usiwaze kodi tunayotoa kumbuka amani inayopatikana inatoka wapi wenzako hawalali wanalinda mipaka kwa ajili yako wewe unaofanya biashara na kupulizwa upepo ikitokea vita watakaofaidi ni wanajeshi pekee wengine ni vilio tu mwanzo mwisho
Acha wakapigane tu maana wanakula kodi zetu vita vyenyewe hata hamna
I like it...
Wanajeshi wetu watapata uzoefu kidogo kupambana. This is part of field exercises, human costs not withstanding. Haiwezekani nchi inakaa tu bila battle action for decades, jeshi litadumaa kama lile la Malawi. Go, TPDF go!
Kuhusu tishio la Uganda na Rwanda, ambao wako upande wa waasi, sio suala tena. Rwanda iko UN security council na ilipiga kura jeshi lipelekwe, kwani kuwepo kwa jeshi hilo pia kunaisaidia kujikinga na waasi wa FDLR.
Pia Rwanda haiwezi kuthubutu kushambulia au kujenga uhasama wa kijeshi na Tanzania kwasababu kuu mbili: Uhusiano ndani ya EAC na pia bandari ya Dar es Salaam. Hatua hii ni mwanzo wa kumaliza matatizo DRC.
Mungu ibariki Tanzania. Ibariki JWTZ. Uzalendo kwanza mengine baadae
Achana na hao, unajua MALAWI pia wanapeleka askari kwenye hicho kikosi? Hatari ni kwamba wanaweza wakaanza kuzipiga wale wa jwtz na jwm huko huko kongo kama mechi ya majaribio.Naogopa kusema kuwa sasa tukiingiia DRC tumepanua wigo wa Mseveni na mwenzake Kagame kuingilia Tanzania na kuipiga
Naogopa kusema kuwa sasa tukiingiia DRC tumepanua wigo wa Mseveni na mwenzake Kagame kuingilia Tanzania na kuipiga
Bandari ya Dar es Salaaam kwa taarifa yako Rwanda inaitumia kwa 25% mizigo mingine yote inapitia Mombosa kwa taarifa yako ndugu yangu.Rwanda inaweza kuivamia Tanzania maana kila siri ya jeshi letu ipo Kigali simply because TPDF kuna wanyarwanda wa kutosha tu tena wana vyeo.So mimi naamini kabisa hata kama tuna jeshi gani Rwanda ikitujia tutahitaji kujipanga maana hawa jamaa wameshazoea vita, yaani tokea 1994 wao ni kupigana tu
I like it...
kawaambie hao wajomba zako wakiamua kuleta upuuzi wao huku kwetu tutawapaka samli na kuwachoma kama maiti za kihindi. Tunapenda amani lakini tuna roho mbaya sana!! ... stay away from us.Bandari ya Dar es Salaaam kwa taarifa yako Rwanda inaitumia kwa 25% mizigo mingine yote inapitia Mombosa kwa taarifa yako ndugu yangu.Rwanda inaweza kuivamia Tanzania maana kila siri ya jeshi letu ipo Kigali simply because TPDF kuna wanyarwanda wa kutosha tu tena wana vyeo.So mimi naamini kabisa hata kama tuna jeshi gani Rwanda ikitujia tutahitaji kujipanga maana hawa jamaa wameshazoea vita, yaani tokea 1994 wao ni kupigana tu
Kwa umoja wa africa ulipoomba tupeleke jeshi Anjoun Comoro tulitumia muda gani pale kulirudisha jimbo na ni idadi ya wanajeshi wangapi walipoteza maisha?
Kwa mujibu wa Membe, Serikali inatarajia kuomba ridhaa ya Bunge kupeleka battalion 1 huko Kongo(Si chini ya wanajeshi 850) kulinda amani. Ikumbukwe kwamba wanajeshi hawa wamepewa mandate ya kupambana na waasi.
Je
1. Wanajeshi wetu wameandaliwaje kupambana na waasi huko Kongo? Any special training?
2.Kwa kuwa Idadi hiyo ni kubwa, je ipo mikakati ya kuhakikisha hatupungukiwi wakati hao wapo huko?
3. Any consideration and special attention to their families?Najua wamekula kiapo cha utii kuilinda mipaka ya Nchi yetu japo cjui kama kiapo hicho kinawalazimu kwenda mission hizi.
Maswali haya yanawezakuwa hayana mantic mana sina ufahamu wakutosha wakijeshi.
Otherwise nawatakia mafanikio mema hasa ukizingati wamekuwa na record nzuri huko Darfur, Syria na Lebanon
hizi kauli sio nzuri kabisa!ni za kukatisha tamaa!