emiliano jr boy
Member
- Jul 2, 2017
- 76
- 28
- Thread starter
- #21
MApenzi ya soka sio kama ya sias broohuyo jamaa walitakiwa wampe kipigo kikali sana, ametuaibisha sana. sio ushabiki huo kwa mwanaume mtu mzima. wangekuwa vijana miaka 15 tungesema sawa, ila hilo jamaa linaonekana lina familia na watoto kabisa na limepata mzuka kwenda kukumbatia mwanaume mwenzie kwa staili ile, mzuka wa aina gani huo kama sio ushetwani.
Post sent using JamiiForums mobile app