Tanzania Movie Superstars | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Movie Superstars

Discussion in 'Jamii Photos' started by n00b, Sep 4, 2009.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Hello guys, nimeanzisha hii topic ili iwe ni kwa mtindo wa picha na wakipatikana watu wenye maelezo ambayo yanaweza kusaidia katika kujua wasifu wa wasanii wetu wa maigizo (Tanzania) basi tu-update hii topic daily. Itasaidia kuweka kumbukumbu ya wasanii wetu. Mods, naomba msaada wenu, picha zizidi maneno katika topic hii. Itapendeza mtu akiweka picha aweke na maelezo ya picha ni ya nani, wasifu wake (ikiwezekana) na mambo kama hayo, si sehemu ya kuwaponda pliiiizzz.

  [​IMG]

  Hapo juu ni binti ambaye ameigiza picha nyingi tu, sifahamu wasifu wake vizuri lakini naamini anaigiza vema. Anaigiza kwa jina la Mainda. Sasa wanaojua jina lake halisi na wasifu wake kwa undani pls tusaidie wengine.
   
 2. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Wanasema ladies 1st, ndio maana nilianza na Mainda, si kama nampendelea lakini huwa nafurahishwa na uigizaji wake.

  Huyu chini huwa anaigiza kwa jina la Kanumba. Sijui kama ni jina lake sahihi, wanaojua wanaweza kutusaidia zaidi.

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 3. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Hawa wawili pichani ni Ray (kushoto) na Kanumba (kulia) {kwa majina wanayoigizia}, picha nyingi walizoshiriki zinapendeza kwa kiwango chake, japo soko la filamu Tanzania linahitaji mapinduzi makubwa lakini wawili hawa wamekuwa chanzo cha soko kuanza kubadilika. Kudos guys.

  [​IMG]
   
 4. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Nikiendelea na Kanumba, ana website yake kanumba.com ambapo mwenyewe ameandika historia yake katika uigizaji. Jamaa yuko siriasi katika biashara hii, anahitaji watanzania kumtia moyo katika kusukuma soko la filamu mbele.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 5. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Anakuja Wema mwana wa Sepetu, pamoja na kuwa Miss lakini kwenye soko la filamu huwezi kutomtaja, ni mkali!

  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Is it just me au hizo njemba zina mkorogo/ overpowdered ?
   
 7. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Richard wa Big Brother naye siku hizi yupo kwenye movies. Hapa ni kwenye Bad Intentions akiwa na Kanumba (wengi mtakuwa mnakumbuka eneo hili katika picha hiyo).

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]
  Office scene.


  [​IMG]  [​IMG]


  Richard ana tovuti yake: richardbba2winner.com
   
 8. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Jamaa wanapiga mkorogo asilimia kubwa, hilo ni kweli mkuu. Tena fuatilia picha nitakazoweka baadae mikorogo utaiona vema sana. Wadada nao hawako nyuma katika kuongeza maeneo ya mauno
   
 9. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Irene Uwoya naye wamo, lakini kwakuwa kaolewa nadhani hataendelea na uigizaji.

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 10. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Irene Uwoya zaidi:

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

  • 1.jpg
   1.jpg
   File size:
   50.9 KB
   Views:
   717
  • 3.JPG
   3.JPG
   File size:
   39.5 KB
   Views:
   621
 11. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Nuru Nassoro ambaye kwa wengi hujulikana kama Nora anapoigiza
   
 12. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  [​IMG]
  Amezaliwa mkoani Shinyanga nchini Tanzania tarehe 27 Julai 1983.Ni miongoni mwa waigizaji wa kike nchini Tanzania ambao wanafanya vizuri.Safari yake katika uigizaji ilipata spidi alipojiunga na kundi la sanaa lijulikanalo kama Kaole Sanaa Group.Waigizaji wengi nchini Tanzania wamepitia katika kundi hilo. Jina lake halisi ni Blandina Chagula.Lakini kwa wengi anajulikana kama Johari.

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 13. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  [​IMG]

  Single Mtambalike "Richie"
   
 14. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Juma Kihowolo 'Sajuki' akiwa na mkewe Wastara ambao wote ni waigizaji.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 15. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Vincent Kigosi "Ray"

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Ray akiwa na Johari pichani juu
   

  Attached Files:

  Last edited: Sep 4, 2009
 16. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Simon Simalenga "Dimera"

  [​IMG]
   
 17. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Issa Mussa Hamis - "Cloud"

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 18. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  [​IMG]
  Jina lake halisi ni Yvonne Cherry.Ila ukitaka watu watambue haraka kwamba unamuongelea nani basi huna budi kumuita “Monalisa” kwani ndio jina ambalo wengi wamelizoea kutokana na fani yake ya uigizaji filamu kitu ambacho binti huyu amebobea.Monalisa aliwahi kuwa mke wa prodyuza maarufu wa filamu aitwaye George Otieno almaarufu kama Tyson kabla mambo hayajakwenda ndivyo visivyo.

