Tanzania nchi iliyojaa wanafiki na wanaojali matumbo yao

Umenikumbusha 2016 Seif alipoiambia dunia kwamba atakabidhiwa nchi yake ya Zanzibar baada ya miezi 3. Mpka leo seif anagojea miezi 3
Kwani 2016 Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa iliwai kutoa tamko dhidi ya Tanzania???
 
Kelele zote hizi za ICC Magufuli hata habari hana,yani atweet wala azungumzii kabisaa kuhusu huu utopolo wa ICC au kumjibu bwana mdogo Lissu.
 
Lete tamko mojawapo lililotolewa na kamisheni ya umoja w mataifa dhidi ya museveni tulione hapa
Ndio maana tulimwambia hata Lisu kwamba nyie watu mmeanza kufuatilia siasa baada ya Lisu kutoka ubelgiji.

Ona sasa kumbe hata siasa za hapo uganda tu huzijui halafu unarukia mambo ya ICC
 
Mtabaki kuimba nyimbo za mabeberu mara uchaguzi huo tena..mnaanza kuimba upya.
 
Amani iwe nanyi!

Sasa ni rasmi, ICC imeitaarifu dunia kuhusu kupokea rasmi maombi ya uchunguzi dhidi ya Magufuli na serikali ya Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu na makosa dhidi ya binadamu! Maombi haya yametumwa na ACT Wazalendo, Chama cha siasa, Maria Sarungi, mwanaharakati huku na bado inaonekana Kuna maombi ya bwana Robert Amsterdam yapo njiani wiki hii. Hili ni jambo la hatari kabisa kwa sababu kwa yaliyotokea kwenye uchaguzi wa mwaka huu na reaction za wadau wa maendeleo juu ya uchaguzi huu hadi Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, ni dhahili Magufuli na Wakuu wake wa vyombo vya ulinzi na Usalama hasa Diwani Athumani, Simon Sirro na Venance Mabeyo hawatapona kwenye hili.

Kwanini tumefika hapa?

Kwa wenye akili tuliona njia ya kuelekea huku tangu kipindi cha pili cha kikwete ambapo zilianza kutungwa sheria mbaya za kuzuia watu kutoa mawazo huru, utekaji pia ulianza kuota mizizi kipindi hiki. Kilichomuokoa Kikwete na kuonwa vibaya na dunia ni kwa sababu Kikwete pamoja na mapungufu yote aliweza vilivyo kumaintain diplomasia ya ndani na nje ya nchi. Aliruhusu maamuzi ya wananchi yaheshimiwe sehemu mbalimbali hivyo kitendo cha wananchi kupata wabunge waliowachagua kihalali kiliweza kupunguza hasira za wananchi na movement dhidi yake. Kikwete aliweza hadi kuwaiita wapinzani ikulu na kuzungumza nao huku akiripotiwa hivyo hadi na vyombo vya nje. Hili lilimuokoa sana

Alipokuja Magufuli wenye akili tulianza kuona shida mahali maana yeye alionesha ni mtu wa mkono wa chuma zaidi na asiyependa kusikiliza wengine. Alianzisha sheria mbaya zaidi za kubana wakosoaji wake kama sheria za takwimu na za tcra, alitekeleza vibaya sheria za Jinai na kupelekea watu kushtakiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi bila hata kuangalia matokeo yake. Wapinzani walikamatwa hovyo hadi kufungwa jela.

Mbaya zaidi Magufuli aliingilia eneo hatari zaidi la kujaribu kufanya siasa za ubabe kwa kuwakatalia wananchi machaguo yao. Alianza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mbaya zaidi amefanya vibaya zaidi kwenye uchaguzi uliopita wa 28 oktoba.

