Tanzania: Lake Babati to be leased to Chinese investors

Kiingereza gani hiki na post zote unazoziweka humu ndani?
However, the english Language plays an important role in our life. It is understood by many people around the world, since it is the most spoken language, but in Tanzania we normally use Swahili, that's why our english is poor
 
Mchina aje kufuga samaki Babati acheni utani...
Wakishapewa ten percent yao ndio huwa wanakuja na gia hizo kutudanganya ili tuone there is no big deal kumbe ukifatilia utakuta kuna utajiri wa kutisha mchina kashauona na kamfinya sikio mweusi mwenzetu.

Kinachofuata utaona unaelezwa namna mradi utakavyokua na manufaa kwa mazingira na shule za msingi za eneo hilo.

Ngozi nyeusi iache tu
 
Inawezekana wajerumani walificha dhahabu humo na wachina wameidaka

Hapo mimi ni kujenga karibu tu na kila asubuhi naangalia wamefukua nini

"Raiders of The Lost Past" ukiangalia hii utajua nina maana gani
Hilo nakubaliana na wewe, Mjerumani anamali nyingi sana alizoficha nchini hasa kwe Maziwa, Mabwawa Mapango na Maporomoko ya maji.

Jinsi ya kuzibebe ndio shughuli, itakuwa Mchina kapata dawa yake.
 
Hilo nakubaliana na wewe, Mjerumani anamali nyingi sana alizoficha nchini hasa kwe Maziwa, Mabwawa Mapango na Maporomoko ya maji.

Jinsi ya kuzibebe ndio shughuli, itakuwa Mchina kapata dawa yake.
Na kambi za jeshi, hospital alizojenga na hata kwenye mahekalu

Yaani kuna utajiri ambao ukibahatika umeula
Watafiti wanapokuja na gia ya kusema tunatafuta dinosaur au watu wa kale na serikali inafurahia ujue kuna cha ziada wanatafuta
 
China kasingiziwa,yupo mtu amejificha.Karibu ukoloni mpya wa kujiuza wewe mwenyewe kisa kusaka tonge binafsi.
 
Haya ndiyo yanamkera Mkulu. Hivi sisi tunashindwa kupandikiza samaki hapo kweli?!? Tunabaki eti samaki wamekwisha! Wekezeni sangara muone baada ya miaka miwili mtapata nini. Kwani Ziwa Victoria wale sangara ni wa asili si walipandikizwa tu.
 
Yes it have to be leased as long as we get profitable returns
It will profitable to the investor and government in terms taxes; how about indigenous who used to get "kitoewo kwa kutumia ndoano"? Will investor allow small fishers to fish?
 
Back
Top Bottom