Tanzania: Maisha ya Tembo wetu hatarini!

Tanzania: Maisha ya Tembo wetu hatarini!

Sasa nashangaa huyu jangili Kinana ni kiongozi wa ccm na ati bado kinajiona ni chama safi, what a hell!
 
siku zote mtu mwizi huwekwa madarakani na wezi wenzake,kwahiyo msishangae kuona Kinana akimaliza tembo wetu kwa fujo na viongozi wetu kukaa kimya. Ila siku zake zinahesabika,ngoja chadema tuchukue nchi utaona watakavyo kimbia.
 
Hakuna mahali ambapo kinana anahusika hapa.ni chuki tu na siasa za kupakana matope
Umekuwa msemaji wa jangili? Kinana alikiri kuwa meli ni yake. Haiwezekani mwenye meli asijue kilichobebwa na meli yake. Mara kadhaa meli zake zimekamatwa zikiwa zimebeba nyara za taifa naye hajakanusha. Wewe ni nani wa kukanusha? Pitia thread zake humu, zipo nyingi tu.
 
Kizazi cha sasa tumegubikwa na wimbi la uvivu wa kushughulisha bongo zetu, kila tunaloambiwa tunameza lilivyo bila kutafakari malengo ya anaeongea au kuandika
kama inashindikana kuchukua hatua kwa watu wanopanga kuuwa watu,na ushahidi wanao.watachukuaje hatua kwa kuuwawa tembo myama. hii ni serikali ya kutoa madarakani.wanajeshi siwanaliona hili. ajabu watawaacha hao walioiba na kuuwa tembo wataanza kutuandama sisi tunaolalamika
 
Mimi kizungu sikijui lakini mbona hapo hujaonesha ni jinsi gani kinana anahusika. Mmiliki wa meli anatakiwa kukagua mizigo kabla haijasafiri au? Msianzie kwa Kinana anzieni mwanzo. Kwani hao tembo waliuawa kurasini au meli za kinana zinaenda mpaka mbugani kupakia mizigo? Je afisa wanyapoli ni watoto wa kinana? Polisi wasiokagua magari njiani ni shemeji zake na Kinana? Maafisa forodha na TRA wa bandarini pamoja na watu wa usalama wa Taifa wanatokea ukoo wa Kinana? Msijedhani mie namtetea Kinana ila nataka tuanzie kwenye chanzo sio mwisho. Mnaodhani JK atasaidia kwenye hili mmenoa kwani alishawahi tamka kuwa analyo orodha ya watu wanaohusika na madawa ya kulevya lakini mpaka leo kimefanyika nini? Kama ni kulinganisha heli Tembo wote wafe lakini japo vijana 1000 wa kitanzania waokoke kutokana na madhara ya madawa ya kulevya.
 
Kwani kinana ni kiongoz wa serikali, mbona hamueleweki,yakiwa kwenu mnataka yasingiliwe ila ya ccm nyie ndo mnataka muwe polisi,waendesha mashtaka,mawakili na hata mahakimu, kama mnaona KATIBU MKUU kakosa hamna haja ya kumwomba awajibike, mnachotakiwa kufanya nenden kunakohusika mkamshtaki sio kuchafuana bila sababu,.

Umepewa kabla au baada ya kazi? Njaa hizi
 
Hapa niko nchini Hong Kong, taarifa za awali nilizo nazo ni kwamba: Kontena za meno (vipusa) ya ndovu zilizotangazwa kukamatwa huko china siyo mbili kama inavyojulikana. Hali halisi ni kwamba kontena zilizokamatwa ni kumi... lakini mchezo mchafu umechezwa na vigogo serikalini kuzima moto (soo) huo ili ionekane kuwa siyo nyingi kiviiile. Ikumbukwe kuwa Tanzania (serikali) ina-stack kubwa za meno ya tembo katika maghara yake. Ni miongoni mwa-stack hizo wajanja wamekwepua kontena 10. Vigogo wa sirikali wamo... Nafuatilia taarifa za kina zaidi nitaziweka jamvini ASAP... "TUNA MATATIZO MAKUBWA"

Aisi!

Nchi iko kwenye matatizo makubwa kuliko tunavyofikiria!
 
Kinana amejiposition vizuri sana. Coz kwa nafasi aliyonayo ndani ya CCM hata akifanya ujangili wa namna gani bado serikali ya CCM itamkingia kifua sana. Hata wakina Nape na Mwigulu wataandaa budget ya kuzunguka Tanzania nzima kumtetea ili kulinda heshima ya CCM.
Kwa kweli kumweka Kinana pale CCM ilikuwa ni kosa kubwa sana kwa JK..huyu jamaa huwezi kumtenganisha na ujangili..
 
