Wengi walishangaa kupotea kwa ndege kubwa la Malaysia air lines bila kuonekana mpaka leo, lakini Tanzania ndo nchi inayoongoza kwa ndege nyingi kupotea bila kuonekana, ndege izo ni zile ndogo za kukodi na zinazowabeba watalii kutembelea mbuga mbali mbali hapa Tanzania. Nyingi zimedondoka ziwa victoria bila kuonekana na nyingine zimedondoka bahari ya hindi bila kuonekana....mara nyingi izo ndege zikidondoka serikali hawazitafuti labda kwa udogo wa izo ndege au usababisha vifo vya watu wachache(madhara uwa madogo)..ila record uifadhiwa na kuonyesha Tanzania ndo nchi ambayo ndege nyingi zimepotea bila kuonekana.