Tanzania kuna Hospitali 688

Tanzania kuna Hospitali 688

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Ni kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi

Ni wastani wa hospital Moja kwa Watu 89,000

Ni jambo jema
 
Dawa zipo? huduma je?

2BDF8A2B-0437-4E19-894A-5E798E28E18F.jpeg
 
Ni kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi

Ni wastani wa hospital Moja kwa Watu 89,000

Ni jambo jema
Kwa data hizo sisi bado sana na isitoshe zaidi ya nusu hazina uwezo wa kulaza wagonjwa au kufanya oparation kubwa. Kweli nchi yetu bado masikini, kuhudumia wana nchi wake tumeendekeza siasa tu.
 
Hospital ni hizo
Halafu kuna vituo vya afya
Muwe mnasubiri ripoti kamili kabla hamjakurupuka..
Nchi INA zahanati kila kata
 
Hospital ni hizo
Halafu kuna vituo vya afya
Muwe mnasubiri ripoti kamili kabla hamjakurupuka..
Nchi INA zahanati kila kata
Mbwiga, hapa nazungumzia hospital

Zahanati ziko 7889 na Vituo vya Afya viko 1490
 
Hospital ni hizo
Halafu kuna vituo vya afya
Muwe mnasubiri ripoti kamili kabla hamjakurupuka..
Nchi INA zahanati kila kata
Gawanya kwa idadi ya mikoa, halafu pale ulipo je mna hospitali ngapi? Pamoja na private hospitals.
 
Back
Top Bottom