Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Martin J. Chegere ambaye amekuwa na historia nzuri akiwa anasoma kwani amepata kuwa mwanafunzi bora kuanzia shule ya msingi, sekondari, A-level na chuo kikuu Dar es Salaam akipata GPA ya 4.9 amepata shahada ya Uzamivu ''Ph.D katika Uchumi'' kwenye Chuo Kikuu cha Gothenburg Sweden akiwa na umri wa miaka 30.
Chegere ni mhadhiri chuo kikuu Dar es Salaam akifundisha uchumi.
Amefuata nyayo za Prof. Rweyemamu ambaye anashikilia rekodi ya kuwa Mtanzania mwenye umri mdogo kuwapata shahada ya Uzamivu katika uchumi (Zaidi Soma => Profesa Justinian Rweyemamu (1942-1982); Msomi wetu wa karne)