FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,915
- 109,308
Unaongelea "updates"? Updates za nini na WHO imeshqtangaza corona yupo na ni wa muda mrefu.Wewe unawashwa ile sehemu na dawa yako ni Quio tu!
Huoni aibu? Ati Covid-19 ni mgeni...are u serious? Hivi unajua zile Test Kits za Covid-19 zimetoka wapi? Unataka kusema nchi zote duniani achilia China hawana utaalamu wa hizo Kits? Ni Tanzania peke yao walioshindwa kutumia hizi Kits kwa madai ya kutumiwa na Mabeberu. Hayo ni madai fake na ya kipuuzi kabisaa! Nchi zote wanapima watu wao na Wana update every after 24 hours! Tanzania kimyaaa....no updates no nothing!
Unataka utangaziwe takwimu za uongo? Vipimo vyenyewe havina uhakika.
Unataka uta ngaziwe kila mgonjwa wa mafua?
Mbona huulizi takwimu za Malaria, TB, UKIMWI, Moyo, saratani nk.
Au vyite hivyo vimeacha kuwa sababu ya vifo?
Upewe updates zinakusaidia nini wewe au mimi au mwengine yeyote yule? Una dawa?
Huo Mwingine ni ujinga tu.
Ukitaka takwimu za vifo Tanzania nenda RITA.
Corona yupo na anauwa na atakuwepo kwa muda mrefu sana. Jilinde wewe mwenyewe. Hao wanaokufa huko duniani na wao hawana takwimu? Si unasema wanatoa kila saa 24? Zinawasaidia nini?