pixel
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,630
- 406
i cry for tanzania.wakati kila mtu africa uaja pamoja na kuondoa mipaka ya kiukoloni na kifra hawa ndugu ndio kuezeka kuta.haki yenu lakini muwe na mazoea ya kuingia uajani na kumenyana na wengine kifikira na kimawazo sio kulia kila wakati kaonewa,kafukuzwa na kadhalika.
Tanzania haijawahi kusema imefukuzwa bali inahitaji kuhusishwa usijifanye hamnazo kichwani,dont cry for Tz!