Tanzania ndani ya nne bora za China

Tanzania ndani ya nne bora za China

wajenge tu hivyo viwanda tatizo la ajira litapungua
 
siku hizi hutawaliwi kisiasa bali kiuchumi. wanakupa a feeling kwamba upo in control, kumbe ni kikaragosi wao sema wameficha nyuzi.
 
Mkuu unahakika mm ni 'Me'?
BTW msome Kete Ngumu hapo juu ukishaelewa jiulize hivi:
Umezawadiwa gari la biashara, kama unajua kuendesha mwenyewe utapata faida kubwa, la km huwezi kuendesha mapato utagawana na dreva wako, lakini ni bora kuliko likae ndani
 
siku hizi hutawaliwi kisiasa bali kiuchumi. wanakupa a feeling kwamba upo in control, kumbe ni kikaragosi wao sema wameficha nyuzi.
Hizo ni soga za single mother kwa wake za watu kuwarubuni waachike wafanane nao
 
Mkuu unahakika mm ni 'Me'?
BTW msome Kete Ngumu hapo juu ukishaelewa jiulize hivi:
Umezawadiwa gari la biashara, kama unajua kuendesha mwenyewe utapata faida kubwa, la km huwezi kuendesha mapato utagawana na dreva wako, lakini ni bora kuliko likae ndani
kwanini usijifunze kuendesha?
 
Tanzania ni kati ya nchi nne ambazo Serikali ya China imeahidi kufanya ‘kufuru’ ya uwekezaji wa viwanda.

=======

Dar es Salaam. Tanzania ni kati ya nchi nne ambazo Serikali ya China imeahidi kufanya ‘kufuru’ ya uwekezaji wa viwanda.

Hayo yamebainika kwenye kongamano la wachumi na wadau wa biashara kati ya China na Tanzania, Kenya na Afrika Kusini ambalo lilijadili fursa na changamoto zilizopo kwenye sekta hiyo.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, ambaye alikuwa anafungua kongamano hilo, amesema uamuzi wa kuiteua Tanzania ulifanywa kwenye mkutano uliofanyika mapema mwaka huu nchini Afrika Kusini.

Amesema katika mkutano huo ambao Tanzania iliwakilishwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, China iliamua kushirikiana na nchi za Afrika Kusini, Kenya na Tanzania kujenga uchumi wa viwanda.

Chanzo: Mwananchi
Safia saana, Wizara inatakiwa kupanga mikakati kuwanoa watanzania kwani wanatabia za; kulaklamika, kutaka kipato bila kufanya kazi; kutwa kusingizia ugonjwa au kuuguliwa; kutokujituma kazini kutwa kweye JF na mitandao mingine ya kijamii; yaani full kulalamika ; kutotambua kuwa watakapozalisha ndio mishahara inapopatikana. Semina elekezi inahitajika. Wizara inayohusika tafadhali inijumuishe kuandika mitaala hiyo!
 
Sasa hivi tu kuna viwanda kama elfu vya wachina vimesambaa mitaani, kwenye majumba ya watu.. Wanataka kuongeza mengine tena[emoji15]
 
kwanini usijifunze kuendesha?
Uwe mwelewa, tumechelewa sana hiki ni kipindi pekee cha kipimo chetu kuona tunavyoweza kusimamia uwekezaji nchini na kujifunza kupitia kwa wawekezaji hao
 
Kabisa..!! Ubora za bidhaa zao, hata wakitengeneza viwanda hapa nchini, WACHINA sio kabisa...!! Very very low qualities goods watatutengenezea WAAFRIKA...!!

Chinese, kwa bidhaa za kutumika Africa, wanauza za very very low qualities...!! China hapana...!!
Wafanyabiashara wenu ndio standards wanazoenda kuagiza. low standards.
 
Kabisa..!! Ubora za bidhaa zao, hata wakitengeneza viwanda hapa nchini, WACHINA sio kabisa...!! Very very low qualities goods watatutengenezea WAAFRIKA...!!

Chinese, kwa bidhaa za kutumika Africa, wanauza za very very low qualities...!! China hapana...!!

Jay One uziri Na ubora wa kitu chochote lazima kiwe ghali.kwa Mfano IPhone,Sumsang Na smart phone nyingi zinatengenezwa Uchina.
zikiuzwa kwenye masoko ya Ulaya,USA Na Japan vina ubora sana Na bei yake Ni kubwa.
Vitu hivyo hivyo vikiletwa kwenye mataifa ya walala hoi bei rahisi Na haina ubora.
Pikipiki za Kichina zinauzwa Tsh 2M Au Usd$950. Kwa bei Hii Hata pikipiki iliyotumika ya Mjapani hupati.
Wachina wanatengeneza karibu vitu vya dunia nzima Na Kwa bei ya kila nchi.
 
Huu Upuuzi sijui utatutoka lini, now tunaenda kuwa watumwa wa mchina tena? Badala tuibe Teknolojia tujenge vyetu unaleta mchina ajenge kwetu?!!! Hamuoniu mfano kwa migodi iliyopo, wanavuna tu wanakuza chumi za kwao sisi yanabaki mashimo na sumu zinazotokana na kemikali wanazotumia. Babu zetu walikuwa wajinga waliposainishwa mikataba mibovu lkn hiki kizazi kina laana nadhani. Duh!
 
Laana inasababishwa na
1. Kuminya demokrasia (kuziba midomo RAIA)
2. Wizi na uchu wa madaraka, kurithishana nyazifa na vyeo.

Matokeo ya laana ni
1. Mtu akitengeneza gobore unamfunga badala ya kumwendeleza
2. Kujengewa viwanda vya toothpaste, Sindano, Tecno, mishumaa n.k
2. Kutegemea wazungu kwa kila kitu ikiwemo kuchimba vyooo

Hii ni sura ya AFRIKA.
 
Uko sawia inakera sana hii hali na bado hatutaki kujielewa kwa makusudi kbs watz tunaushabiki wakipimbi sana.
 
Back
Top Bottom