Mimi kizungu sikijui lakini mbona hapo hujaonesha ni jinsi gani kinana anahusika. Mmiliki wa meli anatakiwa kukagua mizigo kabla haijasafiri au? Msianzie kwa Kinana anzieni mwanzo. Kwani hao tembo waliuawa kurasini au meli za kinana zinaenda mpaka mbugani kupakia mizigo? Je afisa wanyapoli ni watoto wa kinana? Polisi wasiokagua magari njiani ni shemeji zake na Kinana? Maafisa forodha na TRA wa bandarini pamoja na watu wa usalama wa Taifa wanatokea ukoo wa Kinana? Msijedhani mie namtetea Kinana ila nataka tuanzie kwenye chanzo sio mwisho. Mnaodhani JK atasaidia kwenye hili mmenoa kwani alishawahi tamka kuwa analyo orodha ya watu wanaohusika na madawa ya kulevya lakini mpaka leo kimefanyika nini? Kama ni kulinganisha heli Tembo wote wafe lakini japo vijana 1000 wa kitanzania waokoke kutokana na madhara ya madawa ya kulevya.

Lakini Mkuu swali kubwa la kujiuliza hapa: Ni kwa nini kila anyesafirisha meno ya tembo atumie meli za Kinana...?? Kwani hamna meli nyingine zinazoweza kusafirisha hayo meno ya Tembo hapa Tanzania..?
Ukijumlisha haya yote utaona tu Kinana lazima awe kwenye hii loop ya majingili wa meno ya tembo tena hajaanza leo...
 
Mimi kizungu sikijui lakini mbona hapo hujaonesha ni jinsi gani kinana anahusika. Mmiliki wa meli anatakiwa kukagua mizigo kabla haijasafiri au? Msianzie kwa Kinana anzieni mwanzo. Kwani hao tembo waliuawa kurasini au meli za kinana zinaenda mpaka mbugani kupakia mizigo? Je afisa wanyapoli ni watoto wa kinana? Polisi wasiokagua magari njiani ni shemeji zake na Kinana? Maafisa forodha na TRA wa bandarini pamoja na watu wa usalama wa Taifa wanatokea ukoo wa Kinana? Msijedhani mie namtetea Kinana ila nataka tuanzie kwenye chanzo sio mwisho. Mnaodhani JK atasaidia kwenye hili mmenoa kwani alishawahi tamka kuwa analyo orodha ya watu wanaohusika na madawa ya kulevya lakini mpaka leo kimefanyika nini? Kama ni kulinganisha heli Tembo wote wafe lakini japo vijana 1000 wa kitanzania waokoke kutokana na madhara ya madawa ya kulevya.

Kwakuwa unajua wakala mkuu wa madawa ni Mtot wa JK unataka achukuliwe hatua kabla ya kinana kuadhibiwa amasivyo hapakaliki.
Wamekusikia.
 
Mabadiliko ya kweli ya Tanzania hayatakaa yapatikane bila CCM kuondoka madarakani. Hivi ndivyo ninavyoamini pamoja na kwamba siichukii CCM ila ninaamini katika system ya CCM hata kama utakuwa kiongozi mzuri ni ngumu sana kuleta mabadiliko ya kimaendeleo ukiwa ndani yake..
Kila aliyepo anaangalia ni jinsi gani ya kupiga...????
Eee Mungu ibariki Tanzania yetu, tuepushe na viongozi waovu na wasiokuwa wazalendo..???
 
Hakuna mahali ambapo kinana anahusika hapa.ni chuki tu na siasa za kupakana matope

Kwa mtazamo finyu kama wa kwako, suala la uwajibikaji na uadilifu wa viongozi litabaki ndoto hapa TZ daima
 
Hela zote zinazotumika kwenye kampeni za ccm pamoja na mikutano yake huwa zinatolewa na hao majangili na mafisadi wa rasilimali zetu. Sasa hapo tambua kuwa kama hao ndio wanoifadhili ccm iendelee kukaa madarakani usitegemee kwamba serikali ya chama hicho kinachopata fedha haram toka kwa hao majangili na mafisadi ichukue hatua kali dhidi yao.

Kumbukeni kuwa hela hizo ndizo zinzotumika kununulia khanga,vitambaa,kofia na kukodi wanamuziki kipindi cha kampeni. Matokeo yake ndio kama hayo 42% ya tembo wamevunwa, twiga wanasafirishwa wakiwa hai tena na ndege ya jeshi kwenda nje. Yaani watu,ndege,meli zinaingia tz na kutoka bila kujulikana na hata richmond iliingia mkataba bila hata rais mwenyewe kujua na rais alikiri kutomfahamu mmiliki wa richmond.
jiulize tuna serikali au tuna serikali ya majambazi? Tuna nyani wanaolishambulia shamba halafu hatuchukui hatua kuwafukuza hao nyani (yaani ccm)
 
Kwakuwa unajua wakala mkuu wa madawa ni Mtot wa JK unataka achukuliwe hatua kabla ya kinana kuadhibiwa amasivyo hapakaliki.
Wamekusikia.
MKuu hili silijui ndoo unanipa picha wewe. Ila hoja yangu ni kwamba kwasasa serikali inameno ya tembo ambayo jumuia ya kimataifa wameikataza isiuze. sasa uuzaji wa chinichini unaweza kuhusishwa na pembe hizo. Hivyo basi kuuza pembe sio tatizo lakini inavyokuja kwenye madawa ya kulevya yanayoua na kuharibu vijana wetu huku mkulu akiwa anajua na ametulia kimya ni soo.
 
mweka mada kinana amehusikaje?kweli cdm no interlectuals angali huyo f6 failier kashia kutukana.
 
Back
Top Bottom