Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tunataka kuona wachezaji wengi wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi wakiitwa timu ya Taifa.Mayanga sawa lakini.....m
 
ivii hakuna kozi za ukochaa wakuu, naupenda sanaa mpira lakini sikuweza pata nafasi ya kulisakata kabumbu ila natami kweli siku moja niwe kocha
 
Sema watanzania hatuna uzalendo kabisa asee. Uzi wa Man U au Liverpool umechangiwa mara laki kadhaa lakini hapa hata buku haifiki. Hata team ya taifa ikicheza hakuna anayejua
 
Tanzania tunachoweza ni ngoma za kienyeji ndio maana ninaumia France ikifungwa sio stars matatatizo matatizo
 
Hongera Taifa Stars kwa ushindi huu wa bao 2-0. Ukweli nilinyong'onyea ule mchezo wa Awali. sasa Tukaze uzi tunaweza kabisa kufuzu .
 
Salaam wote.Hivi Taifa Stars itapata mechi za Kirafiki kabla ya kuivaa Lesotho??Mechi 2 au 3 zinatosha.Kuna nchi zimeshafuzu mfano Madascar,rahisi kuomba friendly.Hawana presha tena...
NB:Akaunti ya Changia Taifa stars ni ipi na Benki gani ili na mm nichangie kidogo.
 
Back
Top Bottom