Tanzania kuwa kitovu cha COVID-19 East & Central Africa?

Wewe unawashwa ile sehemu na dawa yako ni Quio tu!
Huoni aibu? Ati Covid-19 ni mgeni...are u serious? Hivi unajua zile Test Kits za Covid-19 zimetoka wapi? Unataka kusema nchi zote duniani achilia China hawana utaalamu wa hizo Kits? Ni Tanzania peke yao walioshindwa kutumia hizi Kits kwa madai ya kutumiwa na Mabeberu. Hayo ni madai fake na ya kipuuzi kabisaa! Nchi zote wanapima watu wao na Wana update every after 24 hours! Tanzania kimyaaa....no updates no nothing!
Unaongelea "updates"? Updates za nini na WHO imeshqtangaza corona yupo na ni wa muda mrefu.

Unataka utangaziwe takwimu za uongo? Vipimo vyenyewe havina uhakika.

Unataka uta ngaziwe kila mgonjwa wa mafua?
Mbona huulizi takwimu za Malaria, TB, UKIMWI, Moyo, saratani nk.

Au vyite hivyo vimeacha kuwa sababu ya vifo?

Upewe updates zinakusaidia nini wewe au mimi au mwengine yeyote yule? Una dawa?

Huo Mwingine ni ujinga tu.

Ukitaka takwimu za vifo Tanzania nenda RITA.

Corona yupo na anauwa na atakuwepo kwa muda mrefu sana. Jilinde wewe mwenyewe. Hao wanaokufa huko duniani na wao hawana takwimu? Si unasema wanatoa kila saa 24? Zinawasaidia nini?
 
Hivi mkoma akiamua kumtenga mkoma mwenzake je ukoma wake utaisha kwa sababu hiyo?? Halafu kichekesho ni kuwa anayetenga ndo ndo kaathirika zaidi.
 
🤣🤣🤣

Sawa Zambia watatumia bandari ya Mombasa. Umefurahi?
Kweli umethibitisha ujinga wako kwa kulazimisha eti nimesema Zambia watatumia bandari ya Kenya, na ujinga wako hata wa kushindwa kuielewa ramani niliyo shea kuonyesha nchi ambazo Zambia inaweza kutumia bandari zao.
 
Kwa Sasa tunaweza kuwa tunaongoza kwa East&central Africa. Na hii imechangizwa na njia tuliyoamua kuifuata katika kukabiliana na ugonjwa huu. Na kwa hali ilivyo, huenda tukawa tumeanza kuattain HERD IMMUNITY,ambayo ndiyo target yetu. That's why attendance ya wagonjwa wenye shida za kupumua at Emegey department zimepungua ukilinganisha na wiki mbili zilizopita. Inawezekana hata huko mortuary nafasi wazi zikawa zimeongezeka tofauti na wiki chache zilizopita. Ushahidi mwingine wa hili, ni kupungua kwa movements za ambulance zilizoshuhudiwa wiki chache zilizopita.
Na kuhusu suala la madreva kutest Postive, Hilo lisitutishe. Tuelewe concept hizi mbili:
Mtu anaweza kuwa infected na asiwe affected. Maanake, anaweza kuwa ana virus, lakin virus hao wasisababishe ugonjwa(kuonesha dalili) either kwa sababu Kinga yake iko imara. Na huyu anakuwa haumwi. Kusema Mtu anaumwa maanake ana Signs and symptoms za ugonjwa unaosababishwa na virusi husika.
Madreva wetu wana test Postive Ila hawana signs Wala symptoms za COVID-19, so kuwa label Kama wagonjwa ni kuwaonea na kuwatia katika msukosuko wa kifikra na akili unaoweza kuwasababishia msongo wa mawazo.
 
Wewe Mama utakuwa una matatizo makubwa Sana!
Hivi unajua upimaji wa Covid-19 Tanzania ulianza lini na huyo Rais wako kaanza kufanya majaribio lini?

Sheria za kujaribisha Ubora wa kifaa/vifaa hutakiwa kuwa tested/verification kabla ya KUANZA kukutumika! Ni upuuzi kudai TK hazina ubora baada ya kupita miezi/mwezi! Lakini pia kama ume zishuku hizo TK Kwanini usipeleke kwa WENZAKO walio na Test Kits nzuri?
Mnao mcheka Rais kwa hili mmefutwa akili na wazungu kuwaona wao ni sawa na bora zaidi, ngoja mpaka uchunguzi ufanyike kabla ya kubwatuka.
 
