanzania sasa wanataka kujificha kwenye common visa.

..Tanzania makes $1.82 billion frm tourism.

..someni hapa chini, na article nzima ktk the East African magazine.

Kenya saw its tourism earnings drop 7.4 per cent to Ksh96.24 billion ($1.11 billion) in the year ending June 2013, from Ksh103.91 billion ($1.12 billion) the previous year.
Rwanda had 664,729 visitors in 2012 and collected at least $142.5 million in tourism revenues in the first quarter of 2013.
Tourist arrivals in Tanzania increased from 867,994 in 2011, to 1,077, 058 in 2012, a 24 per cent rise.

Uganda's tourism earnings are estimated to have hit $1 billion in 2012.

Industry players said that for a single tourist visa arrangement to work, there has to be a well-financed joint marketing effort to sell the region as a single destination.

read the entire article here:
Bumpy ride: EAC single tourist visa plan delayed by national and regional red tape - News - www.theeastafrican.co.ke

cc Happy Feet

Last edited by a moderator:
Business is business and people should embrace the concept of new challenges hilo halina ubishi. Sidhani kwa sasa ndani ya Tanzania kama kuna sheria inayosema mwekezaji wa kilimo kwanza asiwe raia wa nchi jirani where land has been allocated for those purposes. Issue inakuja pale members wa EAC wanapodai equal rights and terms as of those offered to local people, with less restriction kama bila ya kuingia ubia na mzawa kupewa ardhi.

Kwenye maswala ya uwekezaji kama ununuzi wa agricultural products hata mimi naunga mkono, kuna sababu gani ya mkulima kukamua ng'ombe maziwa na hajui apeleke wapi au mkulima wa cocoa anaekosa soko wakati sijasikia kiwanda hata cha chocolate ndani ya Tanzania au hata other dairy products. Kumekosekena creativity in many areas (may be access to funds contribute) lakini tanzania iachane na habari za kudhani ujasiriamali ni kufungua kibanda cha chipsi/bar/hotel/au duka la nguo (much is concentrated in the service sector), that wont fuel macro growth and propel industrial revolution which is much needed.

Considering land is becoming an issue which we can longer ignore, kilimo wont carter for the needy forever, the environment and population is defying those odds. Kwa maana hiyo sera za uwekezaji unao kuja na capital lazima ziangaliwe upya na ku-encourage internal industrial revolution kutoa ajira sasa kwa watu na kupunguza tegemezi la kilimo, hapo siono tatizo hela inatoka wapi provided we get the right deals (that my take anyway).
mawazo mazuri lakini narudi pale pale wakidai equal rights na sidhani thats the right position aidhuru si ni tz govt ije na counter proposal kwa benefit ya wananchi wake.sijaliona hilo si kwa visa,land au other areas
 
Tatizo lililopo ktk hili ni kwamba wenzetu hawa wajanja wajanja sana, yaani eti mtalii akifika kenya 10per inabaki huko na kinachobaki mnagawana wote na tukumbuke kuwa Tanzania tunavivutio vingi sana kuliko wenzetu.Na wenzetu walisha jiimarisha sana ktk kujitangaza na watalii wengi huanzia kwao kwa kuona mboga moja na kukimbilia Tanzania kwa muda wote watalii watakapo kuwepo
 
tunaelimishana hapa.niko radhi nikosolewe japo bila matusi.kusema niende kwa blog zetu umekosa ufasaha wa hoja.jiamini kaka.toa hoja usiogope.kwani kunaye aliyesema ngumu ya kalamu ni kali kuliko upanga.thats what ales tz.wanasema kaonewa,kafukuzwa,katongozwa, na na nanii.jiamini toa mawazo badala dont cry wolf on tourism,land and everythin and if hautaki muungano sema watu wajua na watafute makao badala ya EAC(Arusha) muungano is for the willing.period
hivi wewe unatoka kibera slums?kenyans are landmongers.
 
