Tanzania rejects EAC single tourist visa plan!

Tanzania rejects EAC single tourist visa plan!

got you now.it doesnt work like that.COW imeleta mikakati ambayo tz govt doesnt agree with.the onus is on the tz govt to table counter proposals.sasa mie au cow iwape manufaa kivipi na zote tuko ndani ya bus moja.its up to you look after your citizen rights.so for that reason ni wewe na tz govt kama ipo ndani ya muungano wa EA kama ilisign up yenyewe ilijua what its looking for kwa minajili ya wananchi wake.na kama yadhani muungano aufaidi ni yenyewe kwa kujieleza.au sio kaka.hapo ndio nikasema tz alwalys claims yafukuzwa.nanani na ilisign up yenyewe.ni mwanadao kamili.

..hapana.

..hebu angalia headlines za magazeti ya Kenya.

..utaona mengi ndiyo yalikuwa yanasema Tz imekuwa-isolated.

..Tanzania has been doing exactly what u have suggested, and that is standing for the interests of her ppl within the EAC.

..EA treaty inaruhusu nchi kuchagua mikataba ya kusaini. Tanzania haikusaini EA defence treaty wakati Kenya,Uganda, na Rwanda walisaini.

NB:

..subiri Somalia wawe admitted into EAC halafu tuone kama Kenya mtaendelea na proposals zenu kuwa watu watumie student IDs kuvuka mpaka within EA.
 
Kulianzishwa EA passport siku za nyuma wakati ikiwa ni Tanzania, Kenya na Uganda.
Nchi iliyokataa matumizi ya EA Passport ilikuwa ni Kenya.

Kulikuwa na mkataba wa wanafunzi wa Universities zote za EA kusoma kwa ada ya kiwango kimoja.UDSM ilitekeleza, Kenya na Uganda wakakataa hadi leo.

Suala la single Visa Tanzania imeeleza wasi wasi kwa kusema mgawanyo wa mapato unakuwaje? Hakuna namba zozote sasa iweje Tanzania ikubali kuuziwa mbuzi katika gunia.

Pamoja na hayo imesema wazi nchi nyingine kama Uganda na Rwanda haziathiriki na suala hilo. Kama mgawanyo haupo wazi vyanzo vya kulinda rasilimali kama national parks and game reserve nani atabeba gharama?

EAC ilipovunjika 1977 Tanzania iliathirika sana, kwasasa inachukua tahadhari kwa kuelewa kuwa stability ya nchi za Afrika ni fragile.

CoW inafanya kazi kwa kutumia majina ya viongozi. Kubadilika kwa uongozi kunaweza kuzua tafran.Ni kwa msingi huo EA imara itajengwa na watu na siyo viongozi.
Ubaya wa wazo hilo upo wapi?
 
got you now.it doesnt work like that.COW imeleta mikakati ambayo tz govt doesnt agree with.the onus is on the tz govt to table counter proposals.sasa mie au cow iwape manufaa kivipi na zote tuko ndani ya bus moja.its up to you look after your citizen rights.so for that reason ni wewe na tz govt kama ipo ndani ya muungano wa EA kama ilisign up yenyewe ilijua what its looking for kwa minajili ya wananchi wake.na kama yadhani muungano aufaidi ni yenyewe kwa kujieleza.au sio kaka.hapo ndio nikasema tz alwalys claims yafukuzwa.nanani na ilisign up yenyewe.ni mwanadao kamili.

Don't worry hawa humu ni useless noise ,subiri Rostam and Bakhresa wakiamua then mafisadi watalambishwa chao then utasikia long live EAC.
 
You said you prefer trying; so if trying is needed start by trying with a knife along your neck or you can try with poison in your drink.

Wazungu wangekuwa na akili kama zako basi wasingeanzisha teknolojia ya usafiri wa anga maana was the riskiest idea ever!Just imagine ndege inasafirisha abiria zaidi ya 200,magari na mizigo mingine mingi tu angani,What a courage!!Waafrika tuendelee tu kuogopa kuthubutu kufanya kila jambo huku tukijifanya tuna akili sana ya kuchambua hasara tu za maamuzi tutakayoyafanya huku tukipuuzia faida za muda mrefu zitakazoletwa na hayo maamuzi.Wazungu wamefika pale walipo kwasababu walikuwa tayari ku-take risks.Risk taking=innovation.
 
Unafahamu matatizo ya EU kwa sasa?
 
