Tanzania Music Copyrights

aminiusiamini

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
3,577
Reaction score
2,227
Wadau naomba kuuliza,kuna agency yoyote inayoshughulikia copyrights za miziki ya wasanii wa kibongo?
Napenda kazi zao ziheshimiwe lakini pia sitaki yanikute ya Tigo,baada ya Ay na MwaFA kuleta figisu.
Natanguliza shukrani katika shule nitakayoipata hapa.
 

Watafute Copyright Society of Tanzania (COSOTA)

Chato Street, Plot No. 271
Regent Estate
P.O. Box 6388, Dar es Salaam

Cosota-TZ - Copyright Society of Tanzina
 
This firm is too weak to handle copyright issues

Sent using Jamii Forums mobile app

Inategemea unawahitaji kwa suala gani linalohusu hakimiliki.
Kwa suala alilogusia mdau naamini COSOTA wanalimudu na wanaweza mpatia ushauri
mzuri tu.

Ila kama suala linahusu uwakilishi mahakamani naamini utahitajika utaalamu nje ya COSOTA
japokuwa wao COSOTA wanaweza saidia katika kutoa ushahidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…