barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,586
Mtu hafuati taratibu, kanuni na sheria unataka aachwe ili iweje?Acha uongo,mbona figisu nyingi kwenye chaguzi
1. | Sovereignty of the people
|
Wapi umesikia wanapendwa?Wapinzani nchini ni kama magaidi, sijawahi ona upinzani wa hovyo na wa kishamba kama wa Tanzania, wao kuside na watu wanaotaka kuliangamiza Taifa ni kawaida na ndio maana wapinzani Tanzania hawapendwi.
Ndo mnavyojidanganya huko LumumbaAmbao hamko ndanî ya Tanzania, mkisoma mitandao ya kijamii ambayo upinzani wmeamua kwekeza nguvu nyìngi badala ya kuwekeza kwenye mitaa halisi unaweza sema tz kuna tatizo.
Njoo field ujionee, rais ana sapoti kubwa sana ya wananchi. Ila humu jf wengi ni upinzni ambao kuihalisia hawafiki laki 5.
Watendaji wa serikali kujificha na kufunga ofisi wapinzani washindwe kurejesha na kuchukua fomu ndio taratibu hizo kwa mujibu wa ccm?.mna mavi kwenye vichwa venu nyieMtu hafuati taratibu, kanuni na sheria unataka aachwe ili iweje?
Kama hamjifunzagi kutokana na makosa, 2020 mtazikwa maana hata hao wachache wanaositasita kuwaunga mkono watabadili gia angani.
Buda, kwani huwezi andika swahiliWhat has helped Kenya is our constitution. Which reduced the power of the president and has enshrined the supremacy of our judicial system which a lot of times has ruled against parliament and the executive. Recently after the Chief Justice complained about funding, today the treasury has released money for funding new courts, but also Gok knew they would have a rough time at the corridors of justice due to this. Our courts are actually now the acme of power in Kenya and the bill of rights in our constitution. Combine that with the unequivocal stand in the law that ultimate power belongs to the people of Kenya not GoK, not parliament.
Kama tako ni kwa ajili ya ajili ya kutafuta kinyesi sahihi, basi tumeshakupata tako sahihi hakuna haja ya kutafuta tako jingine.
Mtu wa chadema kama wewe unaniambia huu upuuzi unataka nikuelewe? Inakuaje wa vyama vingine vya upinzani wafanikiwe ila wengi wa CHADEMA ndio waone milango imefungwa?Watendaji wa serikali kujificha na kufunga ofisi wapinzani washindwe kurejesha na kuchukua fomu ndio taratibu hizo kwa mujibu wa ccm?.mna mavi kwenye vichwa venu nyie
Endelea kuchezesha vidole kwenye keyboard ndugu..ila elewa uchaguzi haufanyiki kwenye keyboard.Ndo mnavyojidanganya huko Lumumba
Haya mambo soon yanakuja bongoPambaneni na siasa zenu za kikabilaona hii video mnavyopigana mawe tena kwenye uchaguzi Mdogo tu.
Kama mnajua ni mtu sahihi na anapendwa kwanini mnafanya fitina zisizo na maana.Iweje unajua unapendwa alafu hutaki kuona upinzani?!Ni taahira tuu ndio atakuelewa
Sahau maana Utangoja sanaHaya mambo soon yanakuja bongo