Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,196
Hivi inawezekanaje hasa hadi majirani zetu watuchezee namna hii? A Kenyan tea, halafu inaitwa Tanzania, pamoja na ramani ya Tanzania na twiga ambaye ni alama ya Tanzania? Hivi kweli hawa wenzetu wanaweza kuuza bidhaa zao kwa kutumia vivutio vyetu kwa style hii? I once saw a Kenyan Coffee with a name Kilimanjaro, nikashangaa sana, sasa naona wamevuka mipaka hadi kuziita product zao kwa jina la Tanzania.