Tanzania kuwa kitovu cha COVID-19 East & Central Africa?

Hivi kuna Propaganda zaidi ya: Rais Magufuli kudai kuwaTest Kits za Covid-19 zinadanganya baada ya kupima: MAPAPAI,MAFENESI, MBUZI na KONDOO na kuonesha viumbe hivo vina Covid-19?🤣🤣!!
CDC Africa Director ameshatujibu, hima tuongeze jihudi zaid kupambana na corona na sio vijistory story visivyo na msingi
 
Bandari ya Kenya wanatumiaje? Ulishawahi kusoma somo la jiografia?
Zambia inaweza kutumia bandari za Angola, Namibia na Msumbiji, Rwanda na Uganda zinaweza kutumia bandari ya Kenya kuepuka Tanzania ya korona.
1589374674379.png
 
Kwa Hali inayo endelea kwa sasa Kati ya Tanzania na Majirani zetu huenda tukatengwa kabisa na nchi jirani.

Kutengwa huku ni kufungiwa mipaka hakuna Mtz kwenda nchi jirani au jirani kuingia Tanzania. Hi ni baada ya jirani zetu kuona Tanzania haichukui hatua madhubuti na za kisayansi katika kuzuia Covid-19 kusambaa.

Tumeshuhudia madreva wa Maroli ya mizigo toka Tanzania wakipatikana na Ugonjwa huu wanapoingia kwa Majirani na kupima wakiwa +ve.

Lakini pia madreva wa nchi jirani wakirudi katika nji zao wakipima wanaonekana kuwa na maambukizi hata Kama wakiingia wakiwa -ve. Tanzania now looks to be the epicentre of Covid-19 in East & Central Africa

Zambia wameanza na nchi zingine zinafuata kufuatia mazungumzo ya Marais wa nji husika kwa kutumia mkutano wa kimtandao(Teleconference& Video conference) huku Tanzania ikiwa imejitenga au kutengwa!

Rais Magufuli lazima ajitafakari Vinginevo anaonekana hataki na anakaidi Ushirikiano na Mahusiano mema katika kukabiliana na janga la Covid-19!

Hii ni picha hasi sana kwa upande wa Tanzania ukija kwenye swala la Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa.

Nawasilisha.

Hoja dhaifu sana.

Siku zote mnalalamika ifanywe lockdown, sasa wengine wanafanya lockdown kwao mnailalamikia Tanzania!?
 
Hivi kuna Propaganda zaidi ya: Rais Magufuli kudai kuwaTest Kits za Covid-19 zinadanganya baada ya kupima: MAPAPAI,MAFENESI, MBUZI na KONDOO na kuonesha viumbe hivo vina Covid-19?🤣🤣!!
Sasa hiyo propaganda ili iweje? Mlitaka test kits zisijaribiwe?
 
Ni lazima na vema kushirikiana na wenzetu. We are not an island. We need them as much as they need us
Mbinu zetu na zao katika janga hili ni tofauti unalazimishaje tushirikiane?

Wacha wanaotumia mbinu sawa washirikiane.

So far so good na wao wameachia lockdown.

Wanatumia mbinu kama za kwetu sasa kunawa mikono, kuvaa barakoa na kutotaka nyumbani kama huna shughuli ya lazima.

What else do you want to blame for this??

Ni suala la wananchi kujitambua na kuchukua tahadhari ambazo zimekuwa zikitolewa na Kamati maalum ya kupambana na ugonjwa huu nchini.

Swali muhimu la kujiuliza ni :
kwanini mashirika ya kimataifa yanatukazania kutafanye lockdown wakati US, UK, Germany, France wameanza kutoka kwenye lockdown wakati ugonjwa bado ukiwa juu kwenye nchi zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Kenya haina bandari? Unafikiri ni nchi yetu yenye bandari?
Inayo bandari lakini kwa kijiografia Zambia awatoweza kuitumia bandari ya Mombasa kama wakitaka kuitumia lazima wapitie Tanzania, unaelewa hilo?
 