Hawakuanza na ndege ya watu 200, did they? Sita hakusema kuwa na visa moja ni vibaya. Amesema mifumo iangaliwe hatua kwa hatua. Wewe leo unapata dola 150, kesho hujui itapatakiasigani katika dola 100 ya pamoja, je hiyo ni akili au ubongo wa uji?
 
sasa mifumo iangaliwe na nani wakati huyu sitta yumo ndani ya EA.ni yeye alete visa proposal BADALA kwa niaba ya tz.angalie hiyo mfumo usemayo wewe au you table mojawapo WA MFUMO hapa JF wewe.husitwike wengine mzigo wako bwana.kazi kwako.your school of thinking is leaning towards those pple like sitta saying in EA tz is being chased away,being forced,being courted etc. by who when tz has the EA HQ is a full member of EA
 
Hawakuanza na ndege ya watu 200, did they? Sita hakusema kuwa na visa moja ni vibaya. Amesema mifumo iangaliwe hatua kwa hatua. Wewe leo unapata dola 150, kesho hujui itapatakiasigani katika dola 100 ya pamoja, je hiyo ni akili au ubongo wa uji?

If you avoid challenges you will never be innovative and if you are not innovative you will never experience any development and if you don't have any development you will never be respected and if you are not respected you will never have positive self-esteem & positive self-image and if you are not positive about yourself you will feel inferior towards others and if you are inferior you will never believe yourself in whatever you do thus you will always lag behind in terms of everything so we really need to break with this negativity chain we inherently possess!!!
 
Unaleta ngonjera badala ya kujibu hoja,
 
My ideas are progressive ndio maana naona kunaulazima wakumaliza matatizo ya EAC for good jinga wewe.

halafu mimi ni mtanzania kwanza, then an african second. Ningependa kuona EAC inaenda kwa speed na integration ya haraka haraka whereby the environment is permitting. Sasa nyie mnalazimisha vipi bila ya kujali maslahi ya mgawanyiko wa mapato. Acheni kupayuka hovyo hata EU hiyo 'schengen visa' aikuanza na haraka haraka, kwanza wamejenga common/free market, kuna a lot comparative trading in the bloc almost every nation is benefiting (ingawa wengine zaidi, kutokana na na advancement walizoingia nazo).

Vile vile mwisho wa siku kila nchi inachangia kwenye EU pot, na nchi tajiri zinatoa zaidi ya maskini wakati nchi masikini zinapokea misaada mikubwa from the same fund shared (the idea ni kukwamuana mpaka wanakamatana kwanza) wana agenda na wanajua wanaelekea wapi in the long run huku wakizingatia hatua kwa hatua.

Sasa nyie wenzetu njaa inawasumbua kuna vitu vingi bado havipo sawa mnalilia mapato ya wenzenu wakati jinsi ya kugawanya amtaki kuongelea, democracy zenu tia maji tia maji halafu mnataka free movement of people, mkipigana huko mtuaribie na utalii wetu, mtuletee wakimbizi nani anataka kuungana na watu hao, bado ardhi kwenu shida. Ukweli wenyewe i dont see any problem with those things maana they can be sorted easily provided our neighbors embrace the concept of democracy and the politics of competition.

Something which is near but far kwa sababu za local culture and clinging to presidency, embu jiulize seriously how could FDRL gain support outside rwanda. If rwanda's population of which over 85% are hutu's, hawa watu huko ndani wangekuwa wanaside na PK kwamba FDLR wanataka kurudisha nyuma maendeleo na umoja wa rwanda, outside supporter wa hichi kikundi si wangeona aibu. Ni nyie tu ndio hamtaki kukubali ukweli wa matatizo ya viongozi wenu na umaskini unaowakabili na donge la utajiri wa tanzania.

Umesoma thread ya wa-congo kuwa trained in monduli, my take safari hii the UN forces watakaa nyuma, mwambie PK mzikii wa safari ukirudi mjue mpaka kigali you watch it, when UN moans you know the capitalist think it enough of the PK nonsense, kinachotafutwa ni legit army and a reason to invade Kigali (watch this space).

Jirekebisheni, halafu kule kwengine ukunijibu kwenyu wapi mazee.