Tatizo lililopo ktk hili ni kwamba wenzetu hawa wajanja wajanja sana, yaani eti mtalii akifika kenya 10per inabaki huko na kinachobaki mnagawana wote na tukumbuke kuwa Tanzania tunavivutio vingi sana kuliko wenzetu.Na wenzetu walisha jiimarisha sana ktk kujitangaza na watalii wengi huanzia kwao kwa kuona mboga moja na kukimbilia Tanzania kwa muda wote watalii watakapo kuwepo
sawa ushalifahamu hilo si uwe mjanja zaidi halafu uketi uzuke na better proposal kuliko hiyo ijadiliwe ambapo itakupa faida zaidi.you also benefit bcoz you already know your friends strategies so you better them to your advantage.au sio
 
My ideas are progressive ndio maana naona kunaulazima wakumaliza matatizo ya EAC for good jinga wewe.

halafu mimi ni mtanzania kwanza, then an african second. Ningependa kuona EAC inaenda kwa speed na integration ya haraka haraka whereby the environment is permitting. Sasa nyie mnalazimisha vipi bila ya kujali maslahi ya mgawanyiko wa mapato. Acheni kupayuka hovyo hata EU hiyo 'schengen visa' aikuanza na haraka haraka, kwanza wamejenga common/free market, kuna a lot comparative trading in the bloc almost every nation is benefiting (ingawa wengine zaidi, kutokana na na advancement walizoingia nazo).

Vile vile mwisho wa siku kila nchi inachangia kwenye EU pot, na nchi tajiri zinatoa zaidi ya maskini wakati nchi masikini zinapokea misaada mikubwa from the same fund shared (the idea ni kukwamuana mpaka wanakamatana kwanza) wana agenda na wanajua wanaelekea wapi in the long run huku wakizingatia hatua kwa hatua.

Sasa nyie wenzetu njaa inawasumbua kuna vitu vingi bado havipo sawa mnalilia mapato ya wenzenu wakati jinsi ya kugawanya amtaki kuongelea, democracy zenu tia maji tia maji halafu mnataka free movement of people, mkipigana huko mtuaribie na utalii wetu, mtuletee wakimbizi nani anataka kuungana na watu hao, bado ardhi kwenu shida. Ukweli wenyewe i dont see any problem with those things maana they can be sorted easily provided our neighbors embrace the concept of democracy and the politics of competition.

Something which is near but far kwa sababu za local culture and clinging to presidency, embu jiulize seriously how could FDRL gain support outside rwanda. If rwanda's population of which over 85% are hutu's, hawa watu huko ndani wangekuwa wanaside na PK kwamba FDLR wanataka kurudisha nyuma maendeleo na umoja wa rwanda, outside supporter wa hichi kikundi si wangeona aibu. Ni nyie tu ndio hamtaki kukubali ukweli wa matatizo ya viongozi wenu na umaskini unaowakabili na donge la utajiri wa tanzania.

Umesoma thread ya wa-congo kuwa trained in monduli, my take safari hii the UN forces watakaa nyuma, mwambie PK mzikii wa safari ukirudi mjue mpaka kigali you watch it, when UN moans you know the capitalist think it enough of the PK nonsense, kinachotafutwa ni legit army and a reason to invade Kigali (watch this space).

Jirekebisheni, halafu kule kwengine ukunijibu kwenyu wapi mazee.
Happy feet or whatever ugly feet,why wewe everything is about Kigali? are you in jmali company? seems Kuna agenda za siri humu ila sihitaji kujua so keep it to yourself... na kukusaidia I'm not from Kigali ila their president kagame is my hero.
 
mawazo mazuri lakini narudi pale pale wakidai equal rights na sidhani thats the right position aidhuru si ni tz govt ije na counter proposal kwa benefit ya wananchi wake.sijaliona hilo si kwa visa,land au other areas
tupe benefit zetu unazodai kwanza tukupe majibu yetu kwenye hayo unayoona yanatufaa.
 
hivi wewe unatoka kibera slums?kenyans are landmongers.

napenda ua stupid question na unavyojianika ulivyopongukiwa na mawazo.common sense is really a rare commodity.you one of those guys with this deficiency.see a physician if have one
 
Happy feet or whatever ugly feet,why wewe everything is about Kigali? are you in jmali company? seems Kuna agenda za siri humu ila sihitaji kujua so keep it to yourself... na kukusaidia I'm not from Kigali ila their president kagame is my hero.
Amna asie jua ni shujaa wako, hila wewe kwenyu wapi is it Kivu, Goma, Lubumbashi si useme tu.
 
counter proposal kwa benefit ya wananchi wake.sijaliona hilo si kwa visa,land au other areas
hili upewe counter proposal, kwanza lazima uje na argument ya benefit zetu za visa, land rights and other areas zipo wapi au unaandika ujui unauliza nini.

sikuelewi kaka.na sidhani umenielewa
I hope umenielewa.

Asubuhi njema, me out.
 
now ur debating.lemmi ask you.do tanzania want more tourists.if yes how abt winning tourists from other markets.thats business.come collaborate win them even have more revenues.nobody will object if you convinced a tourist in kenya to visit tz next.on land my friend i bliev tz has economists n ask them land is a key factor of prodn.nobody is saying twende mkoani competing for land with peasants its land mainly in urban areas 4 investiments,na mwisho wa siku if you know land is so dear its up to you to craft a water tight policy to guide wageni kupata land sio kusema sitoi land ilihali ni moja wapo ya factors of prodn. HQ si kusema ihamishwe maanake niLIsuggest TU kama tz haipo ready kusonga mbele na muungano lakini Rais kikwete amesema tz ipo ndani kwa hivyo hilo halipo kwa sasa.mwisho wa siku nasema tz itoke kimasomaso na mikakati badala sio kulia nimefuzwa,nimetelekezwa.ibabanane na maproposal ya badala kwa COW,mwishoye iwe ndio yawika kwa hizo COWS

..ukitaka kupata land in Tanzania u have to go thru Tz Investment Center.

..Kenya inashika namba 2 ktk foreign investors in Tanzania. now do u think those Kenyan investors do not have access to our land?

..Kuhusu tourism we want Tanzania to stand out as the premier tourist destination in East and Southern Africa. I dont think bundling ourselves with other EA countries is going to help us.

..Mimi nadhani tatizo ni media ya Kenya. They have been too negative about Tanzania.
 
hili upewe counter proposal, kwanza lazima uje na argument ya benefit zetu za visa, land rights and other areas zipo wapi au unaandika ujui unauliza nini.

I hope umenielewa.

Asubuhi njema, me out.
got you now.it doesnt work like that.COW imeleta mikakati ambayo tz govt doesnt agree with.the onus is on the tz govt to table counter proposals.sasa mie au cow iwape manufaa kivipi na zote tuko ndani ya bus moja.its up to you look after your citizen rights.so for that reason ni wewe na tz govt kama ipo ndani ya muungano wa EA kama ilisign up yenyewe ilijua what its looking for kwa minajili ya wananchi wake.na kama yadhani muungano aufaidi ni yenyewe kwa kujieleza.au sio kaka.hapo ndio nikasema tz alwalys claims yafukuzwa.nanani na ilisign up yenyewe.ni mwanadao kamili.
 
..ukitaka kupata land in Tanzania u have to go thru Tz Investment Center.

..Kenya inashika namba 2 ktk foreign investors in Tanzania. now do u think those Kenyan investors do not have access to our land?

..Kuhusu tourism we want Tanzania to stand out as the premier tourist destination in East and Southern Africa. I dont think bundling ourselves with other EA countries is going to help us.

..Mimi nadhani tatizo ni media ya Kenya. They have been too negative about Tanzania.
i totally agree with you.kama tz yataka iende pekee yake kitourism.shinda ipo kwa EA treaty.waseme mtu awe huru kuchagua the issues to get into and what not to be involved.becoz that now would be a weak integration na pia tz isilie sitaki viasa ya pamoja ili hali ata haukuhusishwa.on land si nyie kwa blog mnalia mashamba yenu yatanyakuliwa.media kenya ni very independent.as far you play by the rules write your opinion whether i agree with it or not.ni anayesoma to make own conclusions.so sidhani media ni tatizo
 
Am dissappointed with all my fellow Tanzanians' comments who support our government stance on single visa territory issue.To be honest am not with this coward and irresponsible government on this issue of opting out,Let me tell you dudes,No one have ever made any actual progress in terms of economy while isolating oneself,I say no one.For any Country to make a vivid economic progress it needs to enter economic competition with other Nations.When you compete with others you will notice your strengths & weaknesses in an effort to make yourself even better in the park.Mr Sitta claims that the reason of rejecting the project is because Kenya have the best airport in the region so we will be losing a lot of revenues to them are absolutely ridiculous!I didn't expect a man of Sitta calibre to puke such simple reasons.I ask myself how weak Tanzanians have become to even fail to build our own biggest airport in the region?That is one of the advantages the competition will always bring about among the competitors.

It was the ISOLATION POLICY of early 1900s that contributed much to the rising of USA as the supper power. Acha uwongo kaka nenda kasome historia vizuri. China, Japan, North Korea, Malaysia, Libya nk, walikuwa kwenye jumuia gani za kiuchumi kuzunguka mipaka yao zilizowasaidia kujinyanyua kiuchumi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom