Joachim Morgan
Member
- Sep 21, 2011
- 58
- 15
Pole sana.Ila subiri waje wajuvi wenye vibarua zao watakuambia kajiajiri.Kwa kweli bila kujuana na mtu katika hii nchi kupata ajira ni ngumu hakuna mfano. Usione jamaa wanafanya kazi alafu unaambiwa nilituma maombi tu nikaitwa kwenye usaili wengi ni waongo ila walishikwa mikono na jamaa au rafiki zao. Kwa nilioshuhudia wamepita kwa njia nilioeleza hapo juu. 1. Mwaka jana mwezi wa 4 nilifanya usaili nikaambiwa nilete barua za wadhamini ili nisaini mkataba wa kazi baada ya kukamilisha kila kitu nikaambia utakuja J5 kusaini mkataba, J4 nikapigiwa nisubiri mpaka nitakapopigiwa tena ninaendelea kusubiri mpaka leo. 2. Nimefanya usaili bosi kanitumia email niende kuripoti kazini kesho saa 2 nimeona ujumbe kesho mchana bosi kasema sko makini washaweka mtu mwingine. 3. Usaili umeisha nimepigishwa mihuri kwa wanasheria, nimechukuliwa alama za vidole nikaambiwa utaambiwa baada ya siku chache ili uanze kazi mpaka leo. Bongo nimewakubali.
Ndugu joachim hayo maeneo uliyofanya usaili na kufikia hatua hizo ni mashirika binafisi,serikalini au mashirika ya umma????hujatoa ufafanuz juu ya hilo ndugu!
Kwani GPA yenye matege ni ipi jamani... kuna watu nawajua GPA za kugundisha na wana kazi wale wa GPA kubwa hadi hawawezi kubeba tupi nao street
Kwa kweli bila kujuana na mtu katika hii nchi kupata ajira ni ngumu hakuna mfano. Usione jamaa wanafanya kazi alafu unaambiwa nilituma maombi tu nikaitwa kwenye usaili wengi ni waongo ila walishikwa mikono na jamaa au rafiki zao.
Kwa nilioshuhudia wamepita kwa njia nilioeleza hapo juu.
1. Mwaka jana mwezi wa 4 nilifanya usaili nikaambiwa nilete barua za wadhamini ili nisaini mkataba wa kazi baada ya kukamilisha kila kitu nikaambia utakuja J5 kusaini mkataba, J4 nikapigiwa nisubiri mpaka nitakapopigiwa tena ninaendelea kusubiri mpaka leo.
2. Nimefanya usaili bosi kanitumia email niende kuripoti kazini kesho saa 2 nimeona ujumbe kesho mchana bosi kasema sko makini washaweka mtu mwingine.
3. Usaili umeisha nimepigishwa mihuri kwa wanasheria, nimechukuliwa alama za vidole nikaambiwa utaambiwa baada ya siku chache ili uanze kazi mpaka leo.
Bongo nimewakubali.
So sad!kweli kabisa ndugu yangu! Hivi navyoandika hapa, ..tulifanya application NMB! Kwanza,wale ambao ndo wanatakiwa kwny shot list,barua zao za application zilikuwa zinachukuliwa na m2 maalum kupelekwa mahali husika!wengine mnaambiwa kabidhi kwa mlinzi!....nakwambia m2 baada ya written interview,kabla ya kuitwa oral,anaulizwa unataka branch gani!upo hapo! ...so hyo ndo hali jalisi kwa tusio na watu,tuombe Mungu 2!
Mbona vilaza kibao wanaofisi za maana, nilisoma na jamaa akapata carry over lakini kaajiriwa na benki kubwa tu baadae ndio akaenda kumalizia kozi yake.