Ukiambiwa hii nchi kuna wasomi unaweza ukakataa? Ukibiwa kuna washauri wa mkuu, utakataa!!
Wanasiasa wameshatuona misukule ndio maana wanatugeuza kama ngano ya CHAPATI, hata wazee haeajagundua hilo.
HOJA
Njaa, ilivuma sana miezi kadhaa , ikafunikwa na hoja ya Makonda na vyeti feki,
Pia suala la Watishi kukatwa 15% ya bodi ya mikopo halijadiliwi ili kesi ifunguliwe!! TUCTA, CWT, TUGHE wako kimya kugungua shauri kortini.
Kupotezea hili kila dakika hoja ni vyeti vya Makonda!!! Who is Makonda by the way? Watumishi wanaishi kama misukule toka 23/02/2017, hawana molari ya kazi, sisi tunajadili Makonda!!
Hembu tuwe na akili japo kidogo za kufikili Leo Makonda akifukuzwa U RC sisi watumishi tuliokatwa 15% ya loan board itatupunguzia uchungu?
Rais akikataa kumuondoa mtafanya nini?
USHAURI
TUCTA, TUGHE,CWT n.k fungueni shauri kuhusu makato ya 15% YA LOAN BOARD, HII NDIO HOJA YA MSINGI, SUALA LA MAKONDA VIACHIENI VYOMBO HUSIKA VITAMSHUGJULIKIA, TAMBUA KUNA VETTING SASA SIJUI USALAMA WA TAIFA WALITIMIZA WAJIBU WAO AU LA HILO HATUJUI.