Lawama za haya yote lazima ziende kwa wanafiki watanzania hasa CCM, Idara ya Usalama wa Taifa wanaolipwa kwa kodi za wananchi kwa ajili ya kumshauri Raisi na Serikali na viongozi wastaafu ambao wanauelewa mkubwa wa dunia ilivyo na inavyo operate walioshindwa kumshauri Magufuli na kumzuia sehemu fulani kwenye kufanya mambo ya ajabu. Unafiki wao na kujali kwao matumbo sasa kunaenda kuifikisha nchi hii katika sehemu mbaya zaidi kuwai kutokea.

Kwa sasa ni dhahili watanzania wamegawanyika, kuna kundi ambalo linaona limeshatengwa na halisikilizwi na wao wako tayari kuungana na yeyote yule ili kuiangusha CCM na Magufuli na Kuna kundi ambalo wao ndo wanajiona wana hatimiliki na nchi hii na wanaweza kumfanya yeyote chochote wakati wowote.

Unafiki wao na kujali matumbo yao sasa rasmi unatuangamiza!
Usihusishe Gwajima na genge lake.
 
Amsterdam alichangia sana kufifisha ushindi wa Lisu nyie wajinga hamuwezi kulijua hili
Wajinga nyie mnaoiba kura hadharani mnashindwa hadi kushangilia ushindi...The Hague inawaita..Haishitakiwi nchi bali individual
 
Na itabatilisha matokeo na kumpa ushindi Lissu ama sivyo?
 
Amani iwe nanyi!

Sasa ni rasmi, ICC imeitaarifu dunia kuhusu kupokea rasmi maombi ya uchunguzi dhidi ya Magufuli na serikali ya Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu na makosa dhidi ya binadamu! Maombi haya yametumwa na ACT Wazalendo, Chama cha siasa, Maria Sarungi, mwanaharakati huku na bado inaonekana Kuna maombi ya bwana Robert Amsterdam yapo njiani wiki hii. Hili ni jambo la hatari kabisa kwa sababu kwa yaliyotokea kwenye uchaguzi wa mwaka huu na reaction za wadau wa maendeleo juu ya uchaguzi huu hadi Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, ni dhahili Magufuli na Wakuu wake wa vyombo vya ulinzi na Usalama hasa Diwani Athumani, Simon Sirro na Venance Mabeyo hawatapona kwenye hili.

Kwanini tumefika hapa?

Kwa wenye akili tuliona njia ya kuelekea huku tangu kipindi cha pili cha kikwete ambapo zilianza kutungwa sheria mbaya za kuzuia watu kutoa mawazo huru, utekaji pia ulianza kuota mizizi kipindi hiki. Kilichomuokoa Kikwete na kuonwa vibaya na dunia ni kwa sababu Kikwete pamoja na mapungufu yote aliweza vilivyo kumaintain diplomasia ya ndani na nje ya nchi. Aliruhusu maamuzi ya wananchi yaheshimiwe sehemu mbalimbali hivyo kitendo cha wananchi kupata wabunge waliowachagua kihalali kiliweza kupunguza hasira za wananchi na movement dhidi yake. Kikwete aliweza hadi kuwaiita wapinzani ikulu na kuzungumza nao huku akiripotiwa hivyo hadi na vyombo vya nje. Hili lilimuokoa sana

Alipokuja Magufuli wenye akili tulianza kuona shida mahali maana yeye alionesha ni mtu wa mkono wa chuma zaidi na asiyependa kusikiliza wengine. Alianzisha sheria mbaya zaidi za kubana wakosoaji wake kama sheria za takwimu na za tcra, alitekeleza vibaya sheria za Jinai na kupelekea watu kushtakiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi bila hata kuangalia matokeo yake. Wapinzani walikamatwa hovyo hadi kufungwa jela.

Mbaya zaidi Magufuli aliingilia eneo hatari zaidi la kujaribu kufanya siasa za ubabe kwa kuwakatalia wananchi machaguo yao. Alianza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mbaya zaidi amefanya vibaya zaidi kwenye uchaguzi uliopita wa 28 oktoba.

