Tanzania: Maisha ya Tembo wetu hatarini!

Tanzania: Maisha ya Tembo wetu hatarini!

mweka mada kinana amehusikaje?kweli cdm no interlectuals angali huyo f6 failier kashia kutukana.

Uko nyuma ya taarifa; kwani we huelewi meli inayomilikiwa na Kinana imekamatwa huko Hongkong ikiwa imesheheni meno ya tembo kutoka Tanzania?
 
Tujadili hoja. hatujaribu kupima idadi au uzito wa intellectuals wa chama. Nianze kwa kusema kuwa mimi simo cdm wala ccm. say, utatuambia kuna intellect inatumika kuendesha nchi hii au ni greed? kwetu sisi wananchi tunaona raslimali zinavyoporwa. and you look around hoping to see a responsible govt take action, all you see is more of ccm squandering and looting our resources. and all you can say is hakuna intellectuals ktk cdm. people are raising serious issues but you are engaged in a ridiculous count. are you so oblivious to the plight of the country? Are **** serious? Kama huoni utakuwa ni mmoja wa wezi wetu au unataraji kujiunga nao. s
mweka mada kinana amehusikaje?kweli cdm no interlectuals angali huyo f6 failier kashia kutukana.
 
Mimi kizungu sikijui lakini mbona hapo hujaonesha ni jinsi gani kinana anahusika. Mmiliki wa meli anatakiwa kukagua mizigo kabla haijasafiri au? Msianzie kwa Kinana anzieni mwanzo. Kwani hao tembo waliuawa kurasini au meli za kinana zinaenda mpaka mbugani kupakia mizigo? Je afisa wanyapoli ni watoto wa kinana? Polisi wasiokagua magari njiani ni shemeji zake na Kinana? Maafisa forodha na TRA wa bandarini pamoja na watu wa usalama wa Taifa wanatokea ukoo wa Kinana? Msijedhani mie namtetea Kinana ila nataka tuanzie kwenye chanzo sio mwisho. Mnaodhani JK atasaidia kwenye hili mmenoa kwani alishawahi tamka kuwa analyo orodha ya watu wanaohusika na madawa ya kulevya lakini mpaka leo kimefanyika nini? Kama ni kulinganisha heli Tembo wote wafe lakini japo vijana 1000 wa kitanzania waokoke kutokana na madhara ya madawa ya kulevya.

Uchunguzi huanzia pale kitu kinapokamatwa.

Ni kweli kuna ushirika katika kutekeleza ujangili na ufisadi mkubwa wa aina hii
 
Tujadili hoja. hatujaribu kupima idadi au uzito wa intellectuals wa chama. Nianze kwa kusema kuwa mimi simo cdm wala ccm. say, utatuambia kuna intellect inatumika kuendesha nchi hii au ni greed? kwetu sisi wananchi tunaona raslimali zinavyoporwa. and you look around hoping to see a responsible govt take action, all you see is more of ccm squandering and looting our resources. and all you can say is hakuna intellectuals ktk cdm. people are raising serious issues but you are engaged in a ridiculous count. are you so oblivious to the plight of the country? Are **** serious? Kama huoni utakuwa ni mmoja wa wezi wetu au unataraji kujiunga nao. s

Huyu Masharl mwenyewe anaonyesha si intellectual;
kwanza yuko nyuma ya information, pili inaelekea haelewi kwamba ujangili na utoroshaji wa nyara za taifa ni dhambi kubwa kwa nchi na hata Kwa vizazi vijavyo!

Hajui kwamba uporaji Wa rasilimali za nchi, ufisadi na ubinafsi ndio vyanzo vikubwa vya umaskini wa watanzania

Hajui kwamba CCM kufuga watu Wa aina hii ni kuhalalisha hivyo vitendo

Tunaweza kuongea athari za Matokeo ya ujangili bila kuwa Na kikomo
 
Sasa nashangaa huyu jangili Kinana ni kiongozi wa ccm na ati bado kinajiona ni chama safi, what a hell!

Inaelekea kuwa kiongozi CCM lazima uwe na kashfa-uwe mtoa rushwa, uwe fisadi au uwe unashirikiana na wahalifu kama majangili nk
 
siku zote mtu mwizi huwekwa madarakani na wezi wenzake,kwahiyo msishangae kuona Kinana akimaliza tembo wetu kwa fujo na viongozi wetu kukaa kimya. Ila siku zake zinahesabika,ngoja chadema tuchukue nchi utaona watakavyo kimbia.

Ndio maana wanatumia nguvu zote wasiondoke madarakani. Lakini siku zao zinahesabika
 
Back
Top Bottom