Tanzania Movie Superstars

jokate11.jpg


Jokate Mwegelo naye yumo!
 
Tutakuwa hatujafanya busara iwapo tutamsahau mzee Kipara. Huyu mzee ameitoa mbali sana hii sanaa ya uigizaji, tangu enzi za Radio TAnzania Dar Es salaam enzi hizo na akina mzee Jongo (R.I.P). Mwenye data zake zaidi naomba anisaidie kuzimwaga hapa.

Mkuu uliyeanzisha hii thread heshima kwako. Ila wasiwasi wangu wadau wengine wasije wakaigeuza kuwa another the utamu. MODs watch out mzee-kipara1.jpg
 
Enzi zake
 

Attachments

  • Mzee-Kipara4.jpg
    Mzee-Kipara4.jpg
    33.4 KB · Views: 229
Last edited:
huyu ni mzee Kipara
 

Attachments

  • mzee-kipara2.jpg
    mzee-kipara2.jpg
    29.4 KB · Views: 248
  • mzee-kipara3.jpg
    mzee-kipara3.jpg
    25.1 KB · Views: 249
Asante kwa picha nzuri, huyo mdada wa juu kabisa Mainda na jina lake halisi ni MWANAIDI SUKA, alikuwa anaishi mikocheni chama na mama yake na kwenye elimu samahani aliishia ya msingi pale mikocheni na baada ya miaka kadhaa alichumbiwa na marehemu MAX, Mungu amlaze mahali pema. Baada ya hapo nikaona alikuwa bega kwa bega na kaka yetu Ray sasa sijui baada ya hapo. Sorry kama nimeingilia pv za mtu!
 
Huyo Uwoya hivi ni Mtanzania mwenzetu au ndio usanii uko damuni kiasi cha kuanza kukausha damu,ubaki usanii,sidhani kama nikija kuonana naye uso kwa uso sitashtuka sana kumoyo sbb picha za ndani pia nazo zimeonekana,Dada yang wewe ni mtanzania usisaliti mila na desturi
 
Kama filamu ni kazi kama kazi nyingine sidhani kuoa au kuolewa kunaweza kuzuia kuendelea na kazi hiyo
 
Back
Top Bottom