Hivi wewe mtu ambaye hakubaliani na backwards ideas zako sio mtanzania?FYI there's millions of good Tanzania's ambao ni pro EAC na wana support single visa,wewe with your fake patriotism ndio utaumbuka na kujifanya mbongo kuliko wengine,utakuta fake kama wewe hamjui hata maana ya national service,hamjawahi kulipa kodi ile nchi na ni mafisadi wakubwa.
My ideas are progressive ndio maana naona kunaulazima wakumaliza matatizo ya EAC for good jinga wewe.
halafu mimi ni mtanzania kwanza, then an african second. Ningependa kuona EAC inaenda kwa speed na integration ya haraka haraka whereby the environment is permitting. Sasa nyie mnalazimisha vipi bila ya kujali maslahi ya mgawanyiko wa mapato. Acheni kupayuka hovyo hata EU hiyo 'schengen visa' aikuanza na haraka haraka, kwanza wamejenga common/free market, kuna a lot comparative trading in the bloc almost every nation is benefiting (ingawa wengine zaidi, kutokana na na advancement walizoingia nazo).
Vile vile mwisho wa siku kila nchi inachangia kwenye EU pot, na nchi tajiri zinatoa zaidi ya maskini wakati nchi masikini zinapokea misaada mikubwa from the same fund shared (the idea ni kukwamuana mpaka wanakamatana kwanza) wana agenda na wanajua wanaelekea wapi in the long run huku wakizingatia hatua kwa hatua.
Sasa nyie wenzetu njaa inawasumbua kuna vitu vingi bado havipo sawa mnalilia mapato ya wenzenu wakati jinsi ya kugawanya amtaki kuongelea, democracy zenu tia maji tia maji halafu mnataka free movement of people, mkipigana huko mtuaribie na utalii wetu, mtuletee wakimbizi nani anataka kuungana na watu hao, bado ardhi kwenu shida. Ukweli wenyewe i dont see any problem with those things maana they can be sorted easily provided our neighbors embrace the concept of democracy and the politics of competition.
Something which is near but far kwa sababu za local culture and clinging to presidency, embu jiulize seriously how could FDRL gain support outside rwanda. If rwanda's population of which over 85% are hutu's, hawa watu huko ndani wangekuwa wanaside na PK kwamba FDLR wanataka kurudisha nyuma maendeleo na umoja wa rwanda, outside supporter wa hichi kikundi si wangeona aibu. Ni nyie tu ndio hamtaki kukubali ukweli wa matatizo ya viongozi wenu na umaskini unaowakabili na donge la utajiri wa tanzania.
Umesoma thread ya wa-congo kuwa trained in monduli, my take safari hii the UN forces watakaa nyuma, mwambie PK mzikii wa safari ukirudi mjue mpaka kigali you watch it, when UN moans you know the capitalist think it enough of the PK nonsense, kinachotafutwa ni legit army and a reason to invade Kigali (watch this space).
Jirekebisheni, halafu kule kwengine ukunijibu
kwenyu wapi mazee.