Tanzania ndani ya nne bora za China

Tanzania ndani ya nne bora za China

Mkuu unahakika mm ni 'Me'?
BTW msome Kete Ngumu hapo juu ukishaelewa jiulize hivi:
Umezawadiwa gari la biashara, kama unajua kuendesha mwenyewe utapata faida kubwa, la km huwezi kuendesha mapato utagawana na dreva wako, lakini ni bora kuliko likae ndani
so ww jinsia gani sasa?
 
Tunaukaribisha sana uwekezaji wao.JAPAN wanajenga kiwanda cha magari soon 2017,China tunaomba nao wajenge karakana YUTONG hapa na Techno na si viwanda vya matoi na sahani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunaukaribisha sana uwekezaji wao.JAPAN wanajenga kiwanda cha magari soon 2017,China tunaomba nao wajenge karakana YUTONG hapa na Techno na si viwanda vya matoi na sahani.
Shida moja magari yatakayotengenezwa Bongo yatakuwa gharama kuliko Yale ya kuagiza nje.Tumejifunza kwenye bidhaa nyingine kama Sukari
 
Back
Top Bottom