Kwa Sasa tunaweza kuwa tunaongoza kwa East&central Africa. Na hii imechangizwa na njia tuliyoamua kuifuata katika kukabiliana na ugonjwa huu. Na kwa hali ilivyo, huenda tukawa tumeanza kuattain HERD IMMUNITY,ambayo ndiyo target yetu. That's why attendance ya wagonjwa wenye shida za kupumua at Emegey department zimepungua ukilinganisha na wiki mbili zilizopita. Inawezekana hata huko mortuary nafasi wazi zikawa zimeongezeka tofauti na wiki chache zilizopita. Ushahidi mwingine wa hili, ni kupungua kwa movements za ambulance zilizoshuhudiwa wiki chache zilizopita.
Na kuhusu suala la madreva kutest Postive, Hilo lisitutishe. Tuelewe concept hizi mbili:
Mtu anaweza kuwa infected na asiwe affected. Maanake, anaweza kuwa ana virus, lakin virus hao wasisababishe ugonjwa(kuonesha dalili) either kwa sababu Kinga yake iko imara. Na huyu anakuwa haumwi. Kusema Mtu anaumwa maanake ana Signs and symptoms za ugonjwa unaosababishwa na virusi husika.
Madreva wetu wana test Postive Ila hawana signs Wala symptoms za COVID-19, so kuwa label Kama wagonjwa ni kuwaonea na kuwatia katika msukosuko wa kifikra na akili unaoweza kuwasababishia msongo wa mawazo.
Kama una korona bila dalili ina maana we ni mbebaji na utaambukiza wengine wasio na nguvu za kinga mwilini. Kuhusu Herd immunity ni illusion sababu waliopona korona wameipata tena China. Kuhusu madereva wetu haiwezekani wote wasiwe na dalili, hii ina maana mashine za kupimia korona zina hitilafu, na hii ina maana kuna kesi chache zaidi za korona duniani, lakini wazungu wanaona aibu kutojua hilo na kufundishwa na mwafrika.
 
Wewe unawashwa ile sehemu na dawa yako ni Quio tu!
Huoni aibu? Ati Covid-19 ni mgeni...are u serious? Hivi unajua zile Test Kits za Covid-19 zimetoka wapi? Unataka kusema nchi zote duniani achilia China hawana utaalamu wa hizo Kits? Ni Tanzania peke yao walioshindwa kutumia hizi Kits kwa madai ya kutumiwa na Mabeberu. Hayo ni madai fake na ya kipuuzi kabisaa! Nchi zote wanapima watu wao na Wana update every after 24 hours! Tanzania kimyaaa....no updates no nothing!
Magufuli anaakili nyingi kuliko wewe mpuuzi mmoja
 
Wewe unawashwa ile sehemu na dawa yako ni Quio tu!
Huoni aibu? Ati Covid-19 ni mgeni...are u serious? Hivi unajua zile Test Kits za Covid-19 zimetoka wapi? Unataka kusema nchi zote duniani achilia China hawana utaalamu wa hizo Kits? Ni Tanzania peke yao walioshindwa kutumia hizi Kits kwa madai ya kutumiwa na Mabeberu. Hayo ni madai fake na ya kipuuzi kabisaa! Nchi zote wanapima watu wao na Wana update every after 24 hours! Tanzania kimyaaa....no updates no nothing!
Wala halikufikia kichwani kwamba kesi zote duniani sio za kweli kutokana na ugunduzi wetu watanzania, au unataka wazungu wakwambie hivyo kwa kuwa wewe ni mtumwa wa akili anayefikiri ni wazungu tu wanaojua yote?
 
Kama una korona bila dalili ina maana we ni mbebaji na utaambukiza wengine wasio na nguvu za kinga mwilini. Kuhusu Herd immunity ni illusion sababu waliopona korona wameipata tena China. Kuhusu madereva wetu haiwezekani wote wasiwe na dalili, hii ina maana mashine za kupimia korona zina hitilafu, na hii ina maana kuna kesi chache zaidi za korona duniani, lakini wazungu wanaona aibu kutojua hilo na kufundishwa na mwafrika.
Mimi nazungumza sayansi, wewe unazungumza common sense. Ungekuwa na ufahamu wa virology hata ya kugoogle ungenielewa. Usiseme "herd Immunity" which is a scientifically proven phenomenon kuwa Ni Illusion.
Kuhusu Madreva wanaopimwa, nimekueleza kuwa, sio kila mtu mwenye virus ni mgonjwa, wengine Ni carrier. Mind you, carrier sio mgonjwa. Ili uwe mgonjwa lazima uwe na dalili(signs and symptoms) za ugonjwa husika. Sasa hao madreva, wanaopimwa bila kuwa na dalili yoyote except lab results, inakuwaje waitwe wagonjwa? Kwenye medicine Kuna concept moja inasema " tunatibu watu na si vipimo"( in medicine, we treat patients and not lab results).
What if Vifaa vina shida? What if mpimaji alikuwa hajui anachopima au Wakati wa kurecord akasahau badala ya kuandika negative akaandika Postive?
Lazima turudi kwenye Criteria za kudefine wagonjwa wa COVID-19.
Otherwise, hata hapo Dar, ukifanya Random sampling, ukachukua watu mia, wazima na afya zao, wanaobeba zege na kutembeza matunda, almost 75 percet wanaweza kutest Postive japo hawana dalili. Hao huwezi kuwa label kuwa n wagonjwa.
 
Kwa hiyo unaelewa career anaambukiza hivyo ni lazima kuwajua na kuwatibu, sababu hata kama hawana dalili wana virusi vya kuviua na kuviondoa. Kuwaita wagonjwa hilo ni swala la Kiswahili, kwa kiingereza ni cases na kiswahili fasaha ni visa.

Kuhusu herd immunity unaijua theoretically but practically uko nje, kwa sababu kuwa immune ina maana huwezi kupata virusi tena, lakini waliopona Corona wanaweza kuipata tena na imeshatokea, na wengine wameipata mpaka mara nne ndani ya miezi miwili, Italia, China na nchi mbalimbali.

Hivyo herd immunity kwa hili ni illusion na WHO imeshasema hivyo baada ya kupata uhakika.
 
Ndugu yangu, nakushauri chukua muda, jielimishe kuhusu Mambo haya. Kuwa immune haina maana haupati kabisa infection Bali, ukipata infection, Kinga yako itakuwa iwaclear wadudu kabla haujaanza kuugua(kuonesha dalili) na hiyo ndiyo mechanism ya Kinga zote( whether is natural, artificial(vaccines induced +Herd)).
Hivyo, suala la Herd Immunity linawezekana.
Kuhusu definition ya case, Kuna standard definition ambayo hufuatwa na WATAALAMU wote. Hiyo, haitegemei lugha kwamba waswahili tuwe na namna yetu ya kudefine case.
Ndio maana nikakueleza kuwa, Kuna criteria ambazo mtu lazima awe nazo kabla ya kuwa labeled Kama COVID-19 case. Na criteria hizo hazitegemei lab results tuu.

Carrier sio mgonjwa. Hii ni fact.
 
Ujuzi wako wa immune ni ideology yako, hata WHO imesema hakuna uhakika wa herd immunity for this basing on those who got it several times, why should they base on that? To me you are nothing compare to WHO experts.
 
Kwa Hali inayo endelea kwa sasa Kati ya Tanzania na Majirani zetu huenda tukatengwa kabisa na nchi jirani.

Kutengwa huku ni kufungiwa mipaka hakuna Mtz kwenda nchi jirani au jirani kuingia Tanzania. Hi ni baada ya jirani zetu kuona Tanzania haichukui hatua madhubuti na za kisayansi katika kuzuia Covid-19 kusambaa.

Tumeshuhudia madreva wa Maroli ya mizigo toka Tanzania wakipatikana na Ugonjwa huu wanapoingia kwa Majirani na kupima wakiwa +ve.

Lakini pia madreva wa nchi jirani wakirudi katika nji zao wakipima wanaonekana kuwa na maambukizi hata Kama wakiingia wakiwa -ve. Tanzania now looks to be the epicentre of Covid-19 in East & Central Africa

Zambia wameanza na nchi zingine zinafuata kufuatia mazungumzo ya Marais wa nji husika kwa kutumia mkutano wa kimtandao(Teleconference& Video conference) huku Tanzania ikiwa imejitenga au kutengwa!

Rais Magufuli lazima ajitafakari Vinginevo anaonekana hataki na anakaidi Ushirikiano na Mahusiano mema katika kukabiliana na janga la Covid-19!

Hii ni picha hasi sana kwa upande wa Tanzania ukija kwenye swala la Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa.

Nawasilisha.

Lakini leo WHO wametoa kauli kwamba dunia ijiandae kuishi na COVID-19 kama ilivyokuwa HIV.
 
Kwa Sasa tunaweza kuwa tunaongoza kwa East&central Africa. Na hii imechangizwa na njia tuliyoamua kuifuata katika kukabiliana na ugonjwa huu. Na kwa hali ilivyo, huenda tukawa tumeanza kuattain HERD IMMUNITY,ambayo ndiyo target yetu. That's why attendance ya wagonjwa wenye shida za kupumua at Emegey department zimepungua ukilinganisha na wiki mbili zilizopita. Inawezekana hata huko mortuary nafasi wazi zikawa zimeongezeka tofauti na wiki chache zilizopita. Ushahidi mwingine wa hili, ni kupungua kwa movements za ambulance zilizoshuhudiwa wiki chache zilizopita.
Na kuhusu suala la madreva kutest Postive, Hilo lisitutishe. Tuelewe concept hizi mbili:
Mtu anaweza kuwa infected na asiwe affected. Maanake, anaweza kuwa ana virus, lakin virus hao wasisababishe ugonjwa(kuonesha dalili) either kwa sababu Kinga yake iko imara. Na huyu anakuwa haumwi. Kusema Mtu anaumwa maanake ana Signs and symptoms za ugonjwa unaosababishwa na virusi husika.
Madreva wetu wana test Postive Ila hawana signs Wala symptoms za COVID-19, so kuwa label Kama wagonjwa ni kuwaonea na kuwatia katika msukosuko wa kifikra na akili unaoweza kuwasababishia msongo wa mawazo.

Wewe ni Daktari au unapayuka tu?
Kama una Virusi vya Covid-19 tayari wewe ni victim hata Kama huoneshi dalili!!
Na wewe ni hatari Sana kwa wengine maana you are THE CARRIER OF COVID-19 hivo usipodhibitiwa kwa Quarantine au Self Isolation you can infect thousands na wasio na Kinga imara watakufa....kwa kitupi wewe ni MUUAJI MKUBWA😎
 
Back
Top Bottom