Tanzania: Nyumba nyingi dining room zinajengwa, ila hazitumiki

Ni kweli Mkuu,tushaongea sana ila mwenzangu naona ipo kwenye damu yake.!

Inaonekana kina mama wengi wanapenda haka kautaratibu.
Ni utaratibu mbovu Sana,

Ila nahisi inachangiwa na kutokuepo kwa utaratibu wa ratiba ya vikao vya familia.

Kwaiyo mama anaona iyo ndo fursa pekee inayojitokeza kuwakutanisha wanafamilia na kutoa onyo kwa wengine.
 
Wanaume hawatakiwi kukaa pamoja na wanawake kwenye meza ya chakula.

Nyumba lazima itenganishe sebule ya wanawake na wanaume.

Mtoto wa kiume afundishwe ya kiume kwenye kikome na mtoto wa kike afundishwe ya kike huko jikoni na mama zake.
Naona Kama hiyo iko kidini zaidi
 
Mpira hauwezi kuwa kigezo cha kuondoa ustaarabu. Mbona Dinning room nyingi zina TV nazo? Afterall sitting room hakupaswi kuwa na TV ni bora ikakaa katika chumba chake ili wapenzi wa TV wakae huko. Siamini kama mgeni kwa sasa anataka kuja kwako kuangalia TV kama wakati wa Enzi za Mwalimu, kuvinjali video.
Kipato Kama Ni Cha kuunga unga, ilo haliwezekani mkuu.
 
Mpaka mgeni aje ndio pamatumika pamoja na zile dinner set zinazokaaka kabatini
kwetu kulikua na utaratibu.

Vyombo vyote vya udongo na glass vinapaswa kutumiwa akija mgeni TU.

Marufuku mtoto yeyote kunywea maji KWENYE glass, kikombe Cha plastik ndo tulipaswa kutumia.
 
Ndo MDA unaanza kusemwa makosa yako Yote uliofanya siku nzima.
Katika tabia mbovu.... hii iko kwenye list. Haifai, muda wa kula, watu wale chakula. Kama kuna issues utafutwe muda wake.

Kuna jamaa yangu aliwahi kumfurushia baba yake chupa ya chai baada ya kuanza kusemwa wakati wa breakfast 😁 😁 😁 😁

Kuanzia hapo adabu walijifunza.
 
Binafsi huwa nalazimisha familia nzima (hadi dada wa kazi) kukaa "dinning room" wakati wa kula na huwa napenda kutumia muda huo kuzungumza na familia maana huwa sishindi nyumbani na baada ya chakula cha jioni huwa napenda kulala mapema, hivyo nakusao muda wa kuzungumza nao, so wakati wa chakula ndio muafaka!
 
Dinning iliyojitenga sana haina maana, kitanzania nimeona dinning ikae ndani ya square ya sitting room yani kieneo cha mwanzo dining af mbele sitting bila kutengwa na kitu chochote, hii kulazimisha kula pamoja sipendi nataka kila mtu awe free kula kwa mda wake kama tukikutana mezani au tukipishana kidogo sawa tu
 
9b4c05b930f683e18326a997b3fac5aa.jpg
9b4c05b930f683e18326a997b3fac5aa.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom