Tanzania National Identities

Mpango wa kuwa na vitambulisho vya kitaifa:

  • Ni Nzuri

    Votes: 205 58.4%
  • Ni Mbaya

    Votes: 147 41.9%

  • Total voters
    351
Yebo ulipotelea wapi?Nilijua Mkuu umejichikea na porojo ukaamua kuondoka kumbe bado unagaagaa na upwa?Utakula wali mkavu tuu leo hatoi mboga huyu!


Ndio pengine anatoa mboga sasa...lakini kwanza story ndeeeffffuuuuuuuuu
 
He wants to prove his innocemnce against allegations,.... but he politics stinks.

Anashindwa kuzungumzia matatizo ya wananchi yanayojadiliwa kila siku???

Tutakula hizo smile zake??
 
Kuhusu Megji kuwafukuza wakaguzi wa Benki kuu eti alidanganywa na wasaidizi ndo akawafukuza.
 
yaani cant wait for the conclusion! i hope atatueleza ukweli whose money they were - watanzania au???!
 
Huyu jamaa asipokua makini anweza kujiharibia completely.

Ana bahati sana manake sula la Zanzibar ni Nchi ama la,amelichhezea usanii
 
bil 90 zililipwa kwa makampuni 13 kwa kutumia nyaraka feki. Nyingine nyaraka hazikupatikana kwa sababu ya miaka mingi kupita.
 
Mh Rais hata kama suala la EPA ni la miaka 23 tunataka uwawajibishe wahusika hata kama ni maswahiba wako.

Uwepo hapo Bungeni kwa manufaa ya umma si history ya lini walipoanza kula unazidi kutuumiza.
 
I was dozing, do I hear EPA in the air? May he is talking... the hammer will rest on BoT alone? Watch
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 326 (110 members and 216 guests)
ladymzuri, 7ceven, africa6666, Aluta, august, Augustoons, BabaH, badonipo, Bazobonankira, Beautiful, Ben, bill, bj, bob, bokassa, Bowbow, Bubu Msemaovyo, chakaza, Chuma, congo, Dommy, Dotori, FairPlayer, fidel80, freddywm, Fundi Mchundo, gamaha, haika, Haki.tupu, hofstede, Invincible, jacobae, jamco_za, jilunga, Kamende, katibu tarafa, Kevo, Kichwangumu, kijunjwe, kilongwe, kinyau, Kutikavu, Lady Capricorn, Lasthope, Liganga, lizzard, Loi, Lyampinga, mafole, Magehema, mamaparoko, maskini mimi, Mbalamwezi, mbogela, Mchola+, Mfamaji, mfwatiliaji, mgafilika, middle, MiratKad, Mnyoofu, mpiganajinambamoja, Mtanzania, MTM, Mtuwamungu, muadilifu, mujuni2, mukubwa, mwakyj, mwikimbi, MWITA MARANYA, mzeeba, Mzozo wa Mizozo, nat867, Ng'azagala, ngonalugali, ngorunde, nono, norbit, Nsololi, ochu, Orkesumet, Pakacha, PEZZONOVANTE, Pipiro, positive Thinker, power to the people, ques, remyshas, Scorpion, Sekenke, Shadow, sikonge, Silencer, son of alaska, TEMA, Tshala, Tuandamane, Typical, tzengo, UFUNUO WA YOHANA, Ushirombo, visenti, Wakuja, Wakunyuti, wanzagi, WildCard, Yebo Yebo, Zanaki, Zion Train
 
MKAGUZI ALITOA PENDEKEZO (MOJAWAPO)....HATUA ZA NITHAMU ZICHUKULIWE KWA WAFANYAKAZI WOTE WA BoT WALIOHUSIKA NA EPA KWA MUJIBU WA AJIRA...GOV. ANAZIDI KUPEWA LAWAMA....
 
Ado ado!

jamaa bado hajaanza kuzungumzia report ya tume aliyounda, bado anakumbushia yaliyojiri kabla ya sokomoko!
 
Back
Top Bottom