TANZANIA PEKEE

TANZANIA PEKEE

Joined
Jul 2, 2017
Posts
76
Reaction score
28
Tanzania ndo nchi pekee dunian ukimkumbatia mtu maarufu kutoka nje
Unakamatwa
35712423c781d9e2050d9d373862a122.jpg

Samahanini sijavuta leo[emoji724] [emoji724]

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
huyo jamaa walitakiwa wampe kipigo kikali sana, ametuaibisha sana. sio ushabiki huo kwa mwanaume mtu mzima. wangekuwa vijana miaka 15 tungesema sawa, ila hilo jamaa linaonekana lina familia na watoto kabisa na limepata mzuka kwenda kukumbatia mwanaume mwenzie kwa staili ile, mzuka wa aina gani huo kama sio ushetwani.
 
Kashikwa kiuno umeona ee

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hapo Rooney angemwambia kuchukue chumba sehemu nakuja, angewahi hata kabla mpira haujaisha.
 
Tanzania ndo nchi pekee dunian ukimkumbatia mtu maarufu kutoka nje
Unakamatwa
35712423c781d9e2050d9d373862a122.jpg

Samahanini sijavuta leo[emoji724] [emoji724]

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app

Huyo Mtu alipangwa na Watu wa ' Mamlaka ' ili afanye hivyo kisha tukio hilo liache ' Kumbukumbu ' kwa Tanzania na pia litangazike kusudi hata Rooney mwenyewe ajue anakubalika Tanzania na pengine siku zijazo aje mwenyewe ' Kutalii ' na pia hilo tukio limefanywa ' makuudically ' kabisa ili Watu wengi wa huko ' Ulaya ' ambao wameliona washtuke, wahoji na wahamasike kuhusu Tanzania kisha na Wao wafikirie kuja ' Kuitembelea ' ili lengo zima la ' Utalii ' litimie.

Kwa ' Kanuni ' au ' Sheria ' za FIFA hicho Kitendo ni cha ' hatari ' sana ambapo wengi waliowahi ' kukifanya ' walipata ' adhabu ' Kali sana. Hebu tufikirie endapo huyo ' Jamaa ' labda angekuwa hana nia njema ya Rooney halafu alivyomkimbilia vile huku mfukoni mwake ana ' Silaha ' na ' Kumdhuru ' Rooney leo Tanzania ingeficha wapi aibu?

In short alichokifanya huyo ' Kijana ' ni ' uhuni ' wa kiwango cha ' kutukuka ' kabisa na hakikubaliki wala hakivumiliki na nilishangaa mno nilipoona Watanzania jana ' wanakifurahia ' huku Waandishi wa Habari wakilipa sana Kipaumbele utadhani ni jambo jema wakati lingeweza hata kuifanya Tanzania yetu ipewe ' adhabu ' au hata ' tufungiwe ' na FIFA.

Tuige ya maana kutoka kwa Wazungu ila tuache kuiga ' Upumbavu / Upopoma ' kutoka kwa Wazungu. Binafsi kile ' Kitendo ' kilinisikitisha mno, sijakipenda na naomba ' Wanaohusika ' wajitahidi kisije kujirudia tena kwani japo sisi ' Watanzania ' tumekisifia kana kwamba ' Jamaa ' ni ' Shujaa ' kwani kinaweza ' kuzitisha ' Timu / Klabu zingine kubwa za ' Ulaya ' ambazo zina Wachezaji ' nyota ' kuliko Rooney kutokuja tena Tanzania kwani watahofia ' Usalama ' wao.
 
Haya yote umesema wewe lakini hakuna lolote!! Hili ni tukio la kawaida sana kutokea
 
Mtoa post Fanya research kabla kuandika utumbo kama huo

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ndo nchi pekee dunian ukimkumbatia mtu maarufu kutoka nje
Unakamatwa
35712423c781d9e2050d9d373862a122.jpg

Samahanini sijavuta leo[emoji724] [emoji724]

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Ww ulitka iweje cz kama anabomu unatka tuwe kwenye nchi zilizokosa amani tang zmn nenda somalia mkumbatie rais uone

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
tena kashikwa kiuno na mtu toka Uingereza kwa Cameron!
Watu mnawaza homose muda wote, hebu jiheshimuni

Kama ni mfuatilia wa soka la ulaya mchezaji anaetoka uwanjani baada ya kufanyiwa mabadiliko huwa anapigwa tak na kocha na ni kawaida sana tuu pengine ni kwa sababu wao wameyaruhusu haya mambo.

Tupinge homose ila sio kwa kumuwazia vibaya hivyo mwanaume mwenzio, tena mm nashukuru alikuwa kavaa kawaida angekuwa kavaa hii mivao ya siku hizi mngesema jaama kaenda kujitongozesha kwa rooney

Lets fight hmose but in the right way
 
Huyo Mtu alipangwa na Watu wa ' Mamlaka ' ili afanye hivyo kisha tukio hilo liache ' Kumbukumbu ' kwa Tanzania na pia litangazike kusudi hata Rooney mwenyewe ajue anakubalika Tanzania na pengine siku zijazo aje mwenyewe ' Kutalii ' na pia hilo tukio limefanywa ' makuudically ' kabisa ili Watu wengi wa huko ' Ulaya ' ambao wameliona washtuke, wahoji na wahamasike kuhusu Tanzania kisha na Wao wafikirie kuja ' Kuitembelea ' ili lengo zima la ' Utalii ' litimie.

Kwa ' Kanuni ' au ' Sheria ' za FIFA hicho Kitendo ni cha ' hatari ' sana ambapo wengi waliowahi ' kukifanya ' walipata ' adhabu ' Kali sana. Hebu tufikirie endapo huyo ' Jamaa ' labda angekuwa hana nia njema ya Rooney halafu alivyomkimbilia vile huku mfukoni mwake ana ' Silaha ' na ' Kumdhuru ' Rooney leo Tanzania ingeficha wapi aibu?

In short alichokifanya huyo ' Kijana ' ni ' uhuni ' wa kiwango cha ' kutukuka ' kabisa na hakikubaliki wala hakivumiliki na nilishangaa mno nilipoona Watanzania jana ' wanakifurahia ' huku Waandishi wa Habari wakilipa sana Kipaumbele utadhani ni jambo jema wakati lingeweza hata kuifanya Tanzania yetu ipewe ' adhabu ' au hata ' tufungiwe ' na FIFA.

Tuige ya maana kutoka kwa Wazungu ila tuache kuiga ' Upumbavu / Upopoma ' kutoka kwa Wazungu. Binafsi kile ' Kitendo ' kilinisikitisha mno, sijakipenda na naomba ' Wanaohusika ' wajitahidi kisije kujirudia tena kwani japo sisi ' Watanzania ' tumekisifia kana kwamba ' Jamaa ' ni ' Shujaa ' kwani kinaweza ' kuzitisha ' Timu / Klabu zingine kubwa za ' Ulaya ' ambazo zina Wachezaji ' nyota ' kuliko Rooney kutokuja tena Tanzania kwani watahofia ' Usalama ' wao.
Nakumbuka miaka ile mchezaji wa tennis Monica Seles alichomwa kisu na mtu uwanjani kwa mtindo huu huu.

Sent from my SM-N9208 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa vipi mbona akina ronaldo messi wanakumbatiwa uwanjani uko kwao na kupiga selfie ....sio ujinga ni kawaida tu ila sema kwenye hatari nitakubali
 
Back
Top Bottom