Ndiyo maana nimesema Bandari za Angola, Msumbiji na Afrika kusini, na bandari ya Kenya kwa Rwanda. Umeniona mie mjinga kumbe ni wewe usiye tumia akili lol.
 
Kwa Hali inayo endelea kwa sasa Kati ya Tanzania na Majirani zetu huenda tukatengwa kabisa na nchi jirani.

Kutengwa huku ni kufungiwa mipaka hakuna Mtz kwenda nchi jirani au jirani kuingia Tanzania. Hi ni baada ya jirani zetu kuona Tanzania haichukui hatua madhubuti na za kisayansi katika kuzuia Covid-19 kusambaa.

Tumeshuhudia madreva wa Maroli ya mizigo toka Tanzania wakipatikana na Ugonjwa huu wanapoingia kwa Majirani na kupima wakiwa +ve.

Lakini pia madreva wa nchi jirani wakirudi katika nji zao wakipima wanaonekana kuwa na maambukizi hata Kama wakiingia wakiwa -ve. Tanzania now looks to be the epicentre of Covid-19 in East & Central Africa

Zambia wameanza na nchi zingine zinafuata kufuatia mazungumzo ya Marais wa nji husika kwa kutumia mkutano wa kimtandao(Teleconference& Video conference) huku Tanzania ikiwa imejitenga au kutengwa!

Rais Magufuli lazima ajitafakari Vinginevo anaonekana hataki na anakaidi Ushirikiano na Mahusiano mema katika kukabiliana na janga la Covid-19!

Hii ni picha hasi sana kwa upande wa Tanzania ukija kwenye swala la Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa.

Nawasilisha.
Vipi ile special relation ya Magufuli na Kagame? Naona ya Raila na Magu ndio imeshayoyoma
 
Sasa hiyo propaganda ili iweje? Mlitaka test kits zisijaribiwe?

Wewe Mama utakuwa una matatizo makubwa Sana!
Hivi unajua upimaji wa Covid-19 Tanzania ulianza lini na huyo Rais wako kaanza kufanya majaribio lini?

Sheria za kujaribisha Ubora wa kifaa/vifaa hutakiwa kuwa tested/verification kabla ya KUANZA kukutumika! Ni upuuzi kudai TK hazina ubora baada ya kupita miezi/mwezi! Lakini pia kama ume zishuku hizo TK Kwanini usipeleke kwa WENZAKO walio na Test Kits nzuri?
 
Wewe kweli poyoyo.Utaanza ku test kitu hata utaalam nacho hauna? COVID 19 Tanzania au duniani nani ajuae kaanza lini? Si tume anza kumsikia baada ya China watu kufa kama panzi. Au wewe ulikuwa unajuwa COVID 19 yupo Tanzania kabla ya yupo au hayupo Tanzania kabla ya hapo?

Wewe ulitumbuliwa idara ipi?
 
Wewe unawashwa ile sehemu na dawa yako ni Quio tu!
Huoni aibu? Ati Covid-19 ni mgeni...are u serious? Hivi unajua zile Test Kits za Covid-19 zimetoka wapi? Unataka kusema nchi zote duniani achilia China hawana utaalamu wa hizo Kits? Ni Tanzania peke yao walioshindwa kutumia hizi Kits kwa madai ya kutumiwa na Mabeberu. Hayo ni madai fake na ya kipuuzi kabisaa! Nchi zote wanapima watu wao na Wana update every after 24 hours! Tanzania kimyaaa....no updates no nothing!
 
Hilo la "mgeni" lako wewe, don't put your foolish words in my mouth.

Covid 19 kuwa ni tatizo duniani (pandemic) katangazwa lini na WHO?

Kuwashwa niwashwe mimi shida ikupate wewe? Majanga!
 
Back
Top Bottom