ndo nani huyu?
kweli uzuri upo machonimwa anaetizama.
sasa huyu si wakawaidatu!
Mbona sio natural? nywele za kizungu, rangi ya kiarabu? au kachangia?
kweli ni noma siku 12 tu post 250?halafu JF bana huyu asubuhi alikuwa Senior member saa hizi tayari kawa JF SENIOR EXPERT MEMBER??khaaa...mi ndo maana nataka tuwe tunapigia kura watu kuwa sijui expert members hapa...Watu tunapiga thread hapa mwaka wa 5 sasa lakini hatupigwi promo wala nini...kuna siku hata hiyo JF founder sijui tutapiga kura hapa...mshanitibua ma MODs ngoja nikagonge valuuu tu nije kumalizia hasira kwa mama gaude
Umejualiza pengine anachokizungumza ni point tupu na wewe tangu ujiandikishe ulikuwa unazungumza pumba tupu??? Ama kweli akili si nywele kila mtu anazake.halafu JF bana huyu asubuhi alikuwa Senior member saa hizi tayari kawa JF SENIOR EXPERT MEMBER??khaaa...mi ndo maana nataka tuwe tunapigia kura watu kuwa sijui expert members hapa...Watu tunapiga thread hapa mwaka wa 5 sasa lakini hatupigwi promo wala nini...kuna siku hata hiyo JF founder sijui tutapiga kura hapa...mshanitibua ma MODs ngoja nikagonge valuuu tu nije kumalizia hasira kwa mama gaude
Mbona sio natural? nywele za kizungu, rangi ya kiarabu? au kachangia?
Rangi ya kiarabu? Kwani hakuna watanzani ambao ni light skinned?(not that it's attractive)Mbona sio natural? nywele za kizungu, rangi ya kiarabu? au kachangia?
Bora umesema weye; mimi nilicomment kwa mtu kama huyo nikaambiwa WIVU