Tanzania kuondolewa orodha ya nchi maskini

Tanzania kuondolewa orodha ya nchi maskini

Wakishakaa kwenye maviyoyozi yao wanasahau kila kitu wanajiona kuwa wao ndio wao tu.
Pumbavu
 
Asante Rais Magufuli kwa kuipeleka Tanzania Katika uchumi wa kati
Huo Uchumi unaongelea ni upi Mkuu?utawala huu biashara nyingi zimekufa mpaka wauza nyanya sokoni wafunga biashara,najua utasema waliofunga biashara ni wapiga dili,,na hao wamama wauza ngogwe na bamia ni wapiga dili?
 
Back
Top Bottom