Lawama za haya yote lazima ziende kwa wanafiki watanzania hasa CCM, Idara ya Usalama wa Taifa wanaolipwa kwa kodi za wananchi kwa ajili ya kumshauri Raisi na Serikali na viongozi wastaafu ambao wanauelewa mkubwa wa dunia ilivyo na inavyo operate walioshindwa kumshauri Magufuli na kumzuia sehemu fulani kwenye kufanya mambo ya ajabu. Unafiki wao na kujali kwao matumbo sasa kunaenda kuifikisha nchi hii katika sehemu mbaya zaidi kuwai kutokea.

Kwa sasa ni dhahili watanzania wamegawanyika, kuna kundi ambalo linaona limeshatengwa na halisikilizwi na wao wako tayari kuungana na yeyote yule ili kuiangusha CCM na Magufuli na Kuna kundi ambalo wao ndo wanajiona wana hatimiliki na nchi hii na wanaweza kumfanya yeyote chochote wakati wowote.

Unafiki wao na kujali matumbo yao sasa rasmi unatuangamiza!
Stupidddy..Yani wewe na akili yako yoote unaandika utumbo Kama huu...ulishaona wapi nchi ya demokrasia Kama hiii,. Baba wa demokrasia Afrika na dunia,. Ikanyooshewa mikono Kama unavyoandika..ni upumbaf mtupu..Kama hamna kazi za kufanya si basi hata mkalime mchicha pale bonde la jangwani..tafuteni ripoti za waangalizi wa kimataifa msome, Hui utakuwa ushahidi tosha...tafuteni lingine
 
Mmemfanya Magufuli aonekane kiongozi wa ovyo wakati alikuwa na nafasi ya kuwa No.2 best kwa Marais wa nchi hii. Hakujua mnatetea matumbo yenu badala ya nchi. Alipoanza aliwaweka pembeni wahafidhina wajinga wa CCM lakini ghafla mkamshawishi wizi kama mlaivyofanya kwa Mkapa. Matokeo yake sasa anaendeshwa na ushauri wa kina Polepole na Kabudi wachumia tumbo waliokiri kuokotwa jalalani.
Mtabaki hivyohivyo nyambaffff mpaka 2025..mwenzeni Lissu ameshakubali yaishe anataka maridhiano..sijui ya Nini .anadhani madaraka yanapatikana kirahisirahisi hivyo..muulizeni Dr Magu...na wananchi..
 
Hahaha tendo la kushangilia limewekwa kwenye Sheria gani ya uchaguzi...kipengele kipi jomba..unaumwa
Hata class monitor akichaguliwa wanafunzi wanashangilia itakuwa raisi...matusi ya nini jiheshimu na sio lazima ureply
 
Ndio maana siku ile Kenyatta alivyotoa ile hotuba yake kumponda jamaa yetu wapo wana lumumba waliodai hata Kenya kuna matatizo, niliwajibu nikawaambia atleast Kenyatta anajua kula na kipofu, hali ikiwa mbaya anamuita Raila wanakaa meza moja anatuliza mambo.

Huyu wa hapa kwetu yanamkuta kwasababu amezidisha ubabe usio na maana, anadhani kuwa na madaraka makubwa ndio sababu ya kutomsikiliza yeyote, kumbe hapo ndipo anapozidi kukosea.
HAKUNA kula na kipofu Wala Nini Kama ulitaka ale na huyo mbwatukaji wenu ili mjaze matumbo yenu mnyamaze safari hii endeleeni kubweka HAKUNA wa kuwatupia mawe Tanzania inasonga mbele na HAKUNA Cha ICC wala Nini Tanzania nchi huru mkitaka kutawalia mfateni huyo shoga huko ughaibuni.
 
Kwa ubabe alionao unaweza kusikia wiki hii Tanzania tunajitoa kwenye hiyo mikataba inayotufunga kuwa ndani ya hiyo mahakama ya ICC!!

Wana CCM walamba miguu wanaiona hii ndiyo the only escape road il1iyo mbele yao.
 
Back
Top Bottom