Tanzania Kumbe kuna kupe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Kumbe kuna kupe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kayundi2, May 30, 2010.

 1. k

  kayundi2 JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti kuna mikahawa na mahoteli jijini Dar amabayo hulipisha Dola Mia Saba kwa usiku mmoja......na lakunishangaza wanaostrahe pale na matajiri wetu hapa nchini..sio hata wazungu.Mie nawashuku hawa.....kama sio wezi wa mali ya umma basi kuna mambo ya kishetani ambayo wao hufanya.......ni aibu kwani watu wetu wanakufa kwa njaa na magonjwa...ili hali wenzetu wanaotunyonya wazialibu fedha zet......
  Top Best Hotels in Dar-es-laam Tanzania
   
 2. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  what is your problem, ni kwasababu hauna hela ya kwenda kuspend au vipi, fanya kazi kwa bidii, tafuta hela na wewe ukaspend. karne zote duniani kuna wenye nacho na wasokuwa nacho, na haitakuja kubadilika. wewe unayeongea kwa hicho kidogo ulichonacho umefanya nini?

  hotels, mikahawa etc ugarama wao unategemeana na huduma...mfano, kuna jamaa yangu diplomat alikuja kufanya kazi Dar, nyumba nzuri zilikuwa nyingi, lakini tulimchagulia moja tu iliyokuwa na facilities zote, including "24 hours security", hicho tu ndo kilifanya alipe dola 3500 kwa mwezi, kwasababu ya ulinzi masaa 24....nyumba zingine ni nzuri lakini hazina huduma hiyo, hivyo utalipa dola 1000 kwa mwezi etc...hivyohivyo na hotel au migahawa....however, sishabikii watu wasiowapa misaada watu maskini, kama mtu unacho unatakiwa kumsaidia asiyenacho kwa namna yoyote ile.
   
 3. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mkuu hapa naona sredi hujaidaka kabisa. huyu bwana yeye anachosema ni kwamba kulinganisha na uchumi wa hii nchi ni vigumu sana kwa mtu mmoja kuwa na kipato cha kuspend 700 USD kwa siku katka hoteli hivyo ana wasiwasi hawa watu ni mafisadi wanaonyonya watu maskini, otherwise hakuna mtu mwenye tatizo na wewe kuspend fedha zako kama umezipata kwa uhalali kabisa.
   
Loading...