Tanzania Kusuluhisha Mgogoro Ivory Coast!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Kwa taarifa ya habari ya saa 2 usiku, Tanzania imechaguliwa kuwa msuluhishi wa mgogoro wa Ivory Coast, ikiungana na nchi zingine 5, baada ya juhudi mbalimbali za jumuia ya kimataifa kushindwa.
Hayo yamesemwa na Waziri wa ushirikiano wa kimataifa, Bernard Membe, mara baada ya ujumbe wa rais JK kuwasili nchini wakitokea AddisAbaba-Ethiopia.

My take:
Ni vituko hivi.
Sielewi ni vigezo gan vinavyotazamwa ili kui'award nchi jukumu hilo.
Naomba nielekezwe.
 
Duu, hapa ndipo jumuia za kimataifa zinapochemka. Hapa home kubovu na ishu ziendeleazo Tunisia, Jordan, Egypt & Yemen zamnyima raha cz zote hapa home zipo. Kuingia kaingia kimazabe, ataweza kweli kumwambia mtu anaeshikilia kimazabe aachie ngazi?!! Kujiaibisha tu huko!
 
Afican Union (AU) hovyohovyo .... Hebu fikiria lile bomu Obieng Nguema eti ndiye Chairman wa AU! halafu huyu wetu na yule polygamist eti ndiyo wapatanishi?! Kweli vituko..
 
Usanii tu.
Najua moyoni atakuwa anateseka sana maana anajua fika hii game inavyochezwa.
Na kwa jinsi wanavyolindana hawa wanaweza kumwambia Watara na Bagbo waunde serikali ya umoja wa kitaifa...huh!
 
Afican Union (AU) hovyohovyo .... Hebu fikiria lile bomu Obieng Nguema eti ndiye Chairman wa AU! halafu huyu wetu na yule polygamist eti ndiyo wapatanishi?! Kweli vituko..
Ndio Afrika hiyo Mugabe once a hero sasa hivi ni dikteta just imagine the likes of Kibaki, Museveni, Kikwete, Gbagbo, Al Bashir, na wengine wengi tu kipofu anamwongoza kipofu mwenzake what do you expect
 
kwa vigezo vyao waliomteua, anaonekana kaquolify. hii inadhihirisha aina ya watu walomteua ni wawajibikaji wa kiwango gani! kama mna uchngu itisheni maaandamano ya kupinga usuluhishi wa Jk huko manake naye analaumiwa humu nchini. ni wazo langu tu
 
JK akifika huko anapaswa awe mkweli toka rohoni mwake na amwambia Gbagbo yafuatayo:
Wewe ni rais halali kwani kuchakachua matokeo ni halali kwani hata kwetu tunafanya hivyo hivyo.
Usikubali kutoka madarakani wakati una jeshi, polisi nk.
Wagawanye wananchi wako kwa misingi ya kidini,hapo utawatawala kirahisi sana maana wanapenda sana dini zao; hata kwangu nafanya hivyo hivyo, likitokea suala gumu kwangu napenyeza hoja za kiudini udini.
 
Du.,kiongozi.
kwa kuwa h
 
Back
Top Bottom