Tanzania: Mawaziri na madawa ya kulevya

Tanzania: Mawaziri na madawa ya kulevya

Mkuu unaposema "watoto wa viongozi wakuu wa serikali" unakuwa unazunguka.... Muhusika mkuu ni Riziwani.
Jamani, mna uhakika au mnajitafutia shida? Hivi ni kwa nini watu wazima wenye akili zao hupenda kuwaharibu watoto wa wenzao na Haya madawa? Natamani Mungu awaumbue mchana kweupe.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tell me its not true......!_yaaan Mwandosya,Sitta,Malasusa..duuh
Please do your Research Mkuu...Usidanganyike kwa uonekano wa nje! Watakatifu wa Upande wa Pili wapo wengi wanapendeza akiwemo mzee wa treni...
 
Wauza Poda ndo wamepewa jukumu la kutokomeza Poda!
 
Ndugu wana jf,naomba kumtaka Mh kangi lugora(Mbunge) kuja hapa jamvini either kukanusha au kututajia majina ya mawaziri wauza madawa kama alivyonukuliwa na magazeti. Kwa Mawaziri kwa msomo wa samaki mmoja akioza ni wote,jitokezeni humu jamvini kueleza hali halisi kuliko kukaa kimya. Tunasubiri!
 
Nilisoma gazeti la TANZANIA DAIMA LA JANA,liliripot kuwa kwenye vikao vyao (wabunge wa ccm) Adam Malima alimuuliza LUGOLA ni mawaziri gani wanaouza madawa?sasa sijui kama aliwataja
 
Hii "single" ilishachuja tokea kipindi kile cha Mh. Amina Chifupa (R.I.P.).
 
Tayari amejengewa hofu mbele ya wazirir mkuu na ameambiwa mwenyekiti wa CCM hivi karibuni atakuja Dodoma, Lugola tayari anahofu ya kunyang'anywa kadi ya chama. Labda awe mzalendo wa ukweli kama tulivo sisi, hatuogopi,hatutishwi,tunasimamia ukweli na tuko kwa mslahi ya taifa. Hata hivo, nawatia moyo wasiogope, uzalendo wao tuuone hapa, kama alisema bungeni kuwa anawafamu,naamini hajawasahau,awabandike hapa.
 
Nilisoma gazeti la
TANZANIA DAIMA LA JANA,liliripot kuwa kwenye vikao vyao (wabunge wa ccm)
Adam Malima alimuuliza LUGOLA ni mawaziri gani wanaouza madawa?sasa
sijui kama aliwataja

kweli kaka,hata mimi niipata huko huko sasa ni wajibu wa mawaziri kujitokeza humu jamvini kuweka ukweli bayana vinginevyo samaki mmoja akioza ni wote? so tunasubiri kauli zao hapa.
 
Hii "single" ilishachuja tokea kipindi kile cha Mh. Amina Chifupa (R.I.P.).

mwenye mawazo finyu kama wewe unaweza kuona hivyo,lakini watu makini lazzima Mawaziri wajibu haya. Hii nchi ya ajabu sna hadi twiga wanapanda ndege? uliona wapi duniani! Vinginevyo tutawataja sisi watu makini.
 
Ndugu wana jf,naomba kumtaka Mh kangi lugora(Mbunge) kuja hapa jamvini either kukanusha au kututajia majina ya mawaziri wauza madawa kama alivyonukuliwa na magazeti. Kwa Mawaziri kwa msomo wa samaki mmoja akioza ni wote,jitokezeni humu jamvini kueleza hali halisi kuliko kukaa kimya. Tunasubiri!
kama anaeshika namba moja darasani ameshindwa kujibu swali unategemea nani ataweza
 
Huo ni mtazamo wako.

Tunakujua wewe Sumu ni kipofu wa uozo wa serikali ndio maana unaenda dukani kununua wali badala ya mchele! Watu wenye akili kubwa hatuko hvyo labda ukute wewe ni wale wa masaburi kwa kufikiria au akili ndogo by msigwa. Kuuza unga ni tuhuma nzito na namtaka Mh Lugola aje na majibu ya tuhuma hizi akiziacha hivi hivi zitamletea shida sana kwani watamzuru hawa watu,alete hapa jamvini tuwajadili hao akili ndogo wa jk
 
Pengo, Kilaini, Malasusa, Nkwera, Manji, Tamil Somaiya, Jitu, Diria RIP, Lyumba, Ballali, Zungu, Mwamvita, Ritz, Mboma, Dewji, Gulamali RIP, Mpakanjia RIP, Mwandosya, Membe, Msofe, Chagonja, Adadi, Mahita, Luhanjo, Jairo, Karamagi, Chenge, Lusekelo, Bonke, Sitta, Lukuvi, Nagu, Hawa, David, kitilya, Mtemvu, Jerry et al...Hawa ni Watakatifu wa upande wa pili!!!

Mpaka marehemu pia??? Aiseee!!!!!


Sent from my EyePhone
 
Nilisoma gazeti la TANZANIA DAIMA LA JANA,liliripot kuwa kwenye vikao vyao (wabunge wa ccm) Adam Malima alimuuliza LUGOLA ni mawaziri gani wanaouza madawa?sasa sijui kama aliwataja

Hhaa! Kasome tena vizuri, Alisema Nawataja sasa, Kila mtu ukimbini nasikia alisemaa ahaaaah Usitaje usitaje usitaje nasikia ilikuwa mshikemshike.

Mimi bado najiuliza ni Kweli Kikwete awajuhi? Inamaana Usalama unafanya kazi gani?
Mawaziri kama hawa hawawezi kufanya kazi, Watakuwa busy na biashara zao muda wote kwani hii biashara inahitaji concentration kubwa sana.

Kwanini hawatoi kwenye baraza wakafanye biashara zao vizuri.
 
Back
Top Bottom