   
 19. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  [​IMG]

  Jina kamili: Suzanne Lewis

  Jina la kisanii: Natasha

  Mwaka wa kuzaliwa: 1967

  Historia yake kwa ufupi: Kama wengi wanavyomfahamu ni mmoja kati ya waigizaji walio jasiri na mahiri katika kutekeleza majukumu yangu ya kikazi, kwa mantiki hii amekuwa akimudu kucheza nafasi nyingi katika sanaa ya maigizo na filamu kwa ujumla.

  Pamoja na uigizaji wake mama huyu hakurudi nyuma katika shughuli za maendeleo kwani amekuwa akijishughulisha na miradi mbalimbali hasa ya ujasiriamali lengo ikiwa ni kujiletea maendeleo.

  Natasha ambaye ni mama wa mtoto mmoja (Yvonne Cherl au Monalisa) na wajukuu wawili anasema katika kipindi cha miaka 41 tangu kuzaliwa kwake ameweza kushiriki kazi tofauti tofauti lengo likiwa ni kujiingizia kipato na kuendeleza familia yake.
  Katika safari hii ya uigizaji ulianzia wapi?
  Natasha: Nilianza na ukatibu Muhtasi katika ofisi ya ubalozi nchini Angola, hapo nilipata uzoefu wa mambo mengi sana katika maisha pamoja na kazi kwa ujumla

  Nilifanya kazi hiyo kwa muda wa miaka minne na baada ya mkataba wake kuisha nilirudi nchini na kuendelea na maisha ya kawaida.

  Nikiwa hapa niliona ipo haja ya kujiingiza katika sanaa ya maigizo kwani ndoto yangu siku zote ilikuwa ni kuwa msanii mwenye kiwango cha juu katika sanaa ya maigizo.

  Hivyo akiwa jijini alijiunga na kikundi cha sanaa cha Jumba la Sanaa ambapo kwa wakati huo kilikuwa kikimilikiwa na Deo Kafwa.

  Kuingia kwangu katika kikundi hicho kulikuwa ndio mwanzo wa safari yangu hii ndefu ambayo hadi hivi sasa naweza kusema bado haijafikia mwisho.

  Pamoja na yote haya unafikiri ndoto yako ni ipi?
  Natasha: Ndoto yangu ni kujenga jumba kubwa la sanaa theatre kwa ajili ya kufanya maigizo ya jukwaani, kwa sababu ndicho kitu nakipenda kutoka moyoni na ninaomba mwenyezi mungu anijaalie kwa hilo.

  Baada ya kupata uzoefu katika kundi la Jumba la sanaa, mama huyu alienda kufanya kazi na kikundi cha Marehemu mzee Jongo na baadaye kundi la Mambo Hayo.

  alikaa Mambo Hayo kwa muda kabla ya kundi hilo kuvunjika na baadaye baadhi ya wasanii tuliokuwepo kwenye kundi hilo tulijiunga pamoja na kuanzisha kundi jipya lilojulikana kama Nyota Academia.

  Siku zote unapokuwa mkongwe katika kazi ubunifu na hata ujuzi huongezeka kwa hivi sasa mama huyu pamoja na kuigiza michezo pia ni mtunzi na muigizaji wa filamu anasema.

  Mama huyu ambaye kwa hivi sasa amekuwa gumzo katika mchezo wa runinga unaendelea hivi sasa katika moja ya kituo cha Televisheni nchini ni mjasiriamali wa kutumainiwa.

  Mbali na uigizaji unafanya kazi nyingine?
  Natasha: Katika suala la kujiongezea kipato nimeamua kuanzisha miradi mbalimbali ikiwapo ile ya ubunifu na ushonaji wa mitindo ambapo nimeafanikiwa kufungua sehemu yangu ya kushona.

  Si hivyo tu pia nafanya kazi ya kusherehesha sherehe mbalimbali (MC).
  Ni nini sababu ya kuhama kwako kutoka kundi moja kwenda jingine?
  Natasha: Natafuta maslahi bora

  Kuna hili suala la utunzi je wewe ni mtunzi?
  Natasha: Ndio mimi ni mtuzi na vilevile muongozaji wa filamu na hadi kufikia hivi sasa tayari nimefanikiwa kutunga na kuongoza idadi kadhaa ya picha ikiwamo Binti Nusa.

  Una wito gani kwa wanawake wenzio?
  Natasha: Wito wangu kwa wanawake wenzangu ni kwamba hakuna kuchoka katika kutafuta wajibidiishe katika kazi mbalimbali ili kusukuma gurudumu la maendeleo na hatimae tuuzike umasikini nchini kwetu.
  Suzanne Lewis aka Natasha
   
 20. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  Pimbi we kiboko, unastahili pongezi, endelea kutujuvya mkuu. Thread imetulia hii, by the way inaweza kuwa bank nzuri ya information ya wasanii wetu.
   
Loading...