Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,337
- 17,564
Say that again one more time.
Say that again one more time.
Sisi watanzania siyo wazalendo kabisa, ingekuwa inacheza football club yoyote ile, ungeona special thread ya club husika inatrend kwenye jukwaa hili la sports, timu yetu ya Taifa inacheza tena kwenye mashindano makubwa Afrika nzima, ila wala Taifa Stars special thread haitrend wala nini.
Huu siyo uzalendo kabisa, tubadilike Watanzania, tuwe wazalendo.
Kwani Makonda ndiyo Mtanzania peke yake?, apeleke kiki zake huko!Kuna vitu vya msingi vya kua na uzalendo. Hii tumemuachia Makonda
Kwani Makonda ndiyo Mtanzania peke yake?, apeleke kiki zake huko!
Wanasiasa wanawasababishia wachezaji wetu wa Taifa Stars wakose msimamo, leo wako pamoja nao, kesho hawana habari nao.Timu yenyewe haileweki hii, ni siasa tupu. Hata kufatilia inatia uvivu
Wanasiasa wanawasababishia wachezaji wetu wa Taifa Stars wakose msimamo, leo wako pamoja nao, kesho hawana habari nao.
Kwa staili hii tutabaki kuwa wasindikizaji tu.Ikishinda ni juhudi za sisiemu, wakipigwa kimya. Utadhani kile kikundi cha wasanii wa CCM.
Wanasahau football ni serious business.
Hii tumewaachia Chama cha mapinduzi
Tatizo usiasa na ubiashara umeme wamekata na king'amuzi kimoja ndio kinaonesha sasa uzalendo utokewapi waache waendelee hivyo hivyo tuone watafika wapi!Sisi watanzania siyo wazalendo kabisa, ingekuwa inacheza football club yoyote ile, ungeona special thread ya club husika inatrend kwenye jukwaa hili la sports, timu yetu ya Taifa inacheza, tena kwenye mashindano makubwa Afrika nzima, Taifa Stars special thread haitrend wala nini.
Huu siyo uzalendo kabisa, tubadilike Watanzania, tuwe wazalendo.
Kumbe hushabikii kwa matatizo yako binafsi...Ikishinda ni juhudi za sisiemu, wakipigwa kimya. Utadhani kile kikundi cha wasanii wa CCM.
Wanasahau football ni serious business.
Hii tumewaachia Chama cha mapinduzi
Kumbe hushabikii kwa matatizo yako binafsi...
Ni matatizo....Uzi wa national team unaanza kuponda ccm...hulioni jukwaa la siasa..Sio matatizo, ni mitazamo. Jifunze kutofautisha mtazamo na matatizo.
Kwani wewe kila kilicho mbele yako unashabikia?
Ni matatizo....Uzi wa national team unaanza kuponda ccm...hulioni jukwaa la siasa..
Sasa si ukawapondee huko jukwaani kwao.....Acha wenge wewe. Nimeponda CCM au Nimeponda kuingiza CCM kwenye mpira. Kwahiyo inaposhinda alafu wanasema ni juhudi za CCM ni sawa?
Sasa si ukawapondee huko jukwaani kwao.....