KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 80
Duuuu.. bongo watu wamechoka sana jamani
Halafu cha kushangaza kama si kusikitisha wote utakuta ni wakereketwa wa jembe na nyundo.
Mkuu, sasa mwalimu akiwa pale Kalya Kigoma, akiamka subuhi sana na kuwahi shuleni kufundisha wanafunzi kwa bidii sana, na kurudi kwenye nyumba yake ya nyasi aliyopangisha pale ndo kipato chake kitaongezeka na kuwa na uwezo wa kujenga kibanda cha vyumba viwili???Nisingependa kujudge watu nisiowafahamu....kwa hiyo siwezi kusema hao wenye nyumba nzuri wamezipataje na hao wenye nyumba za udongo wamezipataje.
Ila kama general rule: Maisha bora kwa kila mtanzania, maana yake sio kila mtu atapata vya bure. Kama unaamka asubuhi na kwenda kufanya kazi kwa bidii mpaka jioni (na hapa inategemea na kazi), then utegemee kupata nyumba nzuri.....ila kama wewe siku nzima unapiga pombe tu, na longolongo...au unafanya kazi isiyolipa, then usitegemee kupata nyumba nzuri.
Huwezi kuamka asubuhi tu ukaanza kugawa nyumba za bure?.....atazijenga nani? kwa hela za nani?
Mkuu, sasa mwalimu akiwa pale Kalya Kigoma, akiamka subuhi sana na kuwahi shuleni kufundisha wanafunzi kwa bidii sana, na kurudi kwenye nyumba yake ya nyasi aliyopangisha pale ndo kipato chake kitaongezeka na kuwa na uwezo wa kujenga kibanda cha vyumba viwili???
Issue sio kufanya kazi, issue ni kuwa kimjinimjini......maana yake ni kwamba, hata ukiwa Mwalimu Pale Kashagulu Kigoma, unaamka asubuhi sana, badala ya kwenda shuleni, unakwenda shambani kwako ulipolima karanga na alizeti, then ikifika saa tatu asubuhi ndo unaenda kufundisha.........That is what is called working hard kwa wafanyakazi wa serikali wa kada hiyo!!
Hawana Posho za kukalia ****** yao wala kufanya kazi kwa bidii kwa maana ya kula chaki kwa bidii hakuwaongezei hata penny.