MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 849
Nyerere aliijua tabia mbovu ya Kikwete na kwamba hafai kuwa rais. Pia wakiwa hapo Dod6a alijulishwa namna ambavyo Lowasa alihamishia majeshi kumsupport Kikwete. Ni baada ya Lowasa kupigwa nyundo na JK wa ukweli (yaani Mwalimu).
Nyerere aliijua tabia mbovu ya Kikwete na kwamba hafai kuwa rais. Pia wakiwa hapo Dod6a alijulishwa namna ambavyo Lowasa alihamishia majeshi kumsupport Kikwete. Ni baada ya Lowasa kupigwa nyundo na JK wa ukweli (yaani Mwalimu).
Kikwete alifika top three by accident mno
Ilipofika 1995 idadi kubwa ya waliojitokeza kugombea kwa CCM walikuwa wakristo na kulikuwa na uvumi kuwa CCM wana utaratibu wa kubadilishana kwamba amemaliza mwinyi Muislam, anaekuja atakuwa mkristo.
Nyerere alisikia hiyo habari akaikemea mno,akasema rais hata akiwa muislam tena na tena na tena ili mradi anafaa
But waislam wa CCM wengi hawakuchukua fomu za urais. Siku ya mwisho ya kuchukua fomu, ikawa muislam ni mmoja tu Kighoma Malima na kwa kuwa Malima alikuwa na kashfa za kodi asingefika mbali..
So Nyerere alienda kumwambia kikwete achukue fomu za uraisi ili chama kisionekane kimewatenga waislam au kuna mfumo wa kubadilisha uongozi kidini...
So Kikwete kwa kuwa muislam pekee, akaachiwa jina lake mpaka top three ingawa wote walikuwa wanajua hatapewa urais....na kuna taarifa kuwa alishinda kura mara ya pili pia... sababu kubwa alionekana ni too inexperienced
Kuna wengine wetu tulikua wadogo mwaka 1995 kuweza kufuatilia kinyanganyiro cha uraisi mwaka huo. Ndiyo maana ningependa kujua zaidi nini kilicho jiri ndani ya CCM mpaka kupelekea kumteua raisi mstaafu Benjamin WIilliam Mkapa kuwa mgombea wa CCM kwa mwaka huo.
Machache ninayo jua ni kwamba final three ya CCM ilikua Kikwete, Mkapa na Msuya. Nasikia Kikwete alishinda round ya kwanza ila hakupata zile asilimia 51 zinazo hitajika kupata ushindi wa moja kwa moja. Round ya pili ikawa yeye na Mkapa na Nyerere kwa kutumia ushawishi wake ndani ya chama aka hakikisha ushindi unaenda kwa Mkapa.
Kwa nijuavyo mimi (naweza kusahihishwa) ni kwamba Nyerere hakudhani Kikwete kakomaa kiuongozi kuweza kuwa raisi mpaka akadiriki kusema "hatuendi kutoa posa tunaenda kuchagua raisi. Kama mtu anampenda mtu kwa sababu ya sura akanywe nae chai."
Sasa kwa wanaokumbuka zaidi (najua wapo wengi) naomba mnisaidie kunipa somo la historia hapa ya nchi yetu kwa sababu kinyanganyiro cha 1995 ndicho kilicho toa raisi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi.
kikwete alifika top three by acciedent mno
ilipofika 1995 idadi kubwa ya waliojitokeza kugombea kwa ccm walikuwa wakristo
na kulikuwa na uvumi kuwa ccm wana utaratibu wa kubadilishana
kwamba amemaliza mwinyi muislam,anaekuja atakuwa mkristo
nyerere alisikia hiyo habari akaikemea mno,akasema rais hata akiwa muislam tena,na tena na tena ili mradi anafaa
but waislam wa ccm wengi hawakuchukua fomu za urais.
siku ya mwisho ya kuchukua fomu,ikawa muislam ni mmoja tu kighoma malima
na kwa kuwa malima alikuwa na kashfa za kodi asingefika mbali..
so nyerere alienda kumwambia kikwete achukue fomu za uraisi ili chama kisionekane
kimewatenga waislam au kuna mfumo wa kubadilisha uongozi kidini...
so kikwete kwa kuwa muislam pekee,akaachiwa jina lake mpaka top three
ingawa wote walikuwa wanajua hatapewa urais....na kuna taarifa kuwa alishinda kura mara ya pili pia...
sababu kubwa alionekana ni too inexperienced
Dogo kulikuwa na mtu alikuwa anaitwa Tuntemeke sanga huyu aliishia kwenye 5bora lakn huyu alikuwa na uwezo mkubwa kwani alikuwa anafanya maamuzi mazuri hata akiwa bungeni, lakini alikuwa haivi na nyerere hivyo akatoswa.
Nini kilipelekea Kikwete achukue form akijua fika hatoshinda? What incentive did he have? Aliahidiwa nini?
sikusema alijua hatashinda
nilichosema ni kuwa ilionekana hivyo
kwa kuwa alikuwa very inexperienced na alichukua fomu kwa kuambiwa na nyerere
Kaka umejuaje yote hayo? Au ulishiriki kwenye mchakato mzima?
nina ndugu ni ccm insiders
hata la kikwete kuhamia chadema 2005 ni la ukweli na mbowe alipewa bilioni tatu za kuandaa mazingira
but leo ukilisema hilo utaoonekana unazusha
Mh mkuu can you tell as more about this? JK alipanga kuhamia kama akishindwa au?
Duh ama kweli Faizal ana kila haki ya kuwashangaa watu.. Hivi kweli mtu unafikia kusema ati waislaam walikuwa hawakujiandikisha hivyo ndio JK akaingia? Je, kweli watu mnasahau kwamba Salim A Salim ndiye alikuwa chaguo la mwalimu na candidate ambaye Watanzania wote walimtegemea!.. na kaja kukataliwa na Wazanzibar kwa sababu ya chuki ya kisiasa baina ya ASP na Umma Party! wakamzulia kuwa ktk mipango ya kumuua Karume kesi ikarudi upya..Na hata habari za Kighoma Malima inaonyesha watu hamna kubmukumbu wala ukweli wa kilichotokea zaidi ya hizi hadithi za zimulizi..Kighoma Malima, na watu kibao wamekolimbwa kwa sababu ya kutaka au kukihama chama....