Unajua kwanin wanatulazimisha kuwa kwenye hyo COW.Sisi Tanzania tuna vitu vilivyotushinda kama kwenye suala la Muungano haswa kwenye masuala mengi ya union matters na sio kila kitu kukurupuka.
Angalia suala la Former EAC ilivyovunjika ni kutokana haswa na mambo ya kisiasa.
Hali ya kisiasa haijakaa vizuri katika majirani zetu angalia Rwanda,Uganda.Rwanda wenzetu wana demokrasia yao wao wenyewe wanaijua kwa Uganda kuna rais wa maisha na familia yake.
Hyo visa yao iendelee nayo si kila muungano una faida kiuchumi. Maana kuna nchi nyingi za Ulaya hazipo EU na zinafanya vizuri.
Tunawatakia kila la kheri COW.
 
Kuna watu wanadhani mimi sio Mtanzania,anyway the point is lini tutajiweka sawa kama tunavyotaka?Tulijitoa COMESA kwasababu zile zile zinazokaribiana lakini leo ni miaka karibu ishirini sasa bado tunalalamikia jambo lile lile kwamba wenzetu wametuzidi,Sasa tuna mipango gani ya kuwafikia na hata kuwapita?ATC tumeiua,Shirika la Reli tumeliua,Viwanda tumeviuwa.Hatutaki kuboresha huduma za umeme na maji.Hatutaki kujenga THE STATE OF THE ART,LARGEST AND STRATEGIC AIRPORTS katika mikoa ya Arusha na Mwanza ili kupambana na Wakenya na hatuonekani kuwa na ambition yoyote ya kushindana nao kibiashara ila tumekuwa wazuri mno wa kuwakimbia.Kwakweli hili ni tatizo kubwa linalotukabili Watanzania na inapaswa tubadilike hasa.

I understand that you think change will come if Tanzania receives some competition. I honestly think thats not the case. Tanzania needs a new government. A totally different regime.
Maana hiyo coW tukiingia with same government trust me hakuna kitakachobadilika. Tutapoteza mapato airport zitabaki vile vile.
The mess that needs to be sorted out is the government. Thats is were change is highly needed. We dont need to add the burden of EAC on top of our problems. justsaying#
 
only a foolish tanzanian anaweza kusupport single visa,hatukatai kama faida zipo, ila ina hasara sana kuliko faida
 
Land policy na land act zinaruhusu wageni wenye fweza ku invest kwenye ardhi kama wapangaji (lease)...na hatuna mpango wa kubadili hilo. Sera hiyo haibagui mzungu wala Mkenya ni mtaji wako tu.

Naona hao wanaolalamilka na kulia lia si wawekezaji bali ni wanaotaka land kwa ajiri ya makazi...

now ur debating.lemmi ask you.do tanzania want more tourists.if yes how abt winning tourists from other markets.thats business.come collaborate win them even have more revenues.nobody will object if you convinced a tourist in kenya to visit tz next.on land my friend i bliev tz has economists n ask them land is a key factor of prodn.nobody is saying twende mkoani competing for land with peasants its land mainly in urban areas 4 investiments,na mwisho wa siku if you know land is so dear its up to you to craft a water tight policy to guide wageni kupata land sio kusema sitoi land ilihali ni moja wapo ya factors of prodn. HQ si kusema ihamishwe maanake niLIsuggest TU kama tz haipo ready kusonga mbele na muungano lakini Rais kikwete amesema tz ipo ndani kwa hivyo hilo halipo kwa sasa.mwisho wa siku nasema tz itoke kimasomaso na mikakati badala sio kulia nimefuzwa,nimetelekezwa.ibabanane na maproposal ya badala kwa COW,mwishoye iwe ndio yawika kwa hizo COWS
 
CoW wenyewe nimesoma The Citizen la leo wamesalimu amri...sasa wanaibembeleza Tz iwe ndani ya mipango yao including ya kuboresha njia za usafiri za Kenya...Nashangaa kipi kimewafanya waone Tz ni muhimu...

Naona mpango wa Tanzania kutengeneza coalition yake na DRC na Burundi plus Bagamoyo Port vimewatia kiwewe...

I understand that you think change will come if Tanzania receives some competition. I honestly think thats not the case. Tanzania needs a new government. A totally different regime.
Maana hiyo coW tukiingia with same government trust me hakuna kitakachobadilika. Tutapoteza mapato airport zitabaki vile vile.
The mess that needs to be sorted out is the government. Thats is were change is highly needed. We dont need to add the burden of EAC on top of our problems. justsaying#
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom