Tanzania loses battle over Serengeti road project

Tanzania loses battle over Serengeti road project

Acha tuwasaidieni kufikiri nyie viumbe wa kusini mwa nchi yetu.
You have never been good at what you do.
Mulichimba madini na sasa munakaribia kuyamaliza bila ya nchi kufaidika, muekata magogo na uya export hamjali vizazi vijavyo, hamzingatii wala kujishughulisha na chochote tufanyacho nchini kwetu, mtajuaje hatari inayowajia.
Kila mtu kwenu ni politician hakuna professionals wa other field munapenda without reasoning kwa sababu ya kukata tamaa.
Wacha tuwasaidie kufikiri, but we know kile tunapata in return, tutaingia popote kulinda maslah ya wakenya, ninyi endeleeni kupiga politiki.
you kenyans are good at killing each other
 
Naona tumekuwa na unyonge usiokuwa na sababu, kwa kusema Wakenya kuiharibia Tanzania sio sahihi.
ukweli uliosimama hiyo barabara kujengwa katika mbuga ya hifadhi ya serengeti itahathiri kiasi kikubwa
( Ecology ) ikolojia ya wanyama wakati wa kuhama. Serikali ya Tanzania ilifikiria kwa ufupi lakini matatizo
yake ni marefu sana. Wakati wa kiangazi maji ya mito inapokauka na majani kukauka, kimazingira ya hao
wanyama ni lazima kuhamia kwenye mbuga za masai mara kufuata maji pamoja na chakula chao yaani
majani, na mpaka wakati mvua zinapoanza kunyesha serengeti na mito kujaa maji na majani kuchipua
huo ndio unakuwa wakati wa wanyama kurudi serengeti. Na kwa tabia hiyo ya wanyama kwenda Kenya
na kurudi Tanzania kusema kweli haiwezi kuzuilika, hapo Serikali ya Tanzania ni mbinu tu waliyotumia
ya kutaka kuwazuia wanyama wasiwe wanahamia Kenya, na mbinu hiyo ni sawa na kupanga mauaji ya
wanyama, kwa sababu watakuwa hawana maji ya kunywa wala majani ya kula. Na vile vile watakaojaribu
kuvuka barabara watagongwa na magari, kama unavjojua madereva wetu wa bongo awamjali binadamu
je kwa wanyama itakuwaje. Mimi siono kama Serikali ya Kenya ina matatizo bali wamesimamia ukweli ulivyo.
kweli jamii forum imevamiwa na wengi mpaka wakisii
 
Kenya wanaweza kuwa na point, lakini office ya mwanasheria watu mkuu ni janga la kitaifa. Werema na watu wake ni bure kabisa sijui aliupateje ujaji? Angalia miswada inayopelekwa bungeni, ni madudu matupu! Sishangai hata kidogo tumeshindwa na wakenya, hatuna mwanasheria mkuu!
 
Mbona sijasikia wanamzingira wakilalamika kutokana na uharibifu takaofanywa na ujenzi wa bandari ya Lamu? Huu mji umesheni majengo mengi ya kihistoria ambayo ni hazina kubwa kwa watu wote wa EAC..
kinachopatikana kenya ni mali ya wakenya na kinachopatikana Tanzania ni.cha wote Eac
 
Ikiwa hujui wala huwezi fikiria adhari zitakazo tokana na barabara hiyo ndani na kukatiza katikati ya mbuga ya Serengeti wewe ni punguani na huna akili bora unyamaze na urudi darasani upya.....
 
Same boat with you mtu.... Hawa wanaodhani hapa kuna suala la utaifa na ubinafsi hawatumii akili haiwezekani kwa barabara hiyo kujengwa katikati ya mbuga hatujui wala hatuthamini vitu vyetu ndio maana havina manufaa na sisi.... Shame on us mazafakazzz........
 
Kwanza napenda kuwalaumu usalama wataifa ,wameshindwa kulinda maslai ya nchi kabisa , Sijui wanafanya nini paka wanashindwa kujua michezo wakenya wanayotuchezea kwa manufaa yao binafsi .Wakenya wanasaba zao za msingi zaidi ya kulinda uharibifu wa mazingira . Ndio yale yale ya kuzuia ujenzi wa mahoteli mapya kujengwa serengeti kwa gia ya mazingira , Wakati masai mara ni robo ya serengeti lakini ina mamia ya hoteli . Najiuliza wao hawaharibu mazingira na mahotel waliojenga masai mara ? Wakenya ni wajanja mno ,nchi yao inategemea utali asilimia kubwa sana kwahiyo kuendelezwa kwa serengeti ni tishio kubwa sana kwa uchumi wa kenya .hata ujenzi wa uwanja mpya wa ndege wa amboseli unamaana kubwa sana kwa utali wa kenya ukizingatia amboseli ndo mpakani na mlima kilmanjaro. Lakini muda wao wa kutufanyia hii micheze wanayotuchea unafika mwisho . Kiboko yao ni laigwanan lowassa tu maana anajua wakenya wanataka nini kwetu .
 
mkuu bucho unachosema inawezekana ni mojawapo ya sababu lakini duniani tunajifunza kutokana na makosa. Kenya walifanya kosa la kujenga mahoteli mengi ktk mbuga yao ya Masai
Mara kwa hiyo wanatambua makosa yao. Lazima wazilinde Serengeti na Ngorongoro kwa maslahi yao ya kiuchumi kwa watalii wanaoingia kupitia Kenya. Tujiulize hii barabara ilikua inajengwa kupitia mbugani kwa masilahi ya Watanzania ama kwa maslahi ya kisiasa na kibiashara ya baadhi ya watawala wetu?
 
Tatizo letu watanzania tunapiga mno siasa! Mtu akifanikiwa kidogo tunamuita mara free mason mara fisadi! Siku moja nilikuwa Nairobi, Mkenya Dereve Tax aliyenichukua airport akaniambia amesikia Rais wetu akienda ulaya huwa anaatend Matamasha ya Muziki!
 
Wewe hapa unaendekeza ushabiki usio na maana. Wewe unaona ni malumbano ya Kenya vs Tanzania wakati ukweli ni malumbano ya Uharibifu vs uhifadhi. Huoni vitu vyote walivyopinga vina mantiki na vinawasaidia hata watanzania (ambao kama kawaida yao) wamekaa kimya kama nyumbu wa serengeti, wakati viongozi wao wasio na busara wakitaka kuharibu?
Wacha wawaamshe waliolala bwana na sio kuleta kiswahili murefu kama mulolongo ya gari!

Nakubaliana na wewe wacha watu wengine wawamshe wadanganyika wakati viongozi wao wanapora maliasili ya nchi yao!!Uamuzi huu ni lamdmark judgement ambayo itasaidia katika kuimalisha jumuiya ya Afrika Mashariki!!
 
You mighty be a kenyan walai

i am purely and a true Tanzanian but i will never say black colour is white while its actually black so my friend white is white and black is black, no matter how much it hurts but the fact will remain so Tanzania its time we wake up.
 
mkuu wangu KALABASH wakenya na dunia nzima inahusika kwasababu ndani ya ardhi yetu kuna urithi wa dunia Serengeti na Ngorongoro ambako hiyo barabara itapita. Ombi langu tusome na tutafute maarifa kadri iwezekanavyo,itasaidia kuondoa jazba wakati wa kujadili mambo kama haya. Ndiyo maana tunashindwa hata ktk kesi! Jaji aliyeongoza jopo la majaji wa Mahakama ya EAC ni Mtanzania. Tena jaji kweli siyo hawa tunao waona ktk mahamaka zetu siku hizi.

TIMBILIMU umenijibu kwa staha na ndiyo maana nimeshawishika kubadilishana mawazo nawe. Inawezekana kabisa ujenzi wa hiyo barabara kupitia Serengeti si wazo zuri. Ninachopinga ni mindset ya wakenya ndani ya EAC ya kujipachika u- kiranja (Head Prefect). Kama wewe ni msomaji wa International Forum humu jamvini utaona jinsi wakenya wanavyotoa lecture juu ya mwelekeo wa EAC kama vile wengine wote ni wanafunzi wao. Nabadilisha lugha kwa msisitizo: Tanzania of 2012 is not going to be the same in 2022. The new crop of leadership that will come after 2015 is very much aware of the massive economic potential that Tanzania has and are not going to make the same mistakes that their predecessors may have done in the management of these huge resources. And those will be the days and years that Tanzania will call the tune and everybody around (Kenya included) will have to dance to it.
I submitt.
 
mkuu wangu KALABASH maneno yako ni sahihi. Lakini woga wangu ni kama 2015 tutafanikiwa kupata hicho unachozungumzia!
 
i am purely and a true Tanzanian but i will never say black colour is white while its actually black so my friend white is white and black is black, no matter how much it hurts but the fact will remain so Tanzania its time we wake up.

I concur with you brother, its high time we stir up and aggressively fight for our beloved Nation, kenyans are the poorest in East Africa in terms of resources yet they have the largest economy in East Africa! Tuache kupiga siasa! Tunahitaji kubadilika!
 
Ukweli wakenya hawatupendi sana na hii tabia ya wabongo kusifiwa ujinga eti sisi ni wakarimu sana kwa wageni itatupeleka pabaya sana, dawa ni kuwadis tu.
 
TIMBILIMU umenijibu kwa staha na ndiyo maana nimeshawishika kubadilishana mawazo nawe. Inawezekana kabisa ujenzi wa hiyo barabara kupitia Serengeti si wazo zuri. Ninachopinga ni mindset ya wakenya ndani ya EAC ya kujipachika u- kiranja (Head Prefect). Kama wewe ni msomaji wa International Forum humu jamvini utaona jinsi wakenya wanavyotoa lecture juu ya mwelekeo wa EAC kama vile wengine wote ni wanafunzi wao. Nabadilisha lugha kwa msisitizo: Tanzania of 2012 is not going to be the same in 2022. The new crop of leadership that will come after 2015 is very much aware of the massive economic potential that Tanzania has and are not going to make the same mistakes that their predecessors may have done in the management of these huge resources. And those will be the days and years that Tanzania will call the tune and everybody around (Kenya included) will have to dance to it.
I submitt.

Our problem is bigger than we think, Ujamaa Ideology did more harm than good to this nation,trust me, E.L is the only person who can steer this nation to prosperous, his no nonsense leadership will make people in the government standing on their toes!
 
Granted that Ujamaa ideology may have done more harm than good as you say but I can not see how El fits into the equation. We are not discussing about individuals/personalities. We are talking about Kenya and Tanzania
 
SERIKALI ya Tanzania imebwagwa katika rufaa yake iliyokata dhidi ya uamuzi wa mahakama ya Afrika Mashariki ya kuzuia ujenzi wa barabara ya Musoma-Serengeti-Arusha baada ya kitengo cha Rufaa cha Mahakama hiyo jana kuamua kuwa uamuzi huo ulikuwa sahihi.Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania ilipinga hati hiyo kwa madai kuwa mahakama haikuwa na mamlaka ya kufanya hivyo kisheria.Kupitia kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Gabriel Malata serikali ya Tanzania ilidai mbele ya jopo la majaji watatu wa mahakama hiyo wakiongozwa na Rais wao, Jaji Harold Nsekela, Jaji James Ogoola na Jaji Emilie Kayitesi kuwa hati hiyo iliyotokana na shauri lililofunguliwa dhidi yake na taasisi isiyo ya kiserikali inayoshughulikia haki za wanyama ya Africa Network for Animal Welfare (ANAW) ya nchini Kenya inayopinga mradi huo haikuwa halali kisheria.Wakili Malata alidai licha ya mahakama hiyo kuwa na uwezo wa kusikiliza na kuamua shauri, suala hilo linahusu mambo ya ndani ya Tanzania na yalistahili kuwasilishwa na raia wa Tanzania au NGO ya Kitanzania mbele ya mahakama iliyo ndani na chini ya mamlaka ya nchi ya Tanzania.Maombi hayo ya Tanzania yalipingwa na wakili Saitabao Kanchory Mbalelo anayewakilisha walalamikaji aliyedai mahakama hiyo ina uwezo na mamlaka ya kutoa hati ya kuzuia utekelezaji wa mradi huo na kuomba mahakama kutupilia mbali rufaa hiyo.Akisoma uamuzi wa jopo hilo kwa niaba ya wenzake jana, Jaji Ogoola alisema kifungu cha 9 cha mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kinaipa mamlaka, haki kisheria Mahakama ya Afrika Mashariki kutoa hati ya zuio na hivyo kutupilia mbali rufaa ya serikali ya Tanzania.Pamoja na mambo mengine taasisi hiyo ya Kenya kwa kushirikiana na taasisi zingine za ndani ya nchi wanaoungwa mkono na baadhi ya nchi wafadhili na mashirika ya kimataifa ya fedha wanapinga ujenzi wa barabara hiyo kutoka Musoma-Mugumu-Ngorongoro hadi Arusha mjini kwa madai kuwa utafanya magari mengi kupitia njia hiyo na hivyo kuathiri ikolojia ya wanyama wanaohama kutoka hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania kwenda hifadhi ya Masai Mara nchini Kenya kila mwaka

ANGALIZO:
Ø Kwa mtindo huu wa kenya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania kila wakati na kizivuruga nini maana yake?

Ø Ikumbukwe pia walishawahi kuvuruga tana pale tanzania ilipoomba kibali cha kuuza meno ya temba na wakafanikiwa.

Ø Mbona sisi hatukuwaingilia pale walipoomba kibali cha kujenga bandari ya lamu?

Ø Kwa mtindo hu,nini manufaa na faida ya kuwa na east africa community kama wenzetu wanakua wanafiki na kinyume na sisi kila wakati?
Tuache siasa kwenye mambo tusiyoyajua......Unajua barabara hii inayopigiwa kelele inapita eneo gani Serengeti...na unajua umuhimu wa serengeti kwa animal migration....unajua athali za kujenga hiyo barabara kiuhifadhi itakavokuwa kiulinzi wa wanyama....
Kuna mengi ambayo yamejificha juu ya huu mradi.....na kwa taarifa tu ni kwamba hiyo NGO ulioitaja ni sehemu ndogo tu ya wanaopinga huu mradi,..Mataifa mengi na mashirika yoote makubwa ya uhifadhi duniani yanapinga.....maana Serengeti ni world heritage site na kama ilikuwa Tanzania ikilazimisha huu mradi kama inavotaka iwe na wanasiasa Serengeti itaondolewa kwenye Ile maajabu saba ya dunia..not world heritage site anymore.....,haitakuwa tena katika man and biosphere reserve hivyo kupunguza wageni wanaotembelea tanzania......na kumbuka kuwa lengo ni kuongeza wageni kuja kutembelea tanzania.
Fikiria statistics za Ujangili(poaching),road kill,littering....etc......
ila fuatilia tu itakapopita barabara kuna nini hapo......ie madin gan...
 
Hebu ktk hili badala ya kulau wakenya turudi upande wakwetu kwann wameshindwa kama wako sahihi na mradi wao uko well planed coursend with enveronment n